Tarimo Nemes, anayedaiwa alifariki akiwa vitani Ukraine, aligombea Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CHADEMA

PoleniI sana Bavicha

Mgombea ubunge anafariki lakini chama hakina taarifa yoyote?

Halafu wanataka wakabifhiwe nchi nzima

Chadema ni bure kabisa

Unashangaa nini wakati CCM wako madarakani na kijana wao alikuwa gaidi bila CCM kujua, na akawatandika polisi risasi za kutosha hapa mjini?
 
Kabila mwenyewe alipokuwa anafanya mchakato wa kumuondoa mobutu,wabongo wengi walienda huko

Ova

Hadi leo wengine wako jeshi la congo na mafunzo baadhi yalifanyikia mikocheni kwake, kambi nyingine ilikua zambia chini ya Bisima na nyingine ilikua Rwamagana Rwanda na waliokubali baadae walipewa posho walau kila mwezi na wengine waliingia congo kama wanunuzi wa dhahabu na vibali walipewa na walijikita porini ndani ndani na kuandaa makambi ya siri na ndio maana vikundi vya waasi congo ni vingi sana, nina washkaji zangu wengine walifia kule na wengine uraia na majina walibadili kabisa na wengine ukimuulizia kwao wanasema alishakufa wakati wanajua alipo, ni katika kuhustle na maisha sio kesi
 
Wakati wa kumuangusha mobutu

Nakumbuka mtoto wa kabila alikuwaga na saloon mitaa ya nyuma
Ya mwanamboka,watu kibao walikuwa wanaenda pale kufanyiwa usahili kimyakmya...
Na mm nlivyokuwa napenda dili na pesa kdg,niende sema nlipata safari yangu moja ya kibaharia nkatokomea huko
Ila dunia ni uwanja wa fujo,mambo mengi yanafanyika ndomana dunia haiwez kutulia

Ova
 
Vile US itatuchunguzaaaa ! Maana jamaa mtanzania kafia Russia,na timu yetu imecheza na CSKA Moscow
 
Hadi leo wengine wako jeshi la congo na mafunzo baadhi yalifanyikia mikocheni kwake, kambi nyingine ilikua zambia chini ya Bisima na nyingine ilikua Rwamagana Rwanda na waliokubali baadae walipewa posho walau kila mwezi na wengine waliingia congo kama wanunuzi wa dhahabu na vibali walipewa na walijikita porini ndani ndani na kuandaa makambi ya siri na ndio maana vikundi vya waasi congo ni vingi sana, nina washkaji zangu wengine walifia kule na wengine uraia na majina walibadili kabisa na wengine ukimuulizia kwao wanasema alishakufa wakati wanajua alipo, ni katika kuhustle na maisha sio kesi
Hili tukio la nemes nlilijuwa kama wiki 3 zilizopita tena nlikutana na ndg yake mmoja akawa ananiambia
Sema ndiyo hivyo ndiyo miangaiko ya kidunia

Ova
 
Wakati wa kumuangusha mobutu

Nakumbuka mtoto wa kabila alikuwaga na saloon mitaa ya nyuma
Ya mwanamboka,watu kibao walikuwa wanaenda pale kufanyiwa usahili kimyakmya...
Na mm nlivyokuwa napenda dili na pesa kdg,niende sema nlipata safari yangu moja ya kibaharia nkatokomea huko
Ila dunia ni uwanja wa fujo,mambo mengi yanafanyika ndomana dunia haiwez kutulia

Ova

Ndio na wengine walikua wanaambiwa wakacheze mgambo kwanza ndio kama unakumbuka ilikua mtu anaulizia mgambo akisikia uko sehemu fulani anasafiri kwenda kujiunga fasta halafu akirudi anaorodheshwa kwenye jeshi la kabila
 
Attachments

  • 4631E20A-8A6B-4ABE-8EA3-31A53B71B670.png
    4631E20A-8A6B-4ABE-8EA3-31A53B71B670.png
    415.3 KB · Views: 6
PoleniI sana Bavicha

Mgombea ubunge anafariki lakini chama hakina taarifa yoyote?

Halafu wanataka wakabifhiwe nchi nzima

Chadema ni bure kabisa
Haya sasa!

Hapa umepata upenyo wa kuonyesha sura yako kamili.

UTanzania umeuweka pembeni kabisa na kukimbilia huko kunakokupeleka chooni kila asubuhi na jioni.

Hii ndiyo hali halisi ya baadhi ya watu siku hizi.
Wewe ni mtu wa hovyo sana.

Mwanzo nilidhani unachanganya na utani ndani ya haya mambo, kumbe ndiyo tabia yako halisi!
 
Huyu anazikwa mbeya nakumbuka hata juzi nlikomenti humu
Baba yake wa kumzaa hajawahi kukaa naye wala kumleaaa,tarimo alilewa zaidi na mama yake /upande wa mama

Ova
Asante sana kwa ufafanuzi
 
Acha propaganda za kitoto. NEMES kuwa Chadema ni dhambi kwani? Pia NEMES kujiunga na Hilo jeshi Chadema inahusishwaje?

Acheni mambo ya kitoto. Nemes kuwa mwanachadema siyo dhambi. Wakileta Msiba tutashiriki.
Hapo kuna sentensi mbaya? Mbona mnakariri ubaya ubaya tu

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
TAARIFA ZA TARIMO KUSHIRIKI VITA
Tumeshtuka na hatuna uhakika kama kweli alishiriki katika vita, kwa kuwa hata mgambo tu hajapita.
Contradiction SOMA HII ya bbc toka nyumbani kwao hapo hapo. Inaonekana Mangi alijua na kuwashirikisha jamaa zake kwa mujibu wa familia yake yeye mwenyewe. Wanasema walimuonya akagoma hakuwasikiliza
 
Back
Top Bottom