Tatizo la kuumwa na Tumbo baada ya kujifungua

Mbilimbili

Senior Member
Mar 17, 2012
172
19
Nina rafiki yangu ambaye alijaliwa kuwa na mtoto toka 2008, shida anayopata ni kwamba huwa anasumbuliwa sana na kuumwa Tumbo. Haijalishi amekaribia siku zake za mwezi (menstruation cycle) huwa inamuuma wakati wowote, japo hospital amekwenda sehemu tofauti tofauti ila hawaoni ugonjwa wowote.
 
Je, alizaa kwa operesheni au kwa njia ya kawaida? jibu halafu nitakupa maelezo.
 
Habari wanajf wenzangu. Naombeni mnisaidie nimejifungua miezi minne iliyopita ila nasumbuliwa na tumbo chini ya kitovu. Kwa uelewa wangu ni kwenye kizazi upande wa kulia na kushoto. Je ili tatizo linatokana na kujifungua kwangu ama ni tatizo jingine? Nimejifungua kwa njia ya kawaida naombeni Msaada kwa anayefahamu afya ya uzazi.
 
Back
Top Bottom