TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

Hellow watanzania hebu tushituke. Hawa Makaburu huwa wao wanatoa tyu hata tusipo hitaji, kwani wanavyotuletea sisi hatuna jamoni? Ningesema ni zawadi tyu, ila hapana Kwanini wawe wao tyu? Mimi nadhani Serikali isipende kuchunguza kimaabara tyu,hata wachunguze kidiplomasia ni nini hiki?
 
Ww njaaa ipo unanunua mchele kilo 3000 unasema njaa huna ???Sisi tuna njaaa tena kali sana kuna familia ubwabwa kwao ni anasa .
Wewe ndugu yangu usije taka kula mchele tyu huku usijue baada ya kushiba utalipa nini?😂🤣

Oy Rafiki sisi tule ugali tu bwana tukipata sawa
 
kama uwezo wa kufikiri umefika mwisho kwanini wasiwaletee mamashine makubwa ya umwagiliaji mlime wenyewe? kuna vituko sana kwenye nchi masikini, yaani kabisaaaa na mahekta yooote ambayo hayatumiki nchini mnaletewa mavyakula feki.
 
Walichofanya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni "ku-clear the air"

Kwa Lugha rahisi, wametumika kuwaaminisha Wazazi na Walezi wa Mkoa wa Dodoma kuondoa hofu, kwamba huo Mchele wa Virutubisho ni salama kwa Wanafunzi kula.

Japo najua huo Mchele hautaenda kwenye Shule za Private ambazo Watoto wa Viongozi wanasoma hapo Dodoma.

Utaenda kutumika wanaposoma Wanafunzi wa Kajamba nani..🙌
 
Kuna wakati tujitenge na hizi taharuki zinazoenezwa na watu wasio na taarifa kamili.

Katika jicho la pili, inabidi mkuu wa dawati la afya anapaswa kuenguliwa kwani mpaka taharuki inatokea hakuwa amefanya kazi yake vyema.

Jambo la tatu. Wacha watuue kwa sababu badala ya kuwekeza kwenye elimu tupo bize kununua teknolojia na kupiga teke maarifa.
 
Bashe ni tapeli, serikali ya ccm ni tapel8, kwani wewe ulimuamini alibosema vile? Ulijiuliza kwamba hao wamarekani walifika ghafla na kupost kwamba tunatoa msaada? Unaweza peleka msaada nchi nyingine ghafla?

(taarifa walikua nayo) na kama kawaida watanzania wengi sisi ni mtaji wa wanasiasa maana hatuna tafakari, bashe anasema amewaambia watu wamarwkani kwamba badala ya kuwapa hela wakulima wa marekani wanunue huku kwa wakulima wa tanzania kwa sababu mchele upo, kama mchele upo si wawapelekee huko shuleni?

(Mchele upo mashambani alafu tunasubiri marekani atoe hela ndo tupeleke shule kwa muktadha upi? (Kuna free lunch na wamarekani toka lini)
Mimi naungana na wewe kupinga kwamba
Msaada umekuja tu.
Mimi nadhani CCM waangalie wanakosea wapi .Maana wao hawajawahigi kukataa msaada wakati haina hata mchango wowote kwa jamii.
TANZANIA bila misaada Inawezekana.
Ety virutubishi !!!! Kwani maharagwe yanayopikwa majumbani na shule huwa yanautofauti?

Tuache udanganyifu basi
 
Serikali ijiangalie sana na vipaumbele vyake, na hapa tunajiuliza isingekua balozi yq marekani Tz kupost tusingefahamu lolote, uwakute kwenye mavieite sasa
 
Mkuu Bashe ni mjanja sana na pia anajua nchi asilimia 90 imejaaa wajinga tupu
Mjanja wapi bwana,kakurupuka tu..hilo swala la mchele ni swala linalohusisha sekta nyungi,tena nahisi wizara iliyotakiwa ilizungumzie kwa undani ni wizara ya afya,kwa sababu wao ndio wanaohusika na lishe
 
Kuna wakati tujitenge na hizi taharuki zinazoenezwa na watu wasio na taarifa kamili.

