TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

Inaumiza sana wakuu.... Sijui mzazi atakuwa ktk wakati gani kwa kipindi hiki..... Poleni sana kwa familia
 
Pole sana mkuu ! Yote Ni kwa mapenzi ya Mungu! Tumwoombe katika utukufu wangu aishi huko na atuoombe nasi huku Duniani.
 
PJ rafiki yangu pole sana! Jumatatu wakati tunaaga wapendwa wetu pale Uwanjani sikujua mwanangu ni mmoja wa waliolala pale! Dah Pole sana ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom