Sio hasira mkuu wangu,
Bora hata Tshs 550/= ingekua inaenda kwa jambo la msingi, pengine kuchangia hata waathirika wa Ajali ya Meli Zanzibar, Gongo la Mboto n.k.
But sio mambo ya kuambiana "sishikiki" ndio nikatwe hela yote hiyo, hata kama sishikiki wao inawahusu nini?
Huu uhuni huu!!!
Ni kweli Mkuu tatizo unalikabili!! mimi pia nilikuwa na tatizo na NMB Mobile yanguambapo waliamua ghafla kuifunga password yangu hivyo nikawa siwezi ku access account yangu, especially ninakuwa vijijini. Nilichofanya nikaamua kutafuta namba za NMB HQ, bahati nzuri wakati niko JF kwa kutumia mobile yangu nikapata contacts zao (e-mail na na.za simu) nikawapigia kuwauliza kwa nn wanafunga password yangu without notice? bahati nzuri mkubwa mmoja akawa anasikia mazungumzo yetu na nadhani walipata kibano kikali maana nilishangaa ndani ya siku moja nikapigiwa simu nyingi sana kutaka kujua tatizo langu na kama limetatuliwa. Tafuta namba zao uwapigie!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.