Tanzanian `spy` killed in Sudan: Described as `revenge` strike for slain member of re

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,013
Tanzanian `spy` killed in Sudan: Described as `revenge` strike for slain member of rebel movement

THISDAY REPORTER

Dar es Salaam

A TANZANIAN national is reported to have been murdered in southern Sudan on suspicion of being a member of the Sudanese intelligence and security service.

The Tanzanian, identified as Wera Tarimo, was slain last Thursday in the Rumbek township of Sudan, along with a Kenyan national named as James Ndungu Wanjiriu.

It could not be immediately established exactly what Tarimo and Wanjiriu were doing in the Sudan.

According to the reports, the duo were suspected of being ’spies’ for Sudan’s National Intelligence and Security Service (NISS), and were allegedly involved in the assassination of an official with the opposition Sudanese People’s Liberation Movement (SPLM).

The SPLM official assassinated on Thursday has been identified as Thon Wuong Manyuon, the movement’s assistant secretary for both Rumbek North County (Maper) and the Lake State secretariat, and also education inspector of Rumbek North County.

According to an eyewitness statement quoted in the Sudan Tribune newspaper, Tarimo and Wanjiriu were then killed on the same day, as part of a revenge campaign by angry relatives of the slain SPLM official.

’’A family member from Rumbek North, who was very angry, took revenge by killing one man from Tanzania and one man from Kenya, suspecting them to be members of the NISS,’’ said the newspaper in its report.

Quoting what it described as a ’foreigner’ who was related to one of the victims, the newspaper said James Ndungu Wanjiriu from Kenya was killed on Thursday at 3 pm, while Wera Tarimo from Tanzania was killed the same day at 8 pm.

It is understood that the bodies of the two were transported from Rumbek to Kenya on Saturday, with Tarimo’s remains expected to be flown out from Kenya to Tanzania.

’’In order to transport the remains of the deceased back to their respective countries, Lake State governor Lt. General Daniel Awet Akot provided assistance to the foreigners by giving them one car with contribution from the Trade Union of East Africa, whose members reside in Rumbek,’’ said the report.

In the meantime, two NISS officers � believed to also be members of the Sudan People’s Liberation Army (SPLA) which is the SPLM military wing - are reported to have been placed under arrest in connection with Manyuon’s death.

Lakes State Deputy Governor Awan Guol Riak, who also acts as Sudan’s minister for local government and law enforcement, has called for an investigation into the killing.

’’The officers of the National Security who are suspected of involvement in this killing are in custody awaiting investigation,’’ he said.

In 2005, following a peace agreement ending the second Sudanese civil war, the SPLM chose Rumbek as an interim administrative centre of the semi-autonomous southern regions.

With no multi-storey buildings or paved roads and a population of around 100,000, Rumbek is serviced by a dirt airstrip, and is described as a ’’ramshackle town.’’

Records also show that back in October last year, another Tanzanian national was shot and wounded in his garage in Rumbek, and hardly a week later another Kenyan national was shot dead by an unknown assailant in the same township.

A contingent of 875 soldiers from the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF) are currently being deployed to the international peacekeeping forces in the war-torn Darfur region of Sudan.

The TPDF squad in Darfur, led by Lieutenant Colonel Ally Katimbe, is part of a hybrid mission set up by the African Union and United Nations Missions in Darfur (UNAMID).
 
Jana Obama ametoa ruhusa majambazi wateka nyara watatu wa Somalia wauawe wakati raia wake mmoja alipokuwa hatarini kupoteza maisha.

Sisi mtu wetu kauliwa tunashindwa hata kutoa ka statement haraka kueleza masikitiko au kamkwala ka kuzuga. Tena Sudan ambao tunawasapoti Bashir wao japo jamaa ni anatafutwa na majaji wa kimataifa kwa mauaji. Na tumepeleka vikosi vyetu vitani Darfur vika risk maisha huko.

