Tatizo la Kukosa hamu ya chakula!

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,566
Wadau wana JF ambao pia ni ma-Great Thinkers!

Mwenzenu nina tatizo la kukosa kabisa hamu ya kula chakula. Kwenye chakula namaanisha ugali, wali, Nidizi. nyama n.k (Nimefafanua hapa maana najuwa watu wengine wanaweza kuja na tafsiri zao wanazozijuwa wenyewe!).
Naomba ushauri wa jinsi gani ninaweza kuondoka na tatizo hili. Kwa kifupi tatizo nimedumu nalo kwa miaka mingi na mara nyingi huwa nakula chakula kutimiza wajibu ....

Nawakilisha ....
 
Wadau wana JF ambao pia ni ma-Great Thinkers!Mwenzenu nina tatizo la kukosa kabisa hamu ya kula chakula. Kwenye chakula namaanisha ugali, wali, Nidizi. nyama n.k (Nimefafanua hapa maana najuwa watu wengine wanaweza kuja na tafsiri zao wanazozijuwa wenyewe!).Naomba ushauri wa jinsi gani ninaweza kuondoka na tatizo hili. Kwa kifupi tatizo nimedumu nalo kwa miaka mingi na mara nyingi huwa nakula chakula kutimiza wajibu ....Nawakilisha ....
hata mimi ninatatizo hilo. Nilifikiri niko mwenyewe,2naomba ushauri.
 
zoezi linahitajika jamanni mambo ya kukaa na kula chips chips si sahihi...... ukiona vipi piga wine glass mbili asubuhi after mswaki,njaa itakuja tu
 
Back
Top Bottom