TBC, ITV, Millard Ayo pamoja na media nyingine tusaidieni kufuatilia ugawaji dhalimu wa kijiji cha Mdawi

BenMo

Senior Member
Aug 23, 2014
160
63
Mdawi Ni KIJIJI Kilicho Mkoani Kilimanjaro Wilaya Ya Moshi Vijijini Kata Ya Kimochi.

Ni Kijiji Kongwe Kutokana Na Historia Yake Ambayo Kwa Leo Sitaelezea Historia Hiyo.Ni Kijiji Kinachopakana Na Kijiji Cha Mowo(Kwa Upande Wa Kaskazini);Kijiji Cha Shia(Upande Wa Magharibi);Kijiji Cha Kidia (Upande Wa Mashariki) Na Msaranga (Kwa Upande Wa Kusini).

Wadau Wote wa JF Kwanza Wasalaam.

Nimeleta Hapa Kwenye Jukwaa Hili Nikiamini Kelele Nitakazozitoa Hapa Zitawafikia Watu Wa Media Ili Waweze Kufuatilia Juu Ya Ugawaji Wa Kijiji Cha MDAWI.

Kwa kifupi Kijiji Cha Mdawi Kiligawanywa Mara Mbili Na Hivyo Kupata Vijiji Viwili Yaani '"MDAWI" Na "KISASENI"

Ninavyowasilisha Hapa ni kuwa kuna msuguano Mkubwa sana ambao upo baina ya Wanavijiji Waliogawanywa (pengine bila Kufuata Utaratibu)

Najua Zipo Sheria,Taratibu Na Kanuni Za Ugawaji Wa Lakini Kutokana Na Documents Zilizowasilishwa Kwenye Group la Whatsapp Linaloitwa "WAMDAWI" zinaonekana zina Mapungufu mengi na Sheria Hazijafuatwa.

Hata hivyo inasemekana vikao na Mkutano iliyofanyika saini zilifojiwa Ili AKIDI itimie. Wamdawi Wengi waishio Nje ya Mdawi hawakuridhishwa na Ugawaji huo DHALIMU.

Aidha kura zilizopigwa Kwenye Group la WAMDAWI Ni Kura 4 Tuu Ndio Zilizokubali Kuwepo Na Vijiji Viwili Lakini Zaidi Ya Kura 100 Zilikubali Uwepo Wa Kijiji Kimoja Yaani Mdawi Na Kukataa Kusiwepo Na Kijiji Kingine Hicho Walichokiita Kisaseni.

Sababu hasa za Ugawaji Wa kijiji Hicho inasemekana ni za Kisiasa Na Kuwa kuna Baadhi ya Viongozi Katika Kijiji Hicho Ambao Wana Uroho Wa Madaraka Na Hivyo Kuamua Kufanya Waliyofanya Ili Waweze Kugawana Madaraka Hayo.

Yapo mengi mengine yanayosemwa lakini pia inasemekana Zipo Fedha za TASAF zimeliwa na baadhi ya Nondo Hao,Pia Yapo madai ya vyerehani vya msaada vilitafunwa,Kutokusomwa kwa Mapato na matumizi ya kijiji kwa muda Mrefu na mengine mengi yenye uozo Mkubwa.

Sitomtaja Kiongozi yeyote Hapa Lakini Wanagrupu la "WAMDAWI" walipouliza maswali Kwenye Group la WhatsApp Hawakupewa Majibu Yoyote Na Viongozi Hao Japo Wamo Ndani Ya Grupu.

Naomba Msishangae kwa nini naandika Haya Yote Tena bila Mtiririko Rai Yangu Ni Kuwasaidia Media zitakazokuwa tayari Wapate Background nzuri Katika ufuatiliaji wa jambo Hili.

Mimi Sio Mwandishi Mzuri Lakini Bila Shaka Nilichokuwa Namaanisha Kimeeleweka.Rai Yangu Vyombo vyote ambavyo Vinaweza kupaza Sauti Ili Kijiji Kirudishwe kuwa kimoja Wasaidie Ili Haki Hii Ipatikane Kwa Haraka.

Mwisho lakini Sio kwa umuhimu Vyombo hivyo vya ufuatiliaji watakapofika Kijijini Mdawi Au Kuwasiliana Na Baadhi Ya Wanakijiji Waishio Nje Ya Mdawi Watapewa Ushirikiano Mkubwa Na Hivyo Kazi Yao Kuwa Nyepesi Zaidi.

Naomba Kuwasilisha!
 
Hivi ile barabara ya kwenda mdaw kipind chamvua inapitika kwa sasa mkuu?

Hivi ikatokea wakavunja hicho kijiji nini kitatokea?

Kama ni muhim sana baraza la kijiji Lina maoni gani?
Lakini zaid sana, changeni hela wanamdawi muite mkutano wa kijiji muelewe kiini hasa cha kuvunja kijiji ni kitu gani.
 
