TBC1 na waziri wa elimu wamechakachua habari za udom

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
TBC1 jana ucku ilitangaza kuwa mgomo umeisha uku waziri wa elimu akitoa habari izo izo za uwongo ila kiukweli mpaka sasa leo ni siku ya tatu wanafunzi bado wamegoma kwenda madarasani wakishinikiza waliofukuzwa chuo akiwemo raisi wa kitivo cha sayansi na jamii warudishwe.My take;TBC1 wamepoteza mwelekeo na kuamua kuwadanganya watanzania so wanafunzi wamepanga kutoa ukweli na hitma ya madai yao ya field.
 
Serikali inachofanya ni kuhairisha matatizo,viongozi wa sasa hivi wamesahau majukumu yao na kubaki kulalamika au kutishia watu (ambao kwa bahati nzuri ni wapigaji kura wao).Kwa mambo kama haya wanaonesha kushindwa kwao kutumikia wananchi.
 
TBC walishagoma kutangaza ukweli.
Mgomo huo wa TBC ni mbaya kuliko migomo mingine yote duniani.
 
Sasa hatimaye wanafunzi wote wa social science leo wametimuliwa baada ya kuendelea na mgomo. Aibu yao milele.
 
TBC baada ya mhando ni taasis ya chama cha magamba,kama kawaida ya magamba ni kuongea uongo.Ukiwa mwanachama wa magamba unakuwa unafikiria kinyumenyume,so sio ajabu kauli ya tbc kuwa sawa na ya mwanachama wa magamba,mdharauliwa kawambwa
 
Unashangaa Tbc sio taasisi ya umma ni taasisi ya magamba ni sawasawa na redio uhuru au Gazeti la uhuru.
 
Back
Top Bottom