TBC mjifunze kwa KBC

lifeline

Member
Sep 10, 2013
63
9
Nashangaa TBC hawaonyeshi mpira wa Tanzania vs Zimbabwe,wakati KBC wanaonyesha live mechi Kati ya Kenya vs Comoro.TFF kuweni makini hii ni mechi ya Watanzania wote na kila mtu anapaswa kuona live.Duniani kote mechi za Timu za Taifa zinaonyeshwa kwenye Television za serikali.Tujifunze kwa wenzetu.
 
TBC hii imechujuka kupita kiasi. Hivi ilikuwaje Tido Mhando akaondolewa? Yule binadamu alikuwa tayari ameshaibadilisha TBC kuwa ya kitaifa na kimataifa badala ya kuwa kituo kama cha serikali ya mtaa !!!!!!!!!
 
Huyu mkurugenzi aliyeko sijui alipewa kama asante. Kenya na Uganda wote walionyesha mechi za timu za Taifa lao. Lakini kwa watanzania tutaambiwa walikosa wadhamini. Tido alikuwa mtu wa michezo lakini huyu aliyep siu ana fani gani? abda ulimwende au ?
 
hata Uganda vs Madagascar,Uganda walicheza ugenini,UGTV ilionesha live,ingawa Uganda walichapwa 2 kwa 1.
 
TBC ni majanga hata habari zake ziko very shallow kumuondoa Tido ndipo walipoharibu kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa TBC hawaonyeshi mpira wa Tanzania vs Zimbabwe,wakati KBC wanaonyesha live mechi Kati ya Kenya vs Comoro.TFF kuweni makini hii ni mechi ya Watanzania wote na kila mtu anapaswa kuona live.Duniani kote mechi za Timu za Taifa zinaonyeshwa kwenye Television za serikali.Tujifunze kwa wenzetu.

Mkuu Unataka Kufananisha Uwanja Wa Jangwani Pale Ufanane Na Wembley? au Unataka Kulazimisha Simon Msuva Afanane Na Samir Nasri? KBC Ni Habari Nyingine Na Isitoshe Nawakubali Sana Wakenya Kwa Masuala Ya Media Na Ueledi Wake Na Tuna Mengi Ya Kujifunza Kutoka Kwao.
 
Hii tbc sio ya taifa jamani, nitumie zana gani ili somo lieleweke? nchi nyingi tv za taifa zinaongoza kwa uweledi, ufikivu,kuthamini mahitaji ya watu mfano:Botswana wananchi walitaka tv yao "IWE FTA KWENYE KU" na wapo hivyo na wanaipata kiurahisi kabisa- TANZANIA HAKUNA UWAJIBIKAJI, TBC HAIMFIKIRII MLAJI WA MWISHO.
 
hakuna tbc bali tbccm
 
Wanaudhi kweli nilikuwa naangalia Maisha Plus yaani imebaki wiki ya mwisho ikakatika hadi leo hivyo nilibaki kufuatilia kwa FB na twiter. Nadhani wanataka wauze ving'amuzi vyao vya startimes kwa ajili ya kombe la dunia.Serikali hii kila kitu chake ni shida,shule,hospitali umeme nk.
 
Hili lingekuwa jukumu la mwandishi wa habari,mtangazaji,mbunge na waziri Juma Suleiman Nkamia kututetea sisi wananchi tupate haki yetu lakini wapi? Anasign tu malipo ya kopdi zetu
 
Tanzania kwa nini timu ya taifa inapocheza iwe ni mechi za kimashindano au kirafiki televisheni yetu ya taifa isionyeshe mechi live tofauti na nchi nyingi za afrika timu ya taifa ikicheza utaona tv ya taifa husika inaonyesha kama bafana wakicheza utaona sabc inaonyesha hata kama supersport wanaonyesha au tv yetu hawana uwezo
 
Back
Top Bottom