TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

Ni kipindi kigumu sana kwako, mwenyewe Muweza wa yote akutie nguvu katika wakati huu mgumu unaoupitia ndugu yangu. Pole sana na pole nyingi sana kwa familia yako na wazazi wengine waliopata matatizo katika ajali hii mbaya. Mungu akasimame nawe PakaJimmy
 
In short, we are speechless.....
ndoto za watoto wetu wapendwa zimezimika kama mshumaa uliowashwa katikati ya upepo mkali
pole sana paka Jimmy ni Mungu pekee ndiye atakaeweza kukuvusha katika magumu haya,,
 
Too sad. Maandalizi yanaendelea ya kusafirisha mwili wa mtoto wa PJ kutoka Arusha kwenda Irambo Mbeya kwa mazishi, baada ya taratibu za kiserikali za kuaga kukamilika.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake liohimidiwe!
 
Pole ndugu yetu pamoja na wafiwa wote kwa msiba mkubwa. Mungu awape ustahimilivu kwenye mapito haya.
 
Pole PakaJimmy....Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia.
 
Navyodhani nimemuona Paka Jimmy, mke wake ndio nurse. Wanatia huruma jamani. Mwenyezi Mungu awasimamie
 
  • Thanks
Reactions: bht
Pole saaaana kaka yangu baba Praise! Nimekosa cha kusema kwa kweli ! Nimeona hiyo clip ndo nikamkumbuka mama P!
My brother stay strong for your family! I am truly saddened!
 
Pole sana Paka Jimmy na familia zote kwa msiba mkubwa. Mwenyezi Mungu akutie nguvu na faraja kipindi hiki kigumu. Wapumzike kwa Amani.
 
Nimemwona jana saa 2 usiku kupitia Azam Tv nikashituka sana kwa mwenyekiti wangu wa Arusha kupoteza mtoto. Pole sana Paka Jimmy.

Mzee wa Rula na wana JF Arusha, muwe pamoja na Mwenyekiti ktk kipindi hiki kigumu.

Vv
 
Back
Top Bottom