Taratibu na haki za likizo kwa mfanyakazi.

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Wakuu najua kuna wafanyakazi wazoefu sana humu jamvini.
Mimi na mke wangu tumeajiriwa na shirika la kidini tunatarajiwa kwenda likizo soon. Tunamtoto mmoja.
Napenda kujua zipi ni haki zangu ambazo natakiwa kuziclaim au kupewa wakati nakwenda likizo. Naombeni msaada ili nijue taratibu ili pale ninaposhindwa kutimiziwa niwadai.
Natarajia ushirikiano wenu.
 
Inategemea barua yako ya ajira inasemaje, hayo ndiyo makubaliano kati yako na mwajiri. Labda utupe terms zilizoko katika mkataba wako.
 
Hilo shirika lako halina company "handbook"? kwa uzoefu tu mashirika mengi hutoa "nauli tu ya kwenda na kurudi likizo" hakuna cha zaidi hapo! na nauli ni kwako na mkeo na watoto!
 
Back
Top Bottom