Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

Nilisema wiki iliyopita kuwa wachaga wengi hawana nguvu za kiume sababu ya pombe, wachaga walinishambulia sana, yako wapi leo vyombo vya habari vimefanya utafiti. loh!!!!!! mnatia aibu.

cc. Asprin

Sio wachaga wote, ni baadhi yao wapo kule kijijini hawana ajira kutokana na uhaba wa ajira za serikali ya ccm... ndorooobo wewe..
 
Last edited by a moderator:
Bali nakushauri unapotaja wachaga zingatia maeneo na aina ya wachaga. HAWA victim ni WAROMBO.unaposema wachaga wote unakosea. Mchaga WA uru marangu,au kilema umeskia nini kutokakwao

cc. Asprin
[/QUOTE]

Simba wa Serengeti na wa Mikumi wote simba tu. Hiyo kazi ya kutofautisha mtafanya huko Kilimanjaro, sisi tunajua wachaga ni wachaga tu...
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ukweli mtupu hata ITV wiki iliyopita walionesha ili jambo na leo kama utakuwa na muda fatilia kipindi kinaitwa report maalum saa 3 ujionee kila kitu na wanawake wana lalamika kweli na hata serikali imekuwa ikiwakamata wuzaji wa pombe huko na kuna operation maalum... ya kuwakamata walevi na wauza pombe! Fatilia ITV leo saa 3
Ukiangalia zina Tbc asante ccm
 
baadhi ya wanawake wa rombo wadaiwa kukodi wanaume wa kufanya nao mapemzi kutokana na waume zao kuzidiwa na ulevi na kushindwa kufanya tendo hilo...ili wapate mimba

sasa uoni kama hilo ni tatizo?bila pombe? halafu hapa kinacho ongelewa ni ulevi ulio pitiliza...

Mimi binafsi nashangaa inapoongelewa kuwa Pombe ni sababu ya kushindwa hadi kufikia wanawake wafanye Import Business of men from kenya na kuharibu thamani ya pesa yetu ikiwa Tanzania tunajiweza.

Tatizo la wachaga wamewekeza zaidi katika biashara badala ya kuijali familiya. wengi wapo DSM lakini wake zao wapo Moshi tena kijijini. Wanaume wanaenda mwezi December kipindi cha X-Mass.

Je hapo tunategemea nini kwa mwanamke aliyekamilika na mwenye hisia??????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hata huku Dar tatizo la wachagga kuwa wakevi lipo sana, ni vile Dar jiji kubwa ndio maana tatizo halijioneshi sana...ila wanamegewa sana!
 
baadhi ya wanawake wa rombo wadaiwa kukodi wanaume wa kufanya nao mapemzi kutokana na waume zao kuzidiwa na ulevi na kushindwa kufanya tendo hilo...ili wapate mimba

Kweli Penye Miti Mingi Hakuna Wajenzi. Ebwana Kama Vipi Nipe Na Mimi Namba Zao Ili Nijikodi Kwao Niwapandikize Wazae Akina Gentamycine Wengi.
 
Sio wachaga wote, ni baadhi yao wapo kule kijijini hawana ajira kutokana na uhaba wa ajira za serikali ya ccm... ndorooobo wewe..

Ndorooobo mwenyewe!!!!!!!!!!, sijui umekula maharage ya wapi wewe!!!!!!!!!!!, uvalishe pempars wewe!!!!!!!! wachaga hata wanaofanya kazi na biashara hapa mjini wote pombe zimewaliza nguvu ndio maana masaa 24 mnashinda kwenye ma bar kama mapaka ya bar, kwasababu hata ukisema uwahi kurudi nyumbani unajua kabisa huna jipyaaaa kwa mkeooo. loh!
 
CC #wekapichateam
20150519032701.jpg
 
Simba wa Serengeti na wa Mikumi wote simba tu. Hiyo kazi ya kutofautisha mtafanya huko Kilimanjaro, sisi tunajua wachaga ni wachaga tu...[/QUOTE]

Dah
Yamekuwa hayo tena
 
Nonesense. Wanawake kibao tena walioko kwenye ndoa wana mahusiano nje ya ndoa na wanaume wengine wakati hao wanaume wao wa ndoa hawajui hata harufu ya pombe. Naona Gazeti la Mwananchi linaanza kuwa kama magazeti ya udaku sasa.

Point ...!
 
Hata sio Rombo tu tangu tunakua gongo znaua vijana na wazee kijijiji kwetu shule zinakosa watoto wa kuenroll madarasa yanabak empty kisa mbundumbundu na piwa
 
Mimi binafsi nashangaa inapoongelewa kuwa Pombe ni sababu ya kushindwa hadi kufikia wanawake wafanye Import Business of men from kenya na kuharibu thamani ya pesa yetu ikiwa Tanzania tunajiweza.

Tatizo la wachaga wamewekeza zaidi katika biashara badala ya kuijali familiya. wengi wapo DSM lakini wake zao wapo Moshi tena kijijini. Wanaume wanaenda mwezi December kipindi cha X-Mass.

Je hapo tunategemea nini kwa mwanamke aliyekamilika na mwenye hisia??????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mambo ya 50's na 70's hayo hakuna anayefanya hivo sikuhizi..
 
Back
Top Bottom