Tanzanian Banks Swift Codes

Masaki

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,463
753
Wandugu,

Naomba anayaweza kunipatia LIST OF TANZANIAN BANKS SWIFT CODES tafadhali. Nime google mpaka nimechoka!
 
Asante mzee, Ila nataka za mabenki yote Tanzania!
 
Schedule A – SWIFT Bank Identifier Codes (BICs) for TISS Participants (Bilateral Key exchange)
Participant SWIFT BIC LIVE SWIFT BIC T&T
1 TISS TANZTZTA ZYAATZTO
2 Bank of Tanzania TANZTZTX TANZTZTO
3 Akiba Commercial Bank AKCOTZTI AKCOTZTO
4 Barclays Bank Ltd BARCTZTX BARCTZTO
5 CF Union Bank Ltd CFUBTZTZ CFUBTZTO
6 Citibank Tanzania Ltd CITITZTZ CITITZTO
7 CRDB Bank Limited CORUTZTZ CORUTZTO
8 Diamond Trust Bank Tanzania Ltd DTKETZTZ DTKETZTO
9 Eurafrican Bank Ltd EUAFTZTZ EUAFTZTO
10 Exim Bank Ltd EXTNTZTZ EXTNTZTO
11 Habib African Bank Ltd HABLTZTZ HABLTZTO
12 International Bank of Malaysia LtdBKMYTZTZ BKMYTZTO
13 Kenya Commercial Bank Ltd KCBLTZTZ KCBLTZTO
14 National Bank of Commerce Ltd NLCBTZTX NLCBTZTO
15 National Microfinance Bank Ltd NMIBTZTZ NMIBTZTO
16 Stanbic Bank Tanzania Limited SBICTZTX SBICTZTO
17 Standard Chartered Bank Ltd SCBLTZTX SCBLTZTO
19 United Bank of Africa Ltd UNBFTZTZ UNBFTZTO
20 African Banking Corporation FMBZTZTX FMBZTZTO
 
Duh... mdau hapa umecheza kweli, hata mimi nilikuwa nazihitaji kinoma... thanks a million
 
Ni kweli mkuu anastahili pongezi amefanya la maana hata mimi nilikuwa nazihitaji hizi swift codes.

Tiba
 
Schedule A – SWIFT Bank Identifier Codes (BICs) for TISS Participants (Bilateral Key exchange)
Participant SWIFT BIC LIVE SWIFT BIC T&T
1 TISS TANZTZTA ZYAATZTO
2 Bank of Tanzania TANZTZTX TANZTZTO
3 Akiba Commercial Bank AKCOTZTI AKCOTZTO
4 Barclays Bank Ltd BARCTZTX BARCTZTO
5 CF Union Bank Ltd CFUBTZTZ CFUBTZTO
6 Citibank Tanzania Ltd CITITZTZ CITITZTO
7 CRDB Bank Limited CORUTZTZ CORUTZTO
8 Diamond Trust Bank Tanzania Ltd DTKETZTZ DTKETZTO
9 Eurafrican Bank Ltd EUAFTZTZ EUAFTZTO
10 Exim Bank Ltd EXTNTZTZ EXTNTZTO
11 Habib African Bank Ltd HABLTZTZ HABLTZTO
12 International Bank of Malaysia LtdBKMYTZTZ BKMYTZTO
13 Kenya Commercial Bank Ltd KCBLTZTZ KCBLTZTO
14 National Bank of Commerce Ltd NLCBTZTX NLCBTZTO
15 National Microfinance Bank Ltd NMIBTZTZ NMIBTZTO
16 Stanbic Bank Tanzania Limited SBICTZTX SBICTZTO
17 Standard Chartered Bank Ltd SCBLTZTX SCBLTZTO
19 United Bank of Africa Ltd UNBFTZTZ UNBFTZTO
20 African Banking Corporation FMBZTZTX FMBZTZTO

Mazee ungeweka au kusema na source ya hizi codes ili tujiridhishe. Ni ombi tu.
 
Jamani tuelimishane, kuuliza si ujinga. Hizi switch codes ni za nini na nikizipata nitazifanyia nini? Just curious!
 
In case ukitaka kufanya TT transfer(wire transfer) from/to international bank accounts inabidi utumie hizo codes, as simple as that
 
Jamani tuelimishane, kuuliza si ujinga. Hizi switch codes ni za nini na nikizipata nitazifanyia nini? Just curious!

Siyo 'switch codes' ni SWIFT CODES, ok? umeelewa sasa? au mpaka nipigepige kichwani na fimbo ndo uelewe?
 
Mazee ungeweka au kusema na source ya hizi codes ili tujiridhishe. Ni ombi tu.

Mkuu Abdulhalim, ni kweli kuna umuhimu wa kufanya kama ulivyoomba lakini kwa upande wangu sina wasiwasi nazo kwamba sio sahihi kwani nimewahi kutumia kama za benki 3 tofauti na zipo kama zilivyoletwa na mdau. Nafikiri ziko sahihi. Endapo kuna mojawapo imekosewa, nina imani wapo wanaJF watajitokeza na kukosoa. Za benki zifuatazo ziko sahihi kabisa (Kwa kuwa niliwahi kuzitumia)

1. Standard Chartered Bank (T) Ltd
2. United Bank Of Africa
3. Stanbic Bank (T) Ltd

Kwa kuongezea mimi pia nimetumia za CRDB na Exim Bank na ziko sahihi. Za NMB na NBC nazifahamu ziko sahihi pia.
Kama mdau anawasiwasi anaweza kuingia kwenye website ya Benki husika zinapatikana huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom