TBC Walimuita Tundu Lissu wa nini kama wanamuogopa?

Moses Kyando

Member
Mar 4, 2010
48
7
Wakati Tundu Lissu anaendelea kuelezea udhaifu wa TAKUKURU na madhambi ambayo serikali inafanya bila kung'ata ng'ata maneno na huyo mgeni mwingine kutoka TAKUKURU kujiona hana maneno, mara ghafla TBC wnakatisha kipindi na kutupeleka CCTV

Swali: Walimuita Tundu Lissu wa nini kama wanaogopa kuwa Tidolized (Kufanyiwa kama Tido Mhando)?
 
binadamu usonga mbele baada ya kuujua ukweli! Ndiyo maana leo hata wenzetu wa Afrika Mashariki (achana na Far East) wametupita kutokana na bidii yao katika kuutafuta UKWELI. Tofauti ya TBC na ITV/CTN/DTV nk ni kuwa ni kituo cha umma ...kwa vile wanaamua kihivyo, basi na waendelee hivyo na watu wetu wataendelea kubaki nyuma kwa kutoujua UKWELI ambao ndio unawalaza watu macho dunia nzima na nyie mmeletewa UKWELI huo mchana kweupe mnaukataa! Ajabu sana!!!!
 
Sasa wanajikuta wanaumbuka kama hawakuwa tayari kupokea hoja za Tundu Lissu walimuitia nini sasa aaagh
 
Du..Sijafanikiwa kuona hii broadcast!...yaonyesha ilikuwa nzuri sana!
 
Hamna mtu Butu kama Mshana bora alivyokuwa Tirdo Muhando hao wengine waganga njaa tu nothing more.
 
Kwa wale tunaotaka kutafuta UKWELI tutaupata tu bila kutegemea TBC1, kuna newes outlet nyingi including JF. Tunaomba Mh. Tundu Lissu utupatie hicho ulichokuwa unaongea TBC1 kupitia news outlet nyingine hata ikibidi BBC.

Huyo Mshana amepigiwa simu na JK kusitisha hicho kipindi kwasababu it is damaging to JK na its govt kwa sisi tuliomsikia jana LIVE bungeni japo mda wa dk 5 ulikuwa mdogo kwa Mh. Tundu Lissu kueleza kila kitu.

CCM you have to accept the writting is already on the wall
 
This is the day Mshana has endangered his post. But is a good trial anyway. Ngoja tuone. Wakina Tundu wako wengi, mtawazuia mpaka lini. Kazi yenu kugawana tu pesa za epa. Mikutano ya ufisadi imepamba moto. Takukuru! Good work Lisu.
 
Hoja alizokuwa akizitoa Tundu Lissu kuhusu Takukuru ndo zilizowatia kiwewe TBC kwa kuwa
zilikuwa zikihatarisha ajira zao...

Mungu ibariki Tanzania
 
walivyokatiza matangazo imekuwa ni sawasawa na kumshika mkono kipofu chakulani, bora wangeacha sasa ndiyo wameumbuka zaidi
 
Kwwani TBC si television na Radio ya Umma kwa maana Serikali na inapata ruzuku toka serikalini kwa kupitia jasho la wananchi wa Tanzania.

sasa kwanini wafiche ukweli? Je hawajui kuwa wanavunja sheria ile ya kupata habari?

Poleni sana
 
Ukipenda ukweli hakikisha unafuta kwanza uoga.
TBC kamekuwa kakundi kawatangazaji waoga na wanafki kupita wote duniani.
 
muda ulikuwa umekwisha bana...jambo tz huanza saa 12 mpaka saa2 kamili. kukurupuka bwana kunashida
 
muda ulikuwa umekwisha bana...jambo tz huanza saa 12 mpaka saa2 kamili. kukurupuka bwana kunashida
kama kukurupuka alikurupuka muandaaji, angekuwa nape wangeongeza hata dakika 15, pia jiulize, aljazeera na habari za nyumbani zipi bora, mkiambiwa mmeuzwa mnabisha, hiyo ni akili ya kitumwa!!!!!!
 
Kipindi akikukatwa bali muda ulikwisha. Pa yule mtangazaji amekiendesha vizuri ingawa yule kijana mwakilishi wa Takukuru alikuwa na hoja za kukariri
 
nasikia iliwekwa cctv badala yake, sasa muda ulioisha ni upi?wa kuzungumzia mambo ya nchini mwetu na kuweka ya nje kupitia cctv? nadhani mambo yetu ndo muhimu zaidi kuliko za nje, tbc kuna tatizo
 
Kipindi akikukatwa bali muda ulikwisha. Pa yule mtangazaji amekiendesha vizuri ingawa yule kijana mwakilishi wa Takukuru alikuwa na hoja  za kukariri
 
Back
Top Bottom