TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Nadhani haya siyo maombi mazuri... Maombi mazuri ni yale ya kusema Mungu amsamehe makosa yote aliyofanya duniani na amuweke mahali pema peponi
Si sahihi kumpangi au kumuamuru Mungu amuweke wapi nani na kwa lipi bali namna nzuri ni kumuacha amuweke panapostahili...sisi tunachoweza kufanya ni kumuomba Mungu amhurumie...
 
Rest In Peace Mzee wetu Liyumba

Kifungo ulichopata kwa visa vya mapenzi huenda kimechangia kufa mapema zaidi lakini nenda ukijua kuwa kwa sasa tumegundua kuwa waliokufunga walifanya madudu makubwa zaidi ya yale ya kwako. Kwenye bomba la gesi wamepiga zaidi ya mara tano ya mlivyopiga kwenye majengo pacha na wao wanadunda mtaani wewe ulitumikia kifungo
 
Pumzika kwa amani kamanda raha za dunia umekula mungu akuweke sehemu anayoona inakufaa
 
Si sahihi kumpangi au kumuamuru Mungu amuweke wapi nani na kwa lipi bali namna nzuri ni kumuacha amuweke panapostahili...sisi tunachoweza kufanya ni kumuomba Mungu amhurumie...

Duh, aisee, comrade, nakutakia siku njema...
 
Back
Top Bottom