ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,557
Ni kweli mkuu asilimia kubwa hayo ma Vx ma V8 unayakuta yamepaki mida ya asubuh na jioni!
duu kumbe nilikuwa sijui ati...
Ni kweli mkuu asilimia kubwa hayo ma Vx ma V8 unayakuta yamepaki mida ya asubuh na jioni!
Kuna vitu vingine umetia ushabiki usio na maana eti watu wanachangia wembe! Husituingize kwenye umburula wako hapa.....hivi mbagala utalinganisha na vingunguti, buguruni kwa mnyamani, msasani bonde la mpunga, kinondoni mkwajuni nk,,,,unapewa story za kijiweni unaleta jf...sijui unaaishi wapi lkn kama ni sinza sipati tabu kwani ndiyo wale mnaohamka asubuhi na kutafuta poda kwanza kabla ya pesa na kwenda vijiweni kuzungumzia mbagala.....hawa ndiyo wale wanalala buguruni anashinda masaki[/QUOTE
Huyo haijui mbagala achana nae, mbagala hakuna shida ya maji, mbagala kuna mchanganyiko wa watu kuliko anavyodhani. Eti ofisi ya imamu, kwani mbagala wanakaa waislamu watupu? Twende vingunguti, buguruni, n.k ukajionee. Kuna kitu kinaitwa "mkinda wa buguruni" unajua maana yake? Jamani mpelekeni mbagala ajionee huyo alifilisika mawazo.
Braza nimequote coz nimeipenda.
Ni kweli kabisa mbajala ukipita na rav4 mtaani watoto watakushangaa kweli tena kwa vigeregere, ukiwa na elf10 mtaa mzima utaitwa milionea.
Mimi nisipokuta ile foleni ya pale bandari nafika mjini kwa dk 20, ikiwepo dk 30-45 honestly nafaidi usingizi maana sina haja ya kuamka sa11 kwenda kazini. Sasa wewe toka huko unakoish njoo tukutane posta tuone kama tutafika sawa? Huyu vp? We huijui mbagala kaa kimya.Na nikukumbushe kabla ya kujengwa double road mbagala haikuwa na watu wengi. Watu wengi wamehamia mbagala baada ya usafiri mzuri kutokana na kujengwa double road. Huiwa sioni tofauti ya matatizo ya usafiri tofauti na sehemu zingine. Mbagala kuna nafuu sana
Kuna vitu vingine umetia ushabiki usio na maana eti watu wanachangia wembe! Husituingize kwenye umburula wako hapa.....hivi mbagala utalinganisha na vingunguti, buguruni kwa mnyamani, msasani bonde la mpunga, kinondoni mkwajuni nk,,,,unapewa story za kijiweni unaleta jf...sijui unaaishi wapi lkn kama ni sinza sipati tabu kwani ndiyo wale mnaohamka asubuhi na kutafuta poda kwanza kabla ya pesa na kwenda vijiweni kuzungumzia mbagala.....hawa ndiyo wale wanalala buguruni anashinda masaki
Ni kweli kabisa mbajala ukipita na rav4 mtaani watoto watakushangaa kweli tena kwa vigeregere, ukiwa na elf10 mtaa mzima utaitwa milionea.
Kuna watu bado wanachangia viwembe
Kichwani kumejaa kamasi
Atakuwa wa mkoani tu huyu. Kaja likizo kwa dada yake baada ya kumaliza mitihani ya annual ya form one
Atakuwa wa mkoani tu huyu. Kaja likizo kwa dada yake baada ya kumaliza mitihani ya annual ya form one
Hapo kwenye namba 2 ni kwa sababu wanazaliana sana.Wiki hii nilipata fursa ya kupita mbagala na kuzungukia mitaa michache na hiki ndio nilichokiona;
1.Kwa wenyeji Mbagala hujulikana zaid kama "Mbajala"
2.Mbagala ina watu wengi sana na pilikapilika ni nyingi sana.
3.Nyumba nyingi zimetenganishwa na njia na vipenyo finyu sana lakini ndani kuna sofa! sijui hata hizo sofa zinapitaje
4.Kuna ujamaa sana watu bado wanachangia matumiz ya vitu mbalimbali nimekuta jamaa watano wamejipanga kwa kinyozi wanahudumiwa kwa wembe mmoja!
5.Kuna ukaribu baina ya watu kiasi kwamba watu wanafahamiana, kama ni mgeni utajulikana tu.
6.Kuna biashara kubwa ya vitu feki / pirated hasa cd, tv n.k
7.Ofisi ya imamu ni moja ya ofisi muhimu sana pengine kuliko hata ya mjumbe wa mtaa
8.Kuna uwingi wa ofisi za wataalam wa tiba asili pengine kuliko hata maduka ya madawa.
9.Wakazi wa huko hupendelea sana sherehe zinazokwenda kwa majina mbalimbali kama kumtoa mwali, maulidi n.k, sherehe husherekewa kwa shangwe na vigelegele na akina dada na akina mama ambao wengi wao huvalia nguo nyepesi za kuangaza almuradi kila kitu burudani!
Jaman hii ndio Mbagala niliyoiona mimi, Je Mbagala yako ikoje?
wengi wanoponda mbagala wanaishi kwa mashemeji zao!