Ipo Japo haikutengenezwa kwa viwango!

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Nina umia mtu anaandika kitu kizuri Kwa masilai mapana ya WANANCHI linatokea jitu lenye akili za kijinga kama Ili linaandika ujinga hivi,wazazi hacheni.kutumia staili ya mbinuko KUTAFTA watoto matokeo tunaumia ambao hatujafaidi mbinuko
Maslahi mapana? Ya konyo
 
Mdawi Ni KIJIJI Kilicho Mkoani Kilimanjaro Wilaya Ya Moshi Vijijini Kata Ya Kimochi.

Ni Kijiji Kongwe Kutokana Na Historia Yake Ambayo Kwa Leo Sitaelezea Historia Hiyo.Ni Kijiji Kinachopakana Na Kijiji Cha Mowo(Kwa Upande Wa Kaskazini);Kijiji Cha Shia(Upande Wa Magharibi);Kijiji Cha Kidia (Upande Wa Mashariki) Na Msaranga (Kwa Upande Wa Kusini).

Wadau Wote wa JF Kwanza Wasalaam.

Nimeleta Hapa Kwenye Jukwaa Hili Nikiamini Kelele Nitakazozitoa Hapa Zitawafikia Watu Wa Media Ili Waweze Kufuatilia Juu Ya Ugawaji Wa Kijiji Cha MDAWI.

Kwa kifupi Kijiji Cha Mdawi Kiligawanywa Mara Mbili Na Hivyo Kupata Vijiji Viwili Yaani '"MDAWI" Na "KISASENI"

Ninavyowasilisha Hapa ni kuwa kuna msuguano Mkubwa sana ambao upo baina ya Wanavijiji Waliogawanywa (pengine bila Kufuata Utaratibu)

Najua Zipo Sheria,Taratibu Na Kanuni Za Ugawaji Wa Lakini Kutokana Na Documents Zilizowasilishwa Kwenye Group la Whatsapp Linaloitwa "WAMDAWI" zinaonekana zina Mapungufu mengi na Sheria Hazijafuatwa.

Hata hivyo inasemekana vikao na Mkutano iliyofanyika saini zilifojiwa Ili AKIDI itimie. Wamdawi Wengi waishio Nje ya Mdawi hawakuridhishwa na Ugawaji huo DHALIMU.

Aidha kura zilizopigwa Kwenye Group la WAMDAWI Ni Kura 4 Tuu Ndio Zilizokubali Kuwepo Na Vijiji Viwili Lakini Zaidi Ya Kura 100 Zilikubali Uwepo Wa Kijiji Kimoja Yaani Mdawi Na Kukataa Kusiwepo Na Kijiji Kingine Hicho Walichokiita Kisaseni.

Sababu hasa za Ugawaji Wa kijiji Hicho inasemekana ni za Kisiasa Na Kuwa kuna Baadhi ya Viongozi Katika Kijiji Hicho Ambao Wana Uroho Wa Madaraka Na Hivyo Kuamua Kufanya Waliyofanya Ili Waweze Kugawana Madaraka Hayo.

Yapo mengi mengine yanayosemwa lakini pia inasemekana Zipo Fedha za TASAF zimeliwa na baadhi ya Nondo Hao,Pia Yapo madai ya vyerehani vya msaada vilitafunwa,Kutokusomwa kwa Mapato na matumizi ya kijiji kwa muda Mrefu na mengine mengi yenye uozo Mkubwa.

Sitomtaja Kiongozi yeyote Hapa Lakini Wanagrupu la "WAMDAWI" walipouliza maswali Kwenye Group la WhatsApp Hawakupewa Majibu Yoyote Na Viongozi Hao Japo Wamo Ndani Ya Grupu.

Naomba Msishangae kwa nini naandika Haya Yote Tena bila Mtiririko Rai Yangu Ni Kuwasaidia Media zitakazokuwa tayari Wapate Background nzuri Katika ufuatiliaji wa jambo Hili.

Mimi Sio Mwandishi Mzuri Lakini Bila Shaka Nilichokuwa Namaanisha Kimeeleweka.Rai Yangu Vyombo vyote ambavyo Vinaweza kupaza Sauti Ili Kijiji Kirudishwe kuwa kimoja Wasaidie Ili Haki Hii Ipatikane Kwa Haraka.

Mwisho lakini Sio kwa umuhimu Vyombo hivyo vya ufuatiliaji watakapofika Kijijini Mdawi Au Kuwasiliana Na Baadhi Ya Wanakijiji Waishio Nje Ya Mdawi Watapewa Ushirikiano Mkubwa Na Hivyo Kazi Yao Kuwa Nyepesi Zaidi.

Naomba Kuwasilisha!