Katika jicho la pili, inabidi mkuu wa dawati la afya anapaswa kuenguliwa kwani mpaka taharuki inatokea hakuwa amefanya kazi yake vyema.

Jambo la tatu. Wacha watuue kwa sababu badala ya kuwekeza kwenye elimu tupo bize kununua teknolojia na kupiga teke maarifa
NAkubaliana na wewe mkuu kwa asilimia 100, kama sisi hatujipambanii acha watuue tu, maana kama sakata hili bashe katoka hadharani kaongopea umma asipowajibishwa ndo yaleyale ya kukosa uwajibikaji tu kama yule alosema "yupo ofisini anachapa kazi" mwisho wa siku waamuzi ni wananchi kwa ujumla wake
 
Swala sio usalama,kwani Tanzania tuna njaa Hadi tupewe Msaada? Hoja ni kuidhalilisha Nchi.

Pia Waziri amesema waje wanunue mazao yetu.Mwisho angekuwa Mwendazake angestamtimua Mkurugenzi wa TBS
Mkuu Tanzania hatuna njaa unamaanisha??
Unajua ni familia ngapi zina uwezo wa kula milo 3 tena yenye mboga 1?? Ni shule ngapi zinawapa watoto uji?? Halafu tunalalamika watoto wetu hawafaulu wakati hata uwezo wa kuwapa milo bora hatuna
 
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama kwa Walaji

TBS imesema taratibu za uingizwaji wa chakula Nchini zilifuatwa ikiwemo ukaguzi na uchunguzi wa Kimaabara

Meneja Uhusiano na Masoko wa TBS, Gladness Kaseka amesema "Utaratibu wa kuongeza virutubishi kwenye chakula (food fortification) unakubalika kitaalamu na hufanyika kwa lengo la kuboresha hali ya lishe kwa walaji.

Pia, soma; Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

View attachment 2937867
nashukuru Mungu watoto wangu hawatakula. Mungu awasaidie ndugu zetu watanzania, kwasababu wazungu walishakuwa na mpango hata kuweka vimelea vya kihomoni watu wakue navyo, kama wanaweza kupakaza hata kwenye nguo ili mtu awe na hormanal imbalance, kwenye chakula je? watu watakuwa wakiume ila wana hormone za kike and vise versa. hao tbs wamepima nini na nini? wapime kila kitu. sipigii mstari kwamba chakula icho kipo hivyo, ila kwa kuishi kwangu ulaya muda mrefu, siwaamini kabisa wazungu, hasa likija suala la kitu unachoweka mdomoni. kwanini wasingekuja kununua hapahapa chakula wakisambaze, kuna mchele mwingi sana, kuna mahindi mengi sana hapa Tanzania, mbeya huko kuna mchele kibao, mahindi kila sehemu, wangewaungisha watu wetu pesa wasambaze hapahapa. huo wao walioweka virutubisho watoto wao wanaweza kula? kwani watoto wa kizungu wanakula vyakula vya aina hiyo? sasa watu wetu ni mang'ombe hadi waanze kuwafanyia practical kuwekewa virutubisho vya kisayansi? hapa bongo tunapata mbogamboga za asili, matunda ya asili, hata hatuhitaji hayo mavirutubisho. miaka ijayo watu wasingangae mashoga kuongezeka nchini. mimi watoto wangu hawawezi kula huo mchele.
 
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama kwa Walaji

TBS imesema taratibu za uingizwaji wa chakula Nchini zilifuatwa ikiwemo ukaguzi na uchunguzi wa Kimaabara

Meneja Uhusiano na Masoko wa TBS, Gladness Kaseka amesema "Utaratibu wa kuongeza virutubishi kwenye chakula (food fortification) unakubalika kitaalamu na hufanyika kwa lengo la kuboresha hali ya lishe kwa walaji.

