RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 196
Huu ni ugonjwa sasa atatongozwa na chizi kama Eminem tu huyo
Hii kazi ya kuchora hzo Tattoo itanifaa sana. Anyone wth idea wapi wanasomea? Lol....!
Nipatie contacts zake nijitose mie ebo!Huu ni ugonjwa sasa atatongozwa na chizi kama Eminem tu huyo
wewe ni she au he?Nani Dar ndio mtaalam wa kuchora tattoo. I want one on my leg
Hata kwa dada zetu mablack wanapendeza na tattooall of them are gross .... but lets be honest here these things leave for them whites.... now if a black person go for tatoo may be she should use white ink...
Hizi ni ndogo sana zipi kali kuliko?Mkuu utamaduni huu kwa kwetu Tanzania ni mgeni ila kwa America ndio funga kazi hata hizi nazo ni ndogo sana