Tanzania's Hottest couples

Hao wote mbona ni shosti wa mange, I think you miss Mwamvita and her hubby :p
 
hapo namjua odemba tu. Na huyo anayeitwa joyce naona kaolewa na kibabu.
 
they're affluent,classy,stylish and exposed. They run dar and outside...
They got the money,the means and the power. Meet tanzania's power couples



lance+and+mange.jpg

lance and mange
kiki.jpg

maliq and kiki
pc1.jpg

joyce and mitgaard
miriam.jpg

miriam odemba and
eme+and+baraka.jpg

emelda and baraka
hilda+and+mjuni.jpg

mjuni and hilda ringo


eti power,,,,, ya wapi hiyo?

 
Mjuni na Imelda mbona washabreak up, na Imelda keshaweka wazi hili suala? Sasa hivi yuko zake anasoma Nigeria

Niwaelly utasutwa ndugu yangu.....sio Mjuni na Imelda ni Mjuni na Hilda, na huyo Hilda hasomi Nigeria, anafanya kazi Nigeria kama rubani
 
Labda mtoa mada angesema ni wale anaowa-admire, manake wengine kweli hawajulikani.
 
I think aliyeleta hii thread hajui maana ya power couples. No offense kwa couples. Ukiwa power couple unapaswa uwe umefanikiwa ktk yafuatayo:
1. What have you done for Tanzanians lately (tena mkiwa kama couple na siyo mmoja mmoja)
2. Je mafanikio yeni kifedha yanatokana na biashara zilizopo ndani ya nchi na shughuli zinazohusu watanzania?
3. Shughuli zenu zinawagusa moja kwa moja watanzania?
4. Je mko katika nafasi zenye mamlaka ktk jamii? Kiasiasa? Kijamii? Kibiashara?

Mpaka hapo naona wote hao waliotajwa wamekuwa disqualified. None of them are power couples!
 
Hao wanasifika kwa kula raha based on some people standard coz maisha yako hata private yako blogini, huyo Joice on valentine kanunuliwa sijui ni some kind of seductive lingeries also zimo kwenye picha. This is purely ushamba...................................
 
Niwaelly utasutwa ndugu yangu.....sio Mjuni na Imelda ni Mjuni na Hilda, na huyo Hilda hasomi Nigeria, anafanya kazi Nigeria kama rubani

Mwenzangu, hebu mwambie... Asijidai anajua kumbe aungua na jua...ooops... sorry nilijua niko LEO TENA! Basi Bye...:plane:
 
Back
Top Bottom