amoc thedon
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 293
- 464
Nina rafiki angu ameingia period tarehe 27/03 na akamaliza vizuri.
Sasa leo amenitafta anaomba ushauri kua anatokwa na dam tangu juzi mpaka leo yaan siku 3 sasa kuanzia tarehe 8/04.
Hapa amechamganyikiwa hajui tatzo ni nini ila anadai damu inatoka kidog kidog sana na inakua na weusi flani
Nimejaribu kumwuulza kama amefanya chochote kisicho cha kawaida, akasema week ilo pita alikutanana na boy friend wake wakafanya mapenzi bila Kinga na matokeo yake akameza P2 na anadai kua hio ndo mala yake ya kwanza kutumia hivyo vidonge.
Naombeni ushauri je hili ni tatzo ama ni mambo ya kawaida tu ? Maan kuna mda anahic labda ni unauzito umetunga nje ya kizazi