Pia, soma; Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

View attachment 2937867
Mimi Sikubaliani na uamuzi wa TBS Wameshapewa Pesa na hao walioleta hiyo misaada yenye madhara kwa watoto wetu kwa ajili ya afya zao za baadae kwanza kuna madhara makubwa kabisa kwa hivyo vyakula vilivyo tengenezwa Virutubishi kwa afya ya binadamu Soma hapa chini👇

What are the risks of fortification?
Some problems with fortification and enrichment include: Companies often add vitamins at dangerous levels. This level may be up to 100% of the recommended daily allowance in a single serving, possibly causing you to exceed the limit. Most people do not have exhibit deficiencies at such an extent to warrant this much.
Je, ni hatari gani za kuimarisha ngome?
Baadhi ya matatizo ya urutubishaji na urutubishaji ni pamoja na: Makampuni mara nyingi huongeza vitamini katika viwango vya hatari. Kiwango hiki kinaweza kuwa hadi 100% ya posho inayopendekezwa ya kila siku katika huduma moja, na pengine kukusababishia kuvuka kikomo. Watu wengi hawana upungufu wa maonyesho kwa kiwango kama hicho cha kudhibitisha kiasi hiki.

Dangers of Food Fortification and Enrichment​

Of all the things we can add to food, vitamins and minerals may seem the most benign, if not beneficial! Most of us wouldn’t think twice if we saw them on an ingredient list.
After all, added vitamins stand out innocently - or even as saviors - against thickeners, oils, and other additives that you can’t pronounce unless you’re a doctor of linguistics.
But you should beware! Fortification and enrichment of food products with so-called “health halos” are not as innocent or helpful as they seem. Read on to learn why at Elmhurst we believe that less is always more.

Fortification vs Enrichment: What's the Difference?​

If you read a Nut Milk package, you may see an ingredient like “vitamin and mineral blend,” with the scientific names of its components written alongside. This is an example of fortification and/or enrichment.
Fortification and enrichment are similar in that both involve adding nutrients – most often vitamins and minerals – to make a product “healthier.” There is also an important distinction between the two.
  • What does fortification mean? A fortified food is one with added nutrients (most often vitamins and minerals) meant to boost nutrient density, treat or prevent disease, and promote general well-being. Examples of fortified foods include orange juice with vitamin D and iodized salt. 1
  • What does enrichment mean? An enriched food loses its nutritional value during processing, so then the food companies add synthetic versions of these nutrients back into the food to try and restore or enhance its original nutrient density. Examples of enriched foods include skim or low-fat milk with vitamin D and wheat flour with folic acid, riboflavin, and iron. 1

Fortification and Enrichment Rationale & History

Fortification and enrichment are responses to a sobering shared reality: most people are nutrient-deficient. More than two-thirds of Americans do not consume the FDA-recommended number of fruits and vegetables per day. Children are especially vulnerable to nutrient deficiencies because of their growth needs, and evidence suggests that adults are typically deficient in calcium, magnesium, and vitamins A, D, E, and C. 2
Beginning in the 1920s, government agencies and food policy advocates started pushing enrichment and fortification in an attempt to decrease nutrient deficiencies in the general population. The intent was not to alter dietary habits, per se, but to increase micronutrient intakes through foods Americans were already consuming. For example, companies began adding iodine to table salt to combat a high incidence of goiter (enlarged thyroid gland due to iodine deficiency) in the United States. 3
Additionally, the Food & Drug Administration enforced a mandate of adding folic acid to grain products (such as cereals and breads) to prevent neural tube defects in newborn babies.4

Are Fortification and Enrichment Good or Bad?​

Although fortification has increased the intake of vitamins and minerals in the United States, there is little evidence to suggest that adding nutrients (other than folic acid) has improved our health. In fact, there are concerns that fortifying and enriching foods may be harming us. 5,6

