malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,716
Habari wakuu nauliza tatizo la umeme katika moyo linatokana na nini?
1: Kasoro kwenye kianzisha umeme chenyewe/kwenye moyo.Habari wakuu nauliza tatizo la umeme katika moyo linatokana na nini?
Hii ndio naisikia leo.Myocardial arrhythmia
Wengine wanapata kutokana na magonjwa ya mishipa ya damu, kwamba mishipa ya kulia nayo inapata shida mtu anapata tatizo la umeme wa moyo. Matatizo haya yanapata watu wenye umri wa miaka 55 na kuendelea.1: Kasoro kwenye kianzisha umeme chenyewe/kwenye moyo.
2: Vituo vinavyosimamia mfumo wa umeme kwenye moyo.
3: Misuli ya moyo yenyewe.
4: Shambulio la moyo na makovu yake.
5: Kuziba kwa mshipa wa damu inayolisha moyo.
6: Mabadiliko kwenye maumbile ya moyo/kutanuka.
7: Kisukari
8: Presha ya kupanda.
9: Maambukizi kama Covid-19
10: Kuwa na tezi la thyroid linalitoa vichocheo zaidi.
11: Kulala na kubanwa pumzi
12: Tezi la thyroid kutoa vichocheo ch8ni ya kiwango.
13: Dawa zitolewazo kaajili ya jutibu allergy na mafua.
14: Vinywaji kama pombe na kahawa.
15: Dawa za kulevya
16: Kurithi
17: Uvutaji sigara
19: Stress au Uoga uliopitiliza
20: Presha ya kushuka
21: Nk.
I meant cardiac arrhythmia ndio typing errorHii ndio naisikia leo.
Mimi najua Cardiac arrhythmia na Myocardial Infarction.
Nilijua itakuwa typing error.I meant cardiac arrhythmia ndio typing error
21. Upungufu au Kuzidi kwa Madini ya Muhimu kama Potassium, Sodium.1: Kasoro kwenye kianzisha umeme chenyewe/kwenye moyo.
2: Vituo vinavyosimamia mfumo wa umeme kwenye moyo.
3: Misuli ya moyo yenyewe.
4: Shambulio la moyo na makovu yake.
5: Kuziba kwa mshipa wa damu inayolisha moyo.
6: Mabadiliko kwenye maumbile ya moyo/kutanuka.
7: Kisukari
8: Presha ya kupanda.
9: Maambukizi kama Covid-19
10: Kuwa na tezi la thyroid linalitoa vichocheo zaidi.
11: Kulala na kubanwa pumzi
12: Tezi la thyroid kutoa vichocheo ch8ni ya kiwango.
13: Dawa zitolewazo kaajili ya jutibu allergy na mafua.
14: Vinywaji kama pombe na kahawa.
15: Dawa za kulevya
16: Kurithi
17: Uvutaji sigara
19: Stress au Uoga uliopitiliza
20: Presha ya kushuka
21: Nk.
Duu hii kitu ina sababu 200 kama za ukimwi,ukikwepa hapa lazima uangukie huku1: Kasoro kwenye kianzisha umeme chenyewe/kwenye moyo.
2: Vituo vinavyosimamia mfumo wa umeme kwenye moyo.
3: Misuli ya moyo yenyewe.
4: Shambulio la moyo na makovu yake.
5: Kuziba kwa mshipa wa damu inayolisha moyo.
6: Mabadiliko kwenye maumbile ya moyo/kutanuka.
7: Kisukari
8: Presha ya kupanda.
9: Maambukizi kama Covid-19
10: Kuwa na tezi la thyroid linalitoa vichocheo zaidi.
11: Kulala na kubanwa pumzi
12: Tezi la thyroid kutoa vichocheo ch8ni ya kiwango.
13: Dawa zitolewazo kaajili ya jutibu allergy na mafua.
14: Vinywaji kama pombe na kahawa.
15: Dawa za kulevya
16: Kurithi
17: Uvutaji sigara
19: Stress au Uoga uliopitiliza
20: Presha ya kushuka
21: Nk.
Chanzo kikubwa ni kupambana na MafisadiHabari wakuu nauliza tatizo la umeme katika moyo linatokana na nini?