TBC - Jambo Tanzania; Mwakilishi wa commonwealth kuongea kiingereza ni sawa?

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Nimeshangaa kipindi cha leo asubuhi cha jambo live kuona mwakilishi wa commonwealth kuulizwa maswali na mtangazaji wetu Gabriel zakharia kwa kiswahili halafu yeye anajibu kiingereza. Hivi tbc wamemleta huyu mtu aje awaelimishe tbc au watanzania? Lakini kingine kilichonishangaza ni kuona huyu mwakilishi akiulizwa swali kiswahili bila kutafsiriwa huku yeye akijibu kwa kiingereza amewezaje kuelewa???
 
Hiyo kitu inawezekena sana tu. Mi mwenyewe naweza kuongea kiarabu ingawa kichina kinanipiga chenga.
 
T.B.C.C.M mnao ingalia wote masaburi.kwa mtu mwenye akili kwasasa huwezi angalia mavi yanaoendelea t.b.c.c.m
 
T.B.C.C.M nilishagoma kuangalia nakushangaa wewe unaoitolea macho ndio maana unaishia kuona MAVI tu!
 
Nimeshangaa kipindi cha leo asubuhi cha jambo live kuona mwakilishi wa commonwealth kuulizwa maswali na mtangazaji wetu Gabriel zakharia kwa kiswahili halafu yeye anajibu kiingereza. Hivi tbc wamemleta huyu mtu aje awaelimishe tbc au watanzania? Lakini kingine kilichonishangaza ni kuona huyu mwakilishi akiulizwa swali kiswahili bila kutafsiriwa huku yeye akijibu kwa kiingereza amewezaje kuelewa???

Lugha ina vitu muhimu vitatu au vinne:

1. Kuongea
2: Ufahamu
3: Kuandika

Kuna wanaoweza vyote hivyo kwa umahiri na kuna wanaoweza viwili kati ya hivyo na wengine komojawapo.

Sio jambo la ajabu mtu kusikia na kuelewa lakini akawa hana ufasaha katika kuongea. Kwa mfano watanzania wengi wanauwezo na ufasaha wa kusoma, kuandika, na ufahamu wa kiingereza, lakini hawana umahiri katika kuongea. Hivyo hivyo kuna watu wa nje ambao wanasikia na kuelewa kiswahili lakini katika kuzungumza inakuwa shida. Lakini pia, ni vizuri ukaongea lugha ambayo unaweza kujieleza vizuri na kwa ufasaha.

Katika kipindi kama hicho lilikuwa ni jukumu la mwendesha kipindi kutafsiri (synchronous translation) kwa kuwa walengwa wa kipindi walikuwa ni wazungumzaji wa kiswahili.
 
Mavi kwa jina jingine kinyesi ni chembechembe za mabaki ya chakula baada ya vimeng'enyo kufanyakazi yake mwilini.
 
Back
Top Bottom