Kina Membe na Ryeyemamu na Nchimbi na Simba si huwa mna vibesi na mikwara miingi, mbona kimywa? Kazi kuchimbia mikwara wakina Slaa tu.
 
how come watu wetu wapo huko wanashindwa kuwa guide raia wetu katika masuala ya usalama wao, wenzetu wanawapa "brief" za mahala raia zao wanamotembelea sisi tuna balozi yetu sudani, askari n.k bado raia wetu anauliwa hata contact na jamaa zake hakuna......aaagh
 
Aliyekufa hakuwa na mchango kwa CCM na ndiyo hutasikia lolote hadi mwisho .Laiti angalikuwa kama Diwani yule wa Iringa ungalisikia Pinda anasema chukueni hatua kunusuru CCM wapinzani wasione ndani.
 
Je hao watu walijiandikisha katika ubalozi wa Tz walipowasili hapo Sudan ? Mnapoambiwa mkiingia Nchi za watu nendeni mkajiandikishe kwenye ubalozi wenu kuwa umeingia hapo kwa kazi gani kama ni ziara au una shuguli zako binafsi na kama hakuna unaenda kwenye balozi za nchi za Jumuia ya Madola au Balozi ya Uingereza.
Sasa usione ajabu wala usimlaumu balozi akisema hana habari kuwepo kwa raia huyo na hajui lolote ila atafuatilia....Akafuatilie wapi kama si kuondoa mzoga njiani na ndio imetoka.
 
give me a break! yaani mbongo mmoja kuuliwa extra judicially na lynch mob huko Sudan ndio waje kutoa statement? Na hawa wanauliwa kwa kuiba pipi kwa makumi yao Bongo nani anajali. Mara ngapi tumeshuhudia watu wakiuawa kwa "kudhaniwa" ni majambazi kama wale waliouawa pale Moshi miaka michache iliyopita? Anayeishi kwa upanga, atakufa kwa upanga!

Well, ukiwa na Waziri Mkuu ambaye hajali utawala wa sheria mnatarajia nini?
 
When spies are killed.. the 1st thing is to deny knowledge... thats what states do.. otherwise it wud be a violation of international law and a breach of another country's sovereignty..
 
Jana Obama ametoa ruhusa majambazi wateka nyara watatu wa Somalia wauawe wakati raia wake mmoja alipokuwa hatarini kupoteza maisha.

Sisi mtu wetu kauliwa tunashindwa hata kutoa ka statement haraka kueleza masikitiko au kamkwala ka kuzuga. Tena Sudan ambao tunawasapoti Bashir wao japo jamaa ni anatafutwa na majaji wa kimataifa kwa mauaji. Na tumepeleka vikosi vyetu vitani Darfur vika risk maisha huko.

Kina Membe na Ryeyemamu na Nchimbi na Simba si huwa mna vibesi na mikwara miingi, mbona kimywa? Kazi kuchimbia mikwara wakina Slaa tu.

Akina membe na wenzake uliowataja hakuna kitu wanaweza kufanya, hao mabalozi ndo usiseme ni uozo tu.
 
When spies are killed.. the 1st thing is to deny knowledge... thats what states do.. otherwise it wud be a violation of international law and a breach of another country's sovereignty..

Nimekupata na hata ukikumbuka Saddam aliua spies wengi wa marekani baada ya vita ya 1991 na kilichokuwa kinafanywa na marekani ni kutochoka kupeleka wengine na baadaye wakajenga hoja ya kumwangamiza kabisa. Sasa kama kweli huyo mtz alikuwa spy, basi cha msingi ni wenzake walioko huko kuchukua tahadhari.
 
Je hao watu walijiandikisha katika ubalozi wa Tz walipowasili hapo Sudan ? Mnapoambiwa mkiingia Nchi za watu nendeni mkajiandikishe kwenye ubalozi wenu kuwa umeingia hapo kwa kazi gani kama ni ziara au una shuguli zako binafsi na kama hakuna unaenda kwenye balozi za nchi za Jumuia ya Madola au Balozi ya Uingereza.
Sasa usione ajabu wala usimlaumu balozi akisema hana habari kuwepo kwa raia huyo na hajui lolote ila atafuatilia....Akafuatilie wapi kama si kuondoa mzoga njiani na ndio imetoka.

