Tazama na toa maoni yako MAGAMBA!!

Xuma

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
683
196
5 (9).jpg

Toa maoni yako hapo! eti hao ni wanamagamaba wapya!
 
Kwa nje wanaonekana ni wanachama wa magamba lakini moyoni mwao wanawaza namna biashara zao zitakavyoshamiri kwani TRA sasa watakuwa likizo.
 
nimipenda hiyo style yao ya kuangalia maana kila mtu kaangalia kule klikompendeza wakati picha inapigwa
 

Sura zao tu zinaonyesha wamechoka naona na mvua ikawanyea...........lol!
Hawa watu moja kwa moja wanaonesha kuwa wako kimaslahi zaidi kah! hivi kweli mtu unajiunga na ccm wakati huu hata kama ni mapenzi nachama labda................
 
Back
Top Bottom