Tazama ligi kubwa duniani kwa gharama kidogo

-Jipatie Canal+ HD decoder uweze kuburudika katika msimu huu wa ligi mbalimbali kwa sh 195,000 (ikijumuisha ufundi+ kifurushi cha kuanzia)

-Utaweza kuona ligi za Uingereza (EPL), Ufaransa(League 1), Laliga, UEFA,Europa na zinginezo.
-Mashindano mbalimbali ya tennis(Wimbledon, ATP Masters 1000), mpira wa kikapu (NBA), rugby, mashindano ya magari (Formula 1), mieleka (WWE) nk.

-Yote haya utayaona kwa channel za Canal 1,2,3 na 4 zote zikiwa HD

-Malipo ya kifurushi cha Canal ni 45,000 tu kila mwezi.

NB.
-Matangazo ya mpira na live events zingine ni kwa lugha ya kifaransa.
-Bei hii haijumuishi dish

Simu: 0764453848

MKuu huu ni upotoshaji na mnawaingiza cha kike wasio jua.

Kuna jamaa yangu kafunga hii, hizi International mechi zote hakun hata moja.
hata hizo EPL ni chache tu sio zote.
Kifupi mnawapiga wajinga wasio jitambua.
bado DSTV haina mbadala.
Tuendelee kumuombea AZAM afike hata nusu ya DSTV huko mbeleni.
 
Usithubutu hii, maana supersports wakilalamika tu, satelite signal zikabadilishwa inakula kwako.
Mikaa ile ili kula kwangu na kingamuzi changu cha HUMAX HD nilipia mwaka mzima Beinsports ( Aljazeera sports)
1. Sababu kubwa ya kuondolewa signal za Beinsports kupitia ving'amuzi vya HUMAX ni kuwa beam yao iliingia nje ya operational zone. Kibali cha Beinsport kinamruhusu kuoperate juu ya jangwa la Sahara na kwenye pembe ya Africa(Horn of Africa) tu lakini DSTv na Canal+ wote wapo kwenye operational zone moja chini ya jangwa la Sahara.

2. Canal+ wameshindwa kuonesha International matches kwa kuwa hawakuwa na kibali cha kuonesha mechi hizo ni sawa na DSTv kutoonesha UEFA Europa ambazo zinaoneshwa na Canal+.
 
MKuu huu ni upotoshaji na mnawaingiza cha kike wasio jua.

Kuna jamaa yangu kafunga hii, hizi International mechi zote hakun hata moja.
hata hizo EPL ni chache tu sio zote.
Kifupi mnawapiga wajinga wasio jitambua.
bado DSTV haina mbadala.
Tuendelee kumuombea AZAM afike hata nusu ya DSTV huko mbeleni.
Mbona kama wewe ndo unaleta upotoshaji, hayo unayolalamika jamaa hajasema hata moja. kwani mdau kasema hii ni mbadala wa DSTV? Kwani kadai kuwa inaonyehsa hizo international matches? Nahisi watu weneyewe wanaozitaka hizi ndo hawana elewa vya kutosha. so unapaswa mtu kuuliza vyote ili ushairiwe je kitakufaa au laa, kama unafanya kwa ajili ya biashara ya kuonyesha mpria... kwa asilimia 99% faida unapata kwa kulipia hicho 45,000 kwa mwezi, ukisema uwe na DSTV tu na ulipie Compact 44,000 kwa mwezi... utakosa zaidi kuliko kulipia hi Canal... hicho kifurushi (Compact cha DSTV) pia hakina mechi zote za EPL, hakina mechi zote za UEFA na hakina Europa.

NI kweli Canal plus hawaonyeshi mechi zote za EPL ila wanaonyesha anglau mechi zote kubwa. Kwa wakati mwingine hutokea mechi nyingi zinachezwa muda moja.. so inaweza ikatokea ukokosa mechi kubwa mara moja moja sana.

Pia every new football season.. canal wanjitahidi kuongeza mipira... wameongeza Seria A hivi karibuni... wameongeza channel za mipira pia.

DSTV wana channel nyingi za sport... ukiwa na ile Premium (129,000 bei) utaona mechi zote kubwa ila pia hawacover mechi zote za EPL..zile ndogo ndogo zinakosekana,,, zinaweza zikawa kuna mechi 8 kwa siku moja... DSTV akaonyesha 5/6 tu. Huku Canal akaonyesha mechi 3/4 (45,000 bei)

So mwisho wa siku ata huyo DSTV ana mapungufu,So kabla ya kulalamika na kumshutumu jamaa, watu muwe mnauliza kwanza, sio mtu unanunua tu alafu baadae unaanza kulalamika.
 
Shukrani kwa maelezo yako mazuri.
 
Ratiba ya UEFA wiki hii 22-23 October
IMG-20191018-WA0020.jpeg
 
Jipatie decoder ya Canal ushuhudie mechi za UEFA Jumanne na Jumatano hii
 
Mna channel za movies mkuu?

Kama mnazo naomba unitajie majina yake na kama hizo channel zipo zinatumia lugha ya kizungu au kifaransa.
Kuna Canal+ Series, Canal+ Ouest, Canal+ Cinema centre, Canal+ Centre, Canal+ Family Centre, Cinema Ouest, Family Ouest, Series Ouest, nk

Lugha unaweza kubadilisha kwa lugha ya kiingereza au Kifaransa
 
Back
Top Bottom