Ndugu yangu Mwiba Sudan Kusini siyo kama unavyofikria wewe. Nilikaa Sudan kusini for almost 3 years na naweza kukuambia kuwa sikuwahi kuonana na Balozi hata siku moja. Balozi yupo Khartoum na Rumbek iko Sudan Kusini na Sudan Kusini na Kaskazini zinatofautina kabisa kiutawala. Ukumbuke hakuna barabara ya uhakika kutoka Rumbek kwenda Khartoum. Wakati unahitaji VISA kuingia Kaskazini, Sudan Kusini unahitaji SSRRC Travel Permit ambayo sehemu kubwa ya utawala wake ni ombwe. Kule sheria ni mkononi na familia huwa zinaji-defend zenyewe. Hata wao kwa wao wanaondoana kwa style hii hii. Kule almost kila mwananchi ana bunduki tena AK..
 
give me a break! yaani mbongo mmoja kuuliwa extra judicially na lynch mob huko Sudan ndio waje kutoa statement? Na hawa wanauliwa kwa kuiba pipi kwa makumi yao Bongo nani anajali. Mara ngapi tumeshuhudia watu wakiuawa kwa "kudhaniwa" ni majambazi kama wale waliouawa pale Moshi miaka michache iliyopita? Anayeishi kwa upanga, atakufa kwa upanga!

Well, ukiwa na Waziri Mkuu ambaye hajali utawala wa sheria mnatarajia nini?

Two wrongs do not make a right!
 
Kukosa busara na hekima kwa viongozi wetu na hususan katika kuteteana na kufichiana maovu na dhuluma zao dhidi ya wananchi wao bila shaka kutawatokea puani siku moja.

Angalia hili la kumlinda dikteta wa Sudan, Muuaji na Mkandamizaji El-Basheer, kwa hakika sintoshangaa kumuona anaanza kuwageukia watu wetu wasio na hatia na hasa wakati huo tunapotuma majeshi yetu huko Sudan. Ninaogopa mengi, Mungu apishilie mbali tu. Inakuwa kama vile Waafrika hatuamini kuwa kuna watu wenye vijitabia vya Hitler hapa Afrika lakini sisi tunaendelea kuwalinda tu. Chonde, chonde, chone AU.......na sasa mnaongozwa na dereva anayekwenda kilomita 180 kwa saa chochote kinaweza kutokea !
 
Wabongo bwana..

Hapa tunaambiwa jamaa alikuwa suspected "spy". Kifupi alikuwa kwenye payroll ya Al Bashir. Harafu tunakimbilia ohh..Mtanzania kauawa...hell..no...KAMA alitumwa na Bashir kwenda kuua wengine..basi na yeye alipata haki yake.

Hivi kweli unaweza kwenda Rumbek on special mission ya kuondoa maisha ya wengine..harafu wewe uachwe? Kama ni kweli alikuwa anahusika na mauaji ya huyo kada wa SPLM..basi ni vyema na yeye ashughulikiwe. Hawa ndo wanaifanya Africa isipate amani kamwe kwa hizi extra judicial killings. Perhaps serikali itoe tamko wazi..what was this guy doing in Rumbek (perhps hata serikali haijui-just thinking)..maana I dont see any reason kama wewe si mwajiriwa wa haya ma-NGOs ambayo yana proliferate Southern Sudan kama uyoga ya kuwa Rumbek.

In all, apumzike kwa amani. na victim aliyeuawa apumzike kwa amani.
 
give me a break! yaani mbongo mmoja kuuliwa extra judicially na lynch mob huko Sudan ndio waje kutoa statement? Na hawa wanauliwa kwa kuiba pipi kwa makumi yao Bongo nani anajali. Mara ngapi tumeshuhudia watu wakiuawa kwa "kudhaniwa" ni majambazi kama wale waliouawa pale Moshi miaka michache iliyopita? Anayeishi kwa upanga, atakufa kwa upanga!

Well, ukiwa na Waziri Mkuu ambaye hajali utawala wa sheria mnatarajia nini?

Inategemea huyo mbongo mmoja ameuliwa katika shughuli gani. Kama ameuliwa kama inavyodhaniwa alikuwa spy wa tanzania. Then yes, it matters as he was the man in uniform, labda kwa maslahi ya taifa. Ila kama alikuwa yupo na mishemishe zake maelezo yake yamejitosheleza.
 
Back
Top Bottom