Tatoo kwa walinzi na maboss

lifeofmshaba

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
867
219
TATOOO.jpg

mtu anaweza zani unamwangalia kumbe wapi
 
huu ni ubunifu kwa ajiri ua walinzi na mabossi wanaotaka kuonekana wanamacho kila kona, kwa mapolisi nayo ingekua poa zaidi
 
Lol!!

Afadhali nimwone mimi lakini si watoto maana hawatalala. Kila mara watakuwa wanaweweseka na woga+hofu vikiwashika. Inatisha!!
 
vipi hii tukitumia kuwatishia mafisadi
wanaweza kuweweseka na wengine kuanguka majukwani
Lol!!

Afadhali nimwone mimi lakini si watoto maana hawatalala. Kila mara watakuwa wanaweweseka na woga+hofu vikiwashika. Inatisha!!
 
Back
Top Bottom