Tatizo la ukukatika kwa umeme mjini kati (city centre)

manchester

Member
Sep 3, 2010
54
3
mefurahi kumskia waziri husika leo akitamba redioni ya kwamba transformer zilizokuwa zimeharibika zitafungwa mpya hapo kesho.. Jamani watanzia tushafika sehemu siasa ziwekwe kando na utendaji uchukue sehemu yake inamuhia ugumu gani kutamka tranfomer zitakazofungwa ni zile zile zamani na si mpya na huyo aliyetumwa kufuatilia transofma mpya china amefikia wapi na ni kweli mgao hautakuwepo mbona kuna kila dalili ya mgao mkubwa kuja karibuni...Nawakilisha
 
Jana tumeona wakikanusha kuwa hakutakuwa na mgao wa umeme, wakatanabaisha kuwa uzalishaji wa umeme ni mkubwa sana lakini kunatatizo la miundombinu kwenye shirika, wamedai kuwa umeme mwingi unapotea njiani maana nyaya zinazotumika kusambaza umeme ni zazamani sana, chakushangaza hawakugusia kuwa watachukua hatua gani kudhibiti tatizo hilo, mimi naona mgao upo na unaendelea kinyemera sababu haipiti siku bila umeme kutatika ktk maeneo yote ya jiji hii ni hatari sana watanzania wenzangu.
 
Kama unawaamini viongozi wa nchi nakupa pole......Ngeleja sisi tulishamsamehe maana alituambia ana watoto na mke wake ana mimba kwahiyo kila linalotokea naomba Ngeleja msiguse kwani yeye anatafuta riziki ya kulisha familia yake tu hayo mengine hayawezi.
 
Back
Top Bottom