Tanzania yashika mkia viwango vya furaha duniani

Bajeti.jpg
Abiria Tanzania.jpg

Skeleton.jpg

cryingendofmylife.gif

crying-with-laughter.gif

Mshirikishe mwenzako
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani
Tanzania Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani.

Rwanda iko nafasi ya 151 , Tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155.

Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa na kumshinda jirani wake Denmark, ambayo ichukua nafasi ya kwanza mwaka uliopita.

Ripoti hiyo inaangazia furaha watu waliyo nayona ni kwa nini.

Denmark, Iceland, Uswisi na Finland zinachukua nafasi tatu za kwanza huku nchi ya Jamhuri ya Afrika ya katika ikichukua nafasi ya mwisho kati nchi zenye watu wasio na faraha duniani.

Haki miliki ya picha AFP
Mataifa ya magharibi mwa Ulaya na Marekani pia nayo yako na watu wenye furaha duniani wakati Marekani ikichukua nafasi ya 14 na Uingereza nafasi ya 19.

Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara na zile zinazokumbwa na mizozo, zina alama za chini. Syria ilichukua nafasi ya 152 kati ya nchi 155 huku Yemen na Sudan Kusini, nchi zinazokumbwa na njaa zikichukua nafasi za 146 na 147 mtawalia

Nchi zenye watu walio na furaha na wasio na furaha Duniani
Nchi zenye watu walio na furaha Duniani
Nchi zenye watu wasio na furaha Duniani
1. Norway 146. Yemen
2. Denmark 147. Sudan Kusini
3. Iceland 148. Liberia
4. Uswizi 149. Guinea
5. Finland 150. Togo
6. Uholanzi 151. Rwanda
7. Canada 152. Syria
8. New Zealand 153. Tanzania
9. Australia 154. Burundi
10. Sweden 155. Jamhuri ya Afrika ya Kati
 
Hivi ni kweli hili?

View attachment 483739

======

Norway is the happiest place on Earth, according to a United Nations agency report - toppling neighbour Denmark from the number one position.
The World Happiness Report measures "subjective well-being" - how happy the people are, and why.

Denmark, Iceland, Switzerland and and Finland round out the top five, while the Central African Republic came last.

Western Europe and North America dominated the top of table, with the US and UK at 14th and 19th, respectively.

Countries in sub-Saharan Africa and those hit by conflict have predictably low scores. Syria placed 152 of 155 countries - Yemen and South Sudan, which are facing impending famine, came in at 146 and 147.

The World Happiness Report was released to coincide with the United Nation's International Day of Happiness on 20 March.

View attachment 483794

It mainly relies on asking a simple, subjective question of more than 1,000 people every year in more than 150 countries.

"Imagine a ladder, with steps numbered from 0 at the bottom to 10 at the top," the question asks.

"The top of the ladder represents the best possible life for you and the bottom of the ladder represents the worst possible life for you. On which step of the ladder would you say you personally feel you stand at this time?"

The average result is the country's score - ranging from Norway's 7.54 to the Central African Republic's 2.69. But the report also tries to analyse statistics to explain why one country is happier than another.

It looks at factors including economic strength (measured in GDP per capita), social support, life expectancy, freedom of choice, generosity, and perceived corruption.

Source: BBC
985af98d185e4ad33da74f8dc75eb53a.jpg
 
Mshirikishe mwenzako
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani
Tanzania Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani.

Rwanda iko nafasi ya 151 , Tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155.

Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa na kumshinda jirani wake Denmark, ambayo ichukua nafasi ya kwanza mwaka uliopita.

Ripoti hiyo inaangazia furaha watu waliyo nayona ni kwa nini.

Denmark, Iceland, Uswisi na Finland zinachukua nafasi tatu za kwanza huku nchi ya Jamhuri ya Afrika ya katika ikichukua nafasi ya mwisho kati nchi zenye watu wasio na faraha duniani

Haki miliki ya picha AFP
Mataifa ya magharibi mwa Ulaya na Marekani pia nayo yako na watu wenye furaha duniani wakati Marekani ikichukua nafasi ya 14 na Uingereza nafasi ya 19.

Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara na zile zinazokumbwa na mizozo, zina alama za chini. Syria ilichukua nafasi ya 152 kati ya nchi 155 huku Yemen na Sudan Kusini, nchi zinazokumbwa na njaa zikichukua nafasi za 146 na 147 mtawalia

Nchi zenye watu walio na furaha na wasio na furaha Duniani
Nchi zenye watu walio na furaha Duniani
Nchi zenye watu wasio na furaha Duniani
1. Norway 146. Yemen
2. Denmark 147. Sudan Kusini
3. Iceland 148. Liberia
4. Uswizi 149. Guinea
5. Finland 150. Togo
6. Uholanzi 151. Rwanda
7. Canada 152. Syria
8. New Zealand 153. Tanzania
9. Australia 154. Burundi
10. Sweden 155. Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mkuu hata Wasomali wana furaha kuliko sisi kweli?
 
Mshirikishe mwenzako
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani
Tanzania Rwanda na Burundi zimeorodheshwa kuwa kati ya nchi zenye watu wasio na furaha duniani.

Rwanda iko nafasi ya 151 , Tanzania nafasi ya 153 huku Burundi ikiwa nafasi ya 154 kati ya nchi 155.

Norway ndiyo imechukua nafasi ya kwanza kama nchi yenye watu walio na furaha zaidi duniani, kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa na kumshinda jirani wake Denmark, ambayo ichukua nafasi ya kwanza mwaka uliopita.

Ripoti hiyo inaangazia furaha watu waliyo nayona ni kwa nini.

Denmark, Iceland, Uswisi na Finland zinachukua nafasi tatu za kwanza huku nchi ya Jamhuri ya Afrika ya katika ikichukua nafasi ya mwisho kati nchi zenye watu wasio na faraha duniani.

Haki miliki ya picha AFP
Mataifa ya magharibi mwa Ulaya na Marekani pia nayo yako na watu wenye furaha duniani wakati Marekani ikichukua nafasi ya 14 na Uingereza nafasi ya 19.

Nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara na zile zinazokumbwa na mizozo, zina alama za chini. Syria ilichukua nafasi ya 152 kati ya nchi 155 huku Yemen na Sudan Kusini, nchi zinazokumbwa na njaa zikichukua nafasi za 146 na 147 mtawalia

Nchi zenye watu walio na furaha na wasio na furaha Duniani
Nchi zenye watu walio na furaha Duniani
Nchi zenye watu wasio na furaha Duniani
1. Norway 146. Yemen
2. Denmark 147. Sudan Kusini
3. Iceland 148. Liberia
4. Uswizi 149. Guinea
5. Finland 150. Togo
6. Uholanzi 151. Rwanda
7. Canada 152. Syria
8. New Zealand 153. Tanzania
9. Australia 154. Burundi
10. Sweden 155. Jamhuri ya Afrika ya Kati
149:Guinea
Ni Guinea ipi?
Nalog off
 
Ripoti:eek:rodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani.
1. Norway
2. Denmark
3. Iceland
4. Switzerland
5. Finland
6. Netherlands
7. Canada
8. New Zealand
9. Australia
10. Sweden
.
.
Nchi zisizo na furaha(zenye huzuni)
.
146. Yemen
147. South Sudan
148. Liberia
149. Guinea
150. Togo
151. Rwanda
152. Syria
153.TANZANIA
154. Burundi
155. Central African Republic
 
Duuu kwa hapo no comment maana Kule vijijini hata yanayozungumzwa hawayajui Ugali maharage wakishakula wao ni raha mpaka baadae
 
Yaan hadi Yemen na South Sudan wametuzid....sample ilikua na uwalakini.....it cant be
 
Mbona 153 mbali sana mie nikidhani ni 43/49 watutendee haki hapa wamedanganya...kwa taifa linakoelekea na nilivyojaa hasira ni uwezo tu sina na kuogopa dhambi ningeasi kwa ajili ya watu fulani..is foolish.
 
Back
Top Bottom