Some Problems with Fortification & Enrichment

Companies Often Add Vitamins at Dangerous Levels

This level may be up to 100% of the recommended daily allowance in a single serving, possibly causing you to exceed the limit. Most people do not exhibit deficiencies to such an extent to warrant this much. Hyper-fortified foods, in extreme cases, can result in toxicity overload and irreversible organ damage.7,8
Examples of problems from overconsuming vitamins A, E, B9, B12, calcium and iron include:
  • Too much-added vitamin A reduces bone density in older adults, increases the risks of birth defects and liver damage, and is associated with higher overall mortality risk.
  • Too much-added vitamin E can increase the risk of stroke.
  • Too much added folic acid (vitamin B9) can decrease immunity or mask a vitamin B12 deficiency (commonly seen in vegetarians).
  • Too much-added calcium can cause kidney stones.
  • Too much iron raises the risk of diabetes and heart problems in individuals with hemochromatosis, a genetic condition that causes the body to store excess iron in the liver, heart, and pancreas.

Fortification and Enrichment Upsets Nature’s Packaging

Your body does not absorb individual nutrients added to processed foods as efficiently compared to nutrients naturally occurring in whole foods. In short, all nutrients in whole foods have a purpose, working in concert to enhance the uptake and bioavailability of each other. A simple example is skim milk fortified with vitamins A and D. Skim and low-fat milk have been processed to remove the fat, thereby losing the fat-soluble vitamins A, D, and K. Although vitamins A and D are added back, our bodies cannot absorb them without a fat vehicle, nor can they function optimally without the assistance of vitamin K. 9

Vitamins added to Foods are Less Bioavailable

Nutrient bioavailability refers to the proportion of nutrients your body can absorb and use. Most food companies inject synthetic versions of vitamins and minerals, which your body may process differently (or not at all) compared to the natural, food-based versions.

Synthetic Vitamins Lack Immune-Boosting Substances

All-natural foods contain a trove of antioxidants and phytonutrients that scientists have yet to identify, let alone replicate. A group of physicians from university schools of public health around the country published a review in the Annals of Internal Medicine asserting that dietary supplements carry few potential benefits and, in some cases, are more harmful than helpful. 8

Elevated Levels of Certain Vitamins & Minerals Can Interact with Prescription Medications

Fortified foods and supplements can pose specific risks for people who are taking prescription medications, including decreased absorption of other micronutrients, treatment failure, and increased mortality risk. For example, calcium supplements have been found to interact dangerously with some heart and thyroid drugs. 11

Vitamins Often Only Need to Be Added Because They Were Originally Taken Out

While the foundation of most of what we eat is healthy, nutritious food, unfortunately, the nutrients within often end up being lost during the heavy processing that occurs to create the final product that ends up on the store shelves. If vitamins and minerals are being added back to foods, how bad must the processing have been to knock out all the healthful goodness that was already there?
Forced into foods or taken independently as supplements, vitamins and minerals often lose their best effects. The best way to avoid this is to consume whole foods with nutrients in their intended balance.

A Call to Action to Align with Better Nutrition Strategies

“For healthy people eating varied diets adequate in calories, there is little or no evidence that fortification improves health,” says Marion Nestle, Ph.D., M.P.H., a professor of nutrition, food studies, and public health at New York University. 12
While many brands may try to remedy the poor nutritional value of their products through the addition of vitamins and minerals, Elmhurst chooses a different approach.
Through our innovative HydroRelease™ method, we disassemble and then reassemble all the components of our source ingredients (nuts, seeds, or oats, depending on the product in question) to preserve its full nutritional integrity. All Elmhurst products deliver your vitamins and minerals in the form nature intended; staying true to its source ingredient—never fortifying, never enriching. Our full collection of healthy and delicious dairy-free plant milks, creamers, and spreads includes:
  • Original Nut Milks: Cashew Milk
  • Unsweetened Nut Milks: Almond Milk, Walnut Milk, Cashew Milk, Hazelnut Milk, Coconut Cashew Milk
  • Oat Milks: Original, Unsweetened, Barista Edition Oat Milk
  • Barista Editions: Barista Edition Pistachio Milk, Barista Edition Oat Milk, Barista Edition Almond Milk
  • Plant-based Creamers: Unsweetened Original, French Vanilla, Caramel Macchiato, Pistachio Creamer, Chai Spice
  • Dairy-Free Sour Cream
Escape the futility and deception of fortification and enrichment with a sincerely simpler, better choice!

