hii ni illuminati symbol na si urembo kama huyo dada anavyodhani..wengi wanafuata mkumbo wa kuiga tu lakini kumbe wanatumika kupeleka ujumbe fulani bila wao wenyewe kujua ni agents. na hawa jamaa wanataka hizi symbols zao zituingie na tuone ni kawaida kupia music industry hususani popular culture, movies, games,majengo na hata cartoon za watoto!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.