Abubakary Shacou
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 392
- 305
Tanzania ya leo inanishangaza sana,hisia za kipuuzipuuzi kama ukabila,udini na ukanda zinashamiri sana.Mfano utaona mtu anapinga vitu kama mahakama ya kadhi kwa sababu inawahusu watu wa kundi moja,hoja hiyo ni nzuri sana kama kweli ingemaanisha kuondoa udini,cha kushangaza ni kuwa,watu wote wanaokataa mahakama ya kadhi wanataka PADRI awe mkuu wa nchi na serikali huku wakiamini hataleta elements za kikanisa ukizingati mtu amelelewa na kusoma muda mrefu kanisani.mapadri na mashekh wangebaki huko madhauni,nchi iongozwe na watu waliosoma shule za kisecular na sio walioandaliwa kuongoza kanisa au misikiti.
Wewe nenda vizuri ama vinginevyo wakuwaishe mirembe maana unaposema padri wanataka aongoze nchi unajidanganya kwani nani padri au shekhe amekuwa na sifa kanyimwa fulsa?! Cc sote ni waumini tu wewe unatafuta sababu ya kujibagua lkn naona kama unajifinya alafu unalia pole.