References Dangers of Food Fortification and Enrichment.​

Mkuu Tanzania hatuna njaa unamaanisha??
Unajua ni familia ngapi zina uwezo wa kula milo 3 tena yenye mboga 1?? Ni shule ngapi zinawapa watoto uji?? Halafu tunalalamika watoto wetu hawafaulu wakati hata uwezo wa kuwapa milo bora hatuna
Nakazia suala la njaa tunalo suala la lishe tunalo, na vitu vyote vya kufanikisha hili jambo nchini inawezekana serikali ijitafakari tu ,

Umetaja suala la uji shuleni huko ndanindani mikoani ila kama dar es salaam wazazi wanatakiwa kuwapa watoto hela ya uji kwenda kununua shule, ("Maana serikali haijatoa fungu la uji sasa huo uji wa kunywesha watoto shule wanunue walimu? ")
 
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage ambavyo vyote vimeongezwa Virutubishi vilivyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Marekani kwa ushirikiano na Taasisi ya Jumuiya za Kimataifa (Global communities) kwa baadhi ya Shule za Dodoma, vyote ni salama kwa Walaji

TBS imesema taratibu za uingizwaji wa chakula Nchini zilifuatwa ikiwemo ukaguzi na uchunguzi wa Kimaabara

Meneja Uhusiano na Masoko wa TBS, Gladness Kaseka amesema "Utaratibu wa kuongeza virutubishi kwenye chakula (food fortification) unakubalika kitaalamu na hufanyika kwa lengo la kuboresha hali ya lishe kwa walaji.

Pia, soma; Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

View attachment 2937867
Retired for your reference
 
Mimi Sikubaliani na uamuzi waTBS Wameshapewa pesa na hao walioleta hiyo misaada yenye madhara kwa watoto wetu kwa ajili ya afya zao za baadae kwanza kuna madhara makubw akabisa kwa hivyo vyakula vilivyo tengenezwa Virutubishi kwa afya ya binadamu Soma hapa

What are the risks of fortification?
Some problems with fortification and enrichment include: Companies often add vitamins at dangerous levels. This level may be up to 100% of the recommended daily allowance in a single serving, possibly causing you to exceed the limit. Most people do not have exhibit deficiencies at such an extent to warrant this much.
Je, ni hatari gani za kuimarisha ngome?
Baadhi ya matatizo ya urutubishaji na urutubishaji ni pamoja na: Makampuni mara nyingi huongeza vitamini katika viwango vya hatari. Kiwango hiki kinaweza kuwa hadi 100% ya posho inayopendekezwa ya kila siku katika huduma moja, na pengine kukusababishia kuvuka kikomo. Watu wengi hawana upungufu wa maonyesho kwa kiwango kama hicho cha kudhibitisha kiasi hiki.

Dangers of Food Fortification and Enrichment​

Of all the things we can add to food, vitamins and minerals may seem the most benign, if not beneficial! Most of us wouldn’t think twice if we saw them on an ingredient list.
After all, added vitamins stand out innocently - or even as saviors - against thickeners, oils, and other additives that you can’t pronounce unless you’re a doctor of linguistics.
But you should beware! Fortification and enrichment of food products with so-called “health halos” are not as innocent or helpful as they seem. Read on to learn why at Elmhurst we believe that less is always more.

Fortification vs Enrichment: What's the Difference?​

If you read a Nut Milk package, you may see an ingredient like “vitamin and mineral blend,” with the scientific names of its components written alongside. This is an example of fortification and/or enrichment.
Fortification and enrichment are similar in that both involve adding nutrients – most often vitamins and minerals – to make a product “healthier.” There is also an important distinction between the two.
  • What does fortification mean? A fortified food is one with added nutrients (most often vitamins and minerals) meant to boost nutrient density, treat or prevent disease, and promote general well-being. Examples of fortified foods include orange juice with vitamin D and iodized salt. 1
  • What does enrichment mean? An enriched food loses its nutritional value during processing, so then the food companies add synthetic versions of these nutrients back into the food to try and restore or enhance its original nutrient density. Examples of enriched foods include skim or low-fat milk with vitamin D and wheat flour with folic acid, riboflavin, and iron. 1

