'Tanzanian women footballers look like men and unsuitable for marriage', says Samia Suluhu.

NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
11,963
12,007
Sio maneno yangu, ni ya Rais Samia Suluhu.

--
Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has come under fire for remarks about women footballers having "flat chests" and suggesting they would not be attractive candidates for marriage.

Hassan made the comments at a ceremony on Sunday to celebrate the victory of a national men's team in a regional football championship, where ironically she also called for better funding for women's sports.

"For those who have flat chests, you might think they are men and not women," she said at Sunday's event.

"And if you look at their faces you might wonder... because if you want to marry, you want someone who is attractive, a lady who has the qualities that you want."

She added that for the women footballers "those qualities have disappeared".

Hassan, who took office in March after the sudden death of her predecessor John Magafuli, is the only current serving female head of state in Africa alongside Ethiopia's President Sahle-Work Zewde, whose role is mainly ceremonial.

"Today they are making us proud as a nation when they bring trophies to the country but if you look at their lives in the future, when the legs are tired from playing, when they don't have the health to play, what life will they be living?" she said.

"The life of marriage is like a dream to them. Because even if one of you here takes them home as your wife, your mother will ask if they are a woman or a fellow man."

Hassan's comments were widely derided online.

"The comment by president @SuluhuSamia on women footballers is a humiliation to all women," said Catherine Ruge, the head of the women's wing of the opposition Chadema party and a former MP. "All women deserve respect."

Maria Sarungi, the founder of civil society group Change Tanzania, echoed that view.

"So all those cheering a female presidency...@SuluhuSamia is denigrating female football players for having 'flat chests' and thus lacking attractive features necessary to get married. You must be proud @AWLNetwork," she tweeted, referring to the African Women Leaders Network.

Source: Outcry over Samia Suluhu's 'flat-chested' women footballers remark
 
Historia inajirudia. Kumbukeni yule mwingine ambaye ni baba mzazi kuhusu walimu na miguu minene!. Kuna jamii zingine wanawake hawana thamani na wanastahili kudhalilishwa na hakuna mte wa kuwatetea.
 
Judging from comments Tanzanians make on this thread, I'm not surprised. Seems being superficial is a national thing down there.
Eti kwamba wanawake wote ambao wameolewa Tz wana vifua 'saa sita' na nyuma wamejazia kweli kweli. :D What happened to 'values', kama uchapakazi, uaminifu, uthubutu n.k, ambazo hao wanasoka wa kike wanathibitisha kwamba wanazo?

Alafu huyo ni rais, tena mwanamke, ambaye anatoa kauli tata kama hiyo. Kisha baadhi ya raia wake, wanaume kwa wanawake, wanaiunga mkono kauli hiyo. :D Majirani bado wana safari ndefu sana.
 
Uthubutu siyo sifa ya mwanamke, acha kujidanganya.
Niwie radhi basi jombaa, nilipotaja uthubutu nilikuwa nawaza kuhusu wanawake wa Kenya. Yaani super women ambao huwa hawawazi kuhusu limits. Kama hizo ambazo zipo tu kwenye hilo boksi tupu, ambalo unaliita kichwa chako.

Nyie endeleeni kuwaponda wanaspoti wenu wa kike, kisa vifua vyao, badala ya kuwauliza kuhusu vikombe, ushindi na masuala mengine ya sampuli hiyo. :D Wenzao Harambee Starlets ndio mabingwa kwenye soka ukanda huu.
2221952_cap.jpg
Tena wana hadi timu ya raga, Kenya Lionesses, ambao ndio mabingwa wa raga7s BARANI Afrika.
Lionesses.jpg
Malkia Strikers(mpira wa wavu) nao ndio waliiwakilisha bara la Afrika kwenye Olimpiki hivi majuzi kule Tokyo. Nadhani kufikia hapo nimekuthibitishia kwamba sikutaja uthubutu kimakosa.
Shukran.
 
SSH ni kilaza na uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana, akianza kuongea chochote off script ni utumbo tupu. Anajaribu kumuiga JPM kwa kutoa hotuba nje ya kilicho andikwa ila uwezo mdogo, 2025 ifike tu tupate Rais tena.
 