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli kuna matatizo mengi sana. Poleni sana
 
Huwa nashangaa kitu kimoja kuhusu watanzania, unaweza sikia eti kuna mgogoro wa ardhi hadi watu wanapigana kisa mgawanyo wa vijiji, hivi hilo linawahusu nn? Yaan mtendaji agawanye kijiji mie nafaidika nn?
 
Ukikua Utajua Unafaidika Nini Ila Kwa Sasa Kaa Kwa Kutulia_

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Mdawi Ni KIJIJI Kilicho Mkoani Kilimanjaro Wilaya Ya Moshi Vijijini Kata Ya Kimochi.

Ni Kijiji Kongwe Kutokana Na Historia Yake Ambayo Kwa Leo Sitaelezea Historia Hiyo.Ni Kijiji Kinachopakana Na Kijiji Cha Mowo(Kwa Upande Wa Kaskazini);Kijiji Cha Shia(Upande Wa Magharibi);Kijiji Cha Kidia (Upande Wa Mashariki) Na Msaranga (Kwa Upande Wa Kusini).

Wadau Wote wa JF Kwanza Wasalaam.

Nimeleta Hapa Kwenye Jukwaa Hili Nikiamini Kelele Nitakazozitoa Hapa Zitawafikia Watu Wa Media Ili Waweze Kufuatilia Juu Ya Ugawaji Wa Kijiji Cha MDAWI.

Kwa kifupi Kijiji Cha Mdawi Kiligawanywa Mara Mbili Na Hivyo Kupata Vijiji Viwili Yaani '"MDAWI" Na "KISASENI"

Ninavyowasilisha Hapa ni kuwa kuna msuguano Mkubwa sana ambao upo baina ya Wanavijiji Waliogawanywa (pengine bila Kufuata Utaratibu)

Najua Zipo Sheria,Taratibu Na Kanuni Za Ugawaji Wa Lakini Kutokana Na Documents Zilizowasilishwa Kwenye Group la Whatsapp Linaloitwa "WAMDAWI" zinaonekana zina Mapungufu mengi na Sheria Hazijafuatwa.

Hata hivyo inasemekana vikao na Mkutano iliyofanyika saini zilifojiwa Ili AKIDI itimie. Wamdawi Wengi waishio Nje ya Mdawi hawakuridhishwa na Ugawaji huo DHALIMU.

Aidha kura zilizopigwa Kwenye Group la WAMDAWI Ni Kura 4 Tuu Ndio Zilizokubali Kuwepo Na Vijiji Viwili Lakini Zaidi Ya Kura 100 Zilikubali Uwepo Wa Kijiji Kimoja Yaani Mdawi Na Kukataa Kusiwepo Na Kijiji Kingine Hicho Walichokiita Kisaseni.

Sababu hasa za Ugawaji Wa kijiji Hicho inasemekana ni za Kisiasa Na Kuwa kuna Baadhi ya Viongozi Katika Kijiji Hicho Ambao Wana Uroho Wa Madaraka Na Hivyo Kuamua Kufanya Waliyofanya Ili Waweze Kugawana Madaraka Hayo.

Yapo mengi mengine yanayosemwa lakini pia inasemekana Zipo Fedha za TASAF zimeliwa na baadhi ya Nondo Hao,Pia Yapo madai ya vyerehani vya msaada vilitafunwa,Kutokusomwa kwa Mapato na matumizi ya kijiji kwa muda Mrefu na mengine mengi yenye uozo Mkubwa.

Sitomtaja Kiongozi yeyote Hapa Lakini Wanagrupu la "WAMDAWI" walipouliza maswali Kwenye Group la WhatsApp Hawakupewa Majibu Yoyote Na Viongozi Hao Japo Wamo Ndani Ya Grupu.

Naomba Msishangae kwa nini naandika Haya Yote Tena bila Mtiririko Rai Yangu Ni Kuwasaidia Media zitakazokuwa tayari Wapate Background nzuri Katika ufuatiliaji wa jambo Hili.

Mimi Sio Mwandishi Mzuri Lakini Bila Shaka Nilichokuwa Namaanisha Kimeeleweka.Rai Yangu Vyombo vyote ambavyo Vinaweza kupaza Sauti Ili Kijiji Kirudishwe kuwa kimoja Wasaidie Ili Haki Hii Ipatikane Kwa Haraka.

Mwisho lakini Sio kwa umuhimu Vyombo hivyo vya ufuatiliaji watakapofika Kijijini Mdawi Au Kuwasiliana Na Baadhi Ya Wanakijiji Waishio Nje Ya Mdawi Watapewa Ushirikiano Mkubwa Na Hivyo Kazi Yao Kuwa Nyepesi Zaidi.

Naomba Kuwasilisha!

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Mnashindws kulianzisha? Miladi Ayo yule Chawa kuna anacho weza wasaodia? TBC ipi? Itv ipi ta enzi zile za wakina Abdala Majura au hii ya Chawa?

Kwa kifupi lianzisheni
 
Back
Top Bottom