Fortification and Enrichment Rationale & History

Fortification and enrichment are responses to a sobering shared reality: most people are nutrient-deficient. More than two-thirds of Americans do not consume the FDA-recommended number of fruits and vegetables per day. Children are especially vulnerable to nutrient deficiencies because of their growth needs, and evidence suggests that adults are typically deficient in calcium, magnesium, and vitamins A, D, E, and C. 2
Beginning in the 1920s, government agencies and food policy advocates started pushing enrichment and fortification in an attempt to decrease nutrient deficiencies in the general population. The intent was not to alter dietary habits, per se, but to increase micronutrient intakes through foods Americans were already consuming. For example, companies began adding iodine to table salt to combat a high incidence of goiter (enlarged thyroid gland due to iodine deficiency) in the United States. 3
Additionally, the Food & Drug Administration enforced a mandate of adding folic acid to grain products (such as cereals and breads) to prevent neural tube defects in newborn babies.4

Are Fortification and Enrichment Good or Bad?​

Although fortification has increased the intake of vitamins and minerals in the United States, there is little evidence to suggest that adding nutrients (other than folic acid) has improved our health. In fact, there are concerns that fortifying and enriching foods may be harming us. 5,6

Some Problems with Fortification & Enrichment

Companies Often Add Vitamins at Dangerous Levels

This level may be up to 100% of the recommended daily allowance in a single serving, possibly causing you to exceed the limit. Most people do not exhibit deficiencies to such an extent to warrant this much. Hyper-fortified foods, in extreme cases, can result in toxicity overload and irreversible organ damage.7,8
Examples of problems from overconsuming vitamins A, E, B9, B12, calcium and iron include:
  • Too much-added vitamin A reduces bone density in older adults, increases the risks of birth defects and liver damage, and is associated with higher overall mortality risk.
  • Too much-added vitamin E can increase the risk of stroke.
  • Too much added folic acid (vitamin B9) can decrease immunity or mask a vitamin B12 deficiency (commonly seen in vegetarians).
  • Too much-added calcium can cause kidney stones.
  • Too much iron raises the risk of diabetes and heart problems in individuals with hemochromatosis, a genetic condition that causes the body to store excess iron in the liver, heart, and pancreas.

Fortification and Enrichment Upsets Nature’s Packaging

Your body does not absorb individual nutrients added to processed foods as efficiently compared to nutrients naturally occurring in whole foods. In short, all nutrients in whole foods have a purpose, working in concert to enhance the uptake and bioavailability of each other. A simple example is skim milk fortified with vitamins A and D. Skim and low-fat milk have been processed to remove the fat, thereby losing the fat-soluble vitamins A, D, and K. Although vitamins A and D are added back, our bodies cannot absorb them without a fat vehicle, nor can they function optimally without the assistance of vitamin K. 9

Vitamins added to Foods are Less Bioavailable

Nutrient bioavailability refers to the proportion of nutrients your body can absorb and use. Most food companies inject synthetic versions of vitamins and minerals, which your body may process differently (or not at all) compared to the natural, food-based versions.

Synthetic Vitamins Lack Immune-Boosting Substances

All-natural foods contain a trove of antioxidants and phytonutrients that scientists have yet to identify, let alone replicate. A group of physicians from university schools of public health around the country published a review in the Annals of Internal Medicine asserting that dietary supplements carry few potential benefits and, in some cases, are more harmful than helpful. 8

Elevated Levels of Certain Vitamins & Minerals Can Interact with Prescription Medications

Fortified foods and supplements can pose specific risks for people who are taking prescription medications, including decreased absorption of other micronutrients, treatment failure, and increased mortality risk. For example, calcium supplements have been found to interact dangerously with some heart and thyroid drugs. 11

Vitamins Often Only Need to Be Added Because They Were Originally Taken Out

While the foundation of most of what we eat is healthy, nutritious food, unfortunately, the nutrients within often end up being lost during the heavy processing that occurs to create the final product that ends up on the store shelves. If vitamins and minerals are being added back to foods, how bad must the processing have been to knock out all the healthful goodness that was already there?
Forced into foods or taken independently as supplements, vitamins and minerals often lose their best effects. The best way to avoid this is to consume whole foods with nutrients in their intended balance.