Niwie radhi basi jombaa, nilipotaja uthubutu nilikuwa nawaza kuhusu wanawake wa Kenya. Yaani super women ambao huwa hawawazi kuhusu limits. Kama hizo ambazo zipo tu kwenye hilo boksi tupu, ambalo unaliita kichwa chako.
Super women? Naomba unisamehe, inabidi nicheke tuu. Hapa Marekani hili tatizo la wanawake kujifanya wanaume pengine ni kubwa mara elfu kuliko huko Kenya, matokeo yake watoto wengi wanalelewa na mama zao pekee, baada ya wanaume kuwakimbia.

Watoto wa kiume wanaolelewa na mama zao pekee wanakuwa na "feminine energy", hawajielewi, kwasababu ya kukosa kujifunza zile tabia za kiume, kama uthubutu. Ushoga na mambo mengine mengi ya ajabu ajabu kama "being bicurious" na transgenderism" yanatokana na jamii kukosa mwelekeo, hasa wanawake kuwa super women.
Nyie mkiwaponda wanaspoti wenu wa kike, kisa vifua vyao, badala ya kuwauliza kuhusu vikombe vya ushindi. :D Wenzao Harambee Starlets ndio mabingwa kwenye soka ukanda huu.
Mimi siwezi kumponda mtu yeyote kwa maumbile yake kwa kuwa ndivyo alivyoumbwa ila nilichokuwa naongelea ni tabia. Kila jinsia ina tabia zake, ukivuka mpaka unaharibu. Tanzania bado iko "traditional" inaweka mpaka kati ya mwanamke na mwanaume.
 
Super women? Naomba unisamehe, inabidi nicheke tuu. Hapa Marekani hili tatizo la wanawake kujifanya wanaume pengine ni kubwa mara elfu kuliko huko Kenya, matokeo yake watoto wengi wanalelewa na mama zao pekee, baada ya wanaume kuwakimbia.

Watoto wa kiume wanaolelewa na mama zao pekee wanakuwa na "feminine energy", hawajielewi, kwasababu ya kukosa kujifunza zile tabia za kiume, kama uthubutu. Ushoga na mambo mengine mengi ya ajabu ajabu kama "being bicurious" na transgenderism" yanatokana na jamii kukosa mwelekeo, hasa wanawake kuwa super women.

Mimi siwezi kumponda mtu yeyote kwa maumbile yake kwa kuwa ndivyo alivyoumbwa ila nilichokuwa naongelea ni tabia. Kila jinsia ina tabia zake, ukivuka mpaka unaharibu. Tanzania bado iko "traditional" inaweka mpaka kati ya mwanamke na mwanaume.
Sizungumzi kuhusu haya masuala kiushabik jombaa. Kama una mtoto wa kike kamfunze kwamba uthubutu, kwenye hii dunia ya leo, ni fani ya wanaume na kwamba ni marufuku kwa wanawake. Sio unatupia tu longo longo nyingi zisizokuwa na muelekeo, kisa chama chenu na siasa zenu za majitaka. Tangu lini uthubutu ukahusiana na tabia za kike au kiume?

Una uthibitisho wowote unaotokana na tafiti za kisayansi? What a stone age way of thinking, very shameful!
 
Ninaye mtoto wa kike na pia natoka kwenye familia ambayo wanawake wamesoma, lakini hii haiondoi ukweli kuwa jinsia zetu hizi ni tofauti kuanzia ubongo, misuli, mifupa mpaka aina ya homoni tunazozitengeneza. Kibaiologia kuna mambo wanawake ni wazuri kuliko wanaume (and vice versa).

Ngoja nikuulize unaposema superwoman unamaana gani?
 
It is a disgrace to have such an empty bucket leading the country. We need to have a system which sieves such rubbish and makes sure that they do not get to the top. This thing of favouring Zanzibaris to ensure "equality" is creating a disgrace to the nation.
 
Shemeji mtuombee hatujui Rais akimaliza kuchambua matiti atasema nini tena tunasubiri tu tuone

Hehehe!! Mbona hamkua mnamsema mwenda zake na alivyokua anawadharilisha wanawake muda wote.....au mfumo dume, akisema mama mnabwatuka kweli kweli...
 
Judging from comments Tanzanians make on this thread, I'm not surprised. Seems being superficial is a national thing down there.
Bro, its more than that, it boils to inter-pration. Ze zezetas know exert what madam presida meant.
MY TAKE:
Wapishi au mpishi wakupika wali na chakula nzuri is the main underling factor as far as zezetas are concerned.
Ze wali na chakula has became a national tradition.
Puh, Every girl child from ze age of 12, is taught/mngambo style induction about wali na chakula nzuri.
 
Back
Top Bottom