Tanzia: Kada wa CHADEMA ndugu Privatus Mahabusi afariki dunia

melimeli maganga pau

Senior Member
Jun 23, 2012
148
32
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kata ya Usa river kimepata msiba baada aliyekuwa mjumbe mkutano mkuu wilaya Meru CHADEMA kutoka kata ya Usa river ndugu Privatus Mahabusi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Seliani baada ya kutapika damu ghafla.

Chanzo: Mwenyekiti CHADEMA, kata ya Usa river
 
R.I.P Kamanda mungu awape wepesi wanafamilia wote na wanachama wa CHADEMA.
 
Nawapa pole sana familia ya marehemu na Chadema kwa ujumla

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
R. I..P kamanda mpigania demokrasia na maendeleo yako

"Nchi ngumu hii"
 
Apumzike kwa Amani Kamanda...

Mapambano yanaendelea,Pole familia ya marehemu tupo pamoja kwenye kipindi hichi kigumu.
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kata ya Usa river kimepata msiba baada aliyekuwa mjumbe mkutano mkuu wilaya Meru CHADEMA kutoka kata ya Usa river ndugu Privatus Mahabusi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Seliani baada ya kutapika damu ghafla.

Chanzo: Mwenyekiti CHADEMA, kata ya Usa river
msibs huu ni wetu wote wanachadema,tutashiriki kwa umoja wetu wana chadema katika mazishi ya marehemu shujaa wetu,tunawaomba Polisi wasije kupiga mabomu katika msiba huu
 
Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi. Na atie nguvu familia yake katika wakati huu mgumu amina
 
Back
Top Bottom