Tanzania worldcup ingekuwa kama hivi na umeme wa tanesco

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
tanescowordcup.jpg

ON THE LIGHTER SIDE: If Tanzania Hosted the FIFA World Cup 2010
With TANESCO’s perpetual blackouts imagine what would happen if Tanzania was to host the WORLD CUP. I think the situation wousld be as below...
ingekuwa bongo ndio tunaandaa World Cup 2010 kila mchezaji angekuwa anacheza na Tochi yake hapo kwetu bongo tupo nyuma sana kwa hayo matatizo ya umeme Kasheshe kweli na Bongo yetu .
 


hahahahahahahah looohhh
Nime angali tu kichwa cha thread
kajua ni mkuu Mzizimkavu..

Kwa style hii hatutakaa tupate world cup ya aina yeyote
Tz......
 


hahahahahahahah looohhh
Nime angali tu kichwa cha thread
kajua ni mkuu Mzizimkavu..

Kwa style hii hatutakaa tupate world cup ya aina yeyote
Tz......
Asante bibie Afrodent kumbe unavutiwa na picha zangu* nimefurahi kwa kunipa comment yako asante ubarikiwe kwa jina la Bwana Mungu afrodent
 
alaf namna ya kumtambua refa gizani ni shida...tena watazamaji watakuwa na kazi ya kuwatambua wachezaji kwa kukisia "hivi yule siyo Messi kweli, anaonekana mfupi mfupi hivi"
 
Back
Top Bottom