A Call to Action to Align with Better Nutrition Strategies

“For healthy people eating varied diets adequate in calories, there is little or no evidence that fortification improves health,” says Marion Nestle, Ph.D., M.P.H., a professor of nutrition, food studies, and public health at New York University. 12
While many brands may try to remedy the poor nutritional value of their products through the addition of vitamins and minerals, Elmhurst chooses a different approach.
Through our innovative HydroRelease™ method, we disassemble and then reassemble all the components of our source ingredients (nuts, seeds, or oats, depending on the product in question) to preserve its full nutritional integrity. All Elmhurst products deliver your vitamins and minerals in the form nature intended; staying true to its source ingredient—never fortifying, never enriching. Our full collection of healthy and delicious dairy-free plant milks, creamers, and spreads includes:
  • Original Nut Milks: Cashew Milk
  • Unsweetened Nut Milks: Almond Milk, Walnut Milk, Cashew Milk, Hazelnut Milk, Coconut Cashew Milk
  • Oat Milks: Original, Unsweetened, Barista Edition Oat Milk
  • Barista Editions: Barista Edition Pistachio Milk, Barista Edition Oat Milk, Barista Edition Almond Milk
  • Plant-based Creamers: Unsweetened Original, French Vanilla, Caramel Macchiato, Pistachio Creamer, Chai Spice
  • Dairy-Free Sour Cream
Escape the futility and deception of fortification and enrichment with a sincerely simpler, better choice!

References Dangers of Food Fortification and Enrichment.​

Kama unasema tbs inapewa pesa na wageni basi kazi ni kubwa sana, tuendelee kuisoma namba
 
Fortified foods are foods that have had additional vitamins, minerals or other nutrients added to them. These nutrients are added to help people meet their daily recommended intake of these essential nutrients. However, consuming too much fortified food can have some negative effects on your health, including:

  1. Excessive intake of certain vitamins: Fortified foods often contain high amounts of certain vitamins, such as vitamin A, D, and E. Consuming too much of these vitamins can lead to toxicity and cause symptoms such as nausea, headaches, and fatigue.
  2. Imbalanced nutrient intake: Consuming too much of one nutrient can lead to an imbalanced intake of other essential nutrients. For example, consuming too much iron can interfere with the absorption of other minerals, such as zinc and copper.
  3. Increased risk of chronic diseases: Excessive consumption of fortified foods, particularly those that are high in added sugars and sodium, can increase the risk of chronic diseases, such as diabetes, heart disease, and obesity.
  4. Interference with medication: Some fortified foods, such as those containing calcium, can interfere with the absorption of certain medications, such as antibiotics, thyroid medication, and iron supplements.
In summary, while fortified foods can provide important nutrients that are essential for good health, it is important to consume them in moderation and as part of a balanced diet to avoid negative health effects. It is always recommended to consult a healthcare professional or a registered dietitian before making any significant dietary changes.
334934260_157849730463871_4645662194721568443_n.jpg
 
Kama unasema tbs inapewa pesa na wageni basi kazi ni kubwa sana, tuendelee kuisoma namba
Hao TBS Maboss wao wanakula rushwa tutamkumbuka Hayati Rais Magufuli alivyokuwa akisema kila wakati hataki mchezo na wala Rushwa. Na Rais Magufuli ana waonea huruma Wananchi wake lakini viongozi wetu wengi wao wanajali pesa kuliko Afya za Wananchi Wao. Tutaisoma Namba mpaka Mwisho wa dunia Kazi bado ina endelea mbele ..........
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom