Tanzania will not arrest Sudanese President Bashir

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Lusekelo Philemon
Tanzania will not arrest the Sudanese President Omar Al Bashir as required by the International Criminal Court (ICC) even if he visited the former country for different reasons, the House was told here yesterday.

Foreign Affairs and International Cooperation deputy minister Ambassador Seif Ali Iddi made the stand when responding to a supplementary question by Halima Mdee (Special Seats, Chadema).

Mdee had wanted to know the government position on whether it can arrest the Sudanese President if he happened to land on Tanzania’s soil.

Tanzania is a member of ICC, the organisation which has issued the arrest warrant for Al Bashir for what has been described as atrocities he made in Sudan’s Darfur’s region.

The minister said that the recent African Union (AU) meeting in Libya resolved the issue and recommended to the UN that the arrest of Al Bushir should be suspended until the conflict in Darfur region was resolved.

“In line with what was agreed in the AU meeting, Tanzania will not arrest Al Bashir once he arrives in the country for the visit,” he said.

Ambassador Iddi said that the arrest of Al Bashir wouldn’t end the long-standing conflict in the Sudanese western province, hence there was a need for the UN to suspend the warrant.

Responding to another supplementary question by John Malecela (Mtera, CCM), who had wanted to know government explanation on whether it was possible to take to ICC mercenaries who had committed crimes against humanity in Africa in the past, the minister said:
“It is possible only if the ICC sees the necessity to take them to court.”

He said according to the Rome convention, mercenaries should be taken before the International Criminal Court.

In his response to the basic question by Parmukh Singh Hoogan (Kikwajuni, CCM), who had wanted to know the reason behind the issuing of Sudanese President arrest warrant, Ambassador Iddi said that Al Bashir was accused of allegedly spearheading the atrocities in Darfur region which was contrary to Rome Convention.

He said that the ICC would want to see Al Bashir facing legal charges against the vicious killings of innocent civilians in his own country.

THE GUARDIAN
 
Hata kukemea mauaji ya kimbari tumeshindwa? Botswana is showing the way. Hata Uganda wamesema akitinga tu huko atawekwa kizimbani.
 
it must be noted that the level and state of democracy all over with the practical application of it is stil a notable question.many of the African leaders have the same syndrome on making sure that they are using every bloody tool to remain in power.
who should there fore be the first to raise hand against al bashir is that mugabe , kibaki , museveni or ?
 
Kwa mtazamo na sera hii sishangai kwa nini botswana ina maendeleo zaidi ya nchi nyingi za kiafrika. kwa nini wapindishe sheria sababau tu mkosaji ni rais?Huu ni unafiki na kuwa na mtazamo wa kisiasa zaidi kwa mambo ambayo ni ya kisheria.
 
Ambassador Iddi said that the arrest of Al Bashir wouldn’t end the long-standing conflict in the Sudanese western province, hence there was a need for the UN to suspend the warrant.

Kumu arrest Bashir "hakutamaliza mgogoro wa Sudan." Basi tuache ku arrest majambazi maana wizi hauishi!

In his response to the basic question by Parmukh Singh Hoogan (Kikwajuni, CCM), who had wanted to know the reason behind the issuing of Sudanese President arrest warrant, Ambassador Iddi said that Al Bashir was accused of allegedly spearheading the atrocities in Darfur region which was contrary to Rome Convention.
Mbunge anaiuliza serikali ni kwanini Rais wa Sudan kapewa warrant na mahakama ya kimataifa. Hata kwenye bar si kuna TV show za bure? Kuna siku mtu atauliza bungeni kwa nini baba yake na mama yake wameachana.
 
Hi ni Kanagaroo Court, Blair, Bush, nk, wameuwa watu wengi zaidi ya Bashir na wao watashitakiwa na nani? Hongera African leaders na Tribunal body!!

Endelea:
Prosecutors at the International Criminal Court (ICC) have appealed against a decision by the body's tribunal not to charge Omar al-Bashir, Sudan's president, with conducting genocide.

He said there was insufficient evidence to prove he was also guilty of waging genocide there, "We believe it's a mistake. He told Al Jazeera:

Leaders of the African Union said on Friday they would no longer co-operate with the ICC and would not arrest and extradite the Sudanese president.

Source aljazeera
 
Basi na wewe siku mtu akija kuua watu uwapendao wewe usije uka lalamika asipo shitakiwa. Maana nae atasema mbona kuna wengine hawaja shitakiwa. Bashir has comment crimes against Africans on African soil so it was a moral duty for our leaders to arrest him. Au na wewe mkuu hii nayo utaibadilisha kuwa ishu ya wao dhidi yetu?
 
Hapana mkuu, sisupport mauwaji kabisa popote yanapotokea, Ninachopinga ni judicial system inayo pick and choose

Kukiwa na Mahakama hapa nchini kwetu inayochagua nani ashitakiwe na nani asishitakiwe itakua ni uonevu na hakuna ataependa kuwepo mahakama kama hii, na ndo maana tunapinga mahakama kama hii ya ICC

AU, Arab League na wenyewe Tribunal Bordy pia wamepinga

Tayler yuko mahakamani kwa kosa la ku-support rebel wa Sieraleon wakati yeye ni Rais wa Liberia!! sasa jiulize, American na Europe wana-support ma-rebel wangapi Africa na duniani kote?

Ni America walio-support Al-qaida (1990s) kufanya mauwaji Afghan, Vita ya Congo!! all over africa,nk nani ana-support hivyo vita???

Tukiacha uvivu wa kufikiri, africa itaondokewa na umaskini na kujitawala kik kweli. Ongera viongozi wa Afrika kwa kukataa kuburuzwa
 
Ndugu zangu, we have seen the movies, read the stories and heard the rumours kwamba there are always superpowers-to be specific the western behind these so called genocides and mass killing. So I think there is a need to go one step further-instead of prosecuting the African rats who spearhead them, find the wolves who financed them.
 
You are right Sir,

Taizo hawa ndugu zetu wa mkono wa kushoto wanavichwa vigumu sana!! na hawataki kufikiri!! wanaburuzwa tu hasa anaposema mzungu. You have to change guys, the world is moving firster!!!!!!
 
Hapana mkuu, sisupport mauwaji kabisa popote yanapotokea, Ninachopinga ni judicial system inayo pick and choose

Kukiwa na Mahakama hapa nchini kwetu inayochagua nani ashitakiwe na nani asishitakiwe itakua ni uonevu na hakuna ataependa kuwepo mahakama kama hii, na ndo maana tunapinga mahakama kama hii ya ICC

AU, Arab League na wenyewe Tribunal Bordy pia wamepinga

Tayler yuko mahakamani kwa kosa la ku-support rebel wa Sieraleon wakati yeye ni Rais wa Liberia!! sasa jiulize, American na Europe wana-support ma-rebel wangapi Africa na duniani kote?

Ni America walio-support Al-qaida (1990s) kufanya mauwaji Afghan, Vita ya Congo!! all over africa,nk nani ana-support hivyo vita???

Tukiacha uvivu wa kufikiri, africa itaondokewa na umaskini na kujitawala kik kweli. Ongera viongozi wa Afrika kwa kukataa kuburuzwa

Mkuu nakubaliana na wewe. Ninacho sema tu ni kwamba wasiache kumkamata Bashir simply because nao West wana fanya ujinga huo huo. Kama Bashir kafanya makosa na akamatwe but tusifanye vitu just because tuna ogopa kuonekana tuna side na the West. If something happens in our own background we shouldn't let it go.

Tatizo ni kwamba sasa kuna watu wanaoona kila kitu mtu akikubaliana na the West ni makosa na mtu wa "aina" yao akifanya chochote basi asiguswe. We have seen watu wakitetea maovu ya wengine simply because ni wa dini au race moja. I think that is low and hypocritical.
 
Heshima mbele;

Judicial system lazima iwefair, bila upendeleo wa aina yoyote, hii so called 'International Crime Court' imekosa credibilty kwa sababu ya upendeleo, wanataka kuleta 'LAW OF JUNGLE'

Kwa maana hiyo tutafute alternative system ya kuwashtaki wote wanao tenda makosa bila kujali power au vinginevyo.

Kwa hiyo mkuu;
law of jungle ni uonevu zaid, bora kusiwe na sheria. na hasa ukizingatia wanaosimamia ICC ndo haohao wasio shtakika, na ndo haoaho wanao sababisha vita duniani, sasa huu si ni mchezo wa kuigiza??
 
O.K. I'm getting what you are saying mkuu. Basi A.U. imkamate tumshitaki sisi wenyewe Waafrika. Will that be fair enough mkuu?
 
A.U. yenyewe haina structures to carry out such a move.Si unaona
atrocities za Rwanda zilishughulikiwa na UN mjini Arusha.As it is kuna
viongozi wenye matatizo kibao in terms of their legitimacy to office and
I dont think they are even paying this thing any attention. Fikiria watu
kama kina Mugabe na Kibaki amongst a bunch of these relics.
 
True mkuu. Kwa hiyo hapa tunaona tatizo siyo West bali viongozi wetu wenyewe. Kwenye bara lililojaa wakina Bashir wengi nani ata thubutu kumyooshea kidole mwenzake? Ni kama ile hadithi ya kwenye Biblia ambayo kulikuwa na mwanamke mzinzi ana taka kupigwa mawe. Yesu akawaambia na asie na dhambi arushe jiwe la kwanza. Wote waka dondosha mawe yao.

Tatizo kubwa la Africa mkuu lina anza na sisi wenyewe. Ila kibaya zaidi ni kwamba sisi wenyewe ndiyo wakwanza kukimbilia kutafuta mchawi kwingine kumbe source ipo hapa hapa nyumbani.
 
West ndo tatizo kubwa mkuu, CIA, MI6 nk ndo wanaoanzisha vita duniani kulinda so called interest zao, hizi organisations zimeundwa kwa ajili ya kuangusha utawala wa nchi nyingine usiokubaliana na matakwa yao

Hata hiyo vita ya Darfu, South Sudan yenyewe wao ndo waanzilishi,lengo nikuangusha serikali wasyoitaka, pamoja na vikwazo vya uchumi lakini sudani bado inapuyanga

Nikawaida family, nchi au kikundi chochote wanatakiwa wawe pamoja dhidi ya maadui, wakisha sinda maadui ndo wazidi kurekebisha makosa yao. Sasahivi wa afrika wameliona hili, badala ya kuchonganishwa wewenyewe kwa wenyewe, inabidi wam-identify adui yao kwanza, alafu wapambane nae

Tukikubali kuchanganywa mkuu, tumekwisha.

West mkuu,nadhani unawafaamu, wana-spend pesa nyingi sana kwahili. tuwemakini
 
Kumu arrest Bashir "hakutamaliza mgogoro wa Sudan." Basi tuache ku arrest majambazi maana wizi hauishi!

Mbunge anaiuliza serikali ni kwanini Rais wa Sudan kapewa warrant na mahakama ya kimataifa. Hata kwenye bar si kuna TV show za bure? Kuna siku mtu atauliza bungeni kwa nini baba yake na mama yake wameachana.

Mazee mbona leo hukuomba direct quotes? Una hakika gani hicho ndicho mbunge alichouliza?
 
Africa never ceases to amaze me.

Watu kabla ya kutoa comment Tujiulize..tusikurupuke..hivi nani aliianzisha hii ICC? Hizi nchi unazoona wanapiga kelele kuipinga ndo walikusanyana Roma 1998..kusaini huu mkataba wa kuanzisha hii mahakama..kila mwaka ni hizi nchi zinazolipia gharama za kuiendesha hii mahakama...including my country. Sasa leo wanapokuja kukataa kushirikiana nayo..si unafiki? Africa we have more than 30 countries ambao ni members wa hii mahakama.Mbona hawakuikataa toka mwanzo? au mbona hawakusisitiza viongozi wakubwa kama wao..wasiguswe? Tatizo viongozi wetu wamezoea vya mkato...sasa wamekutana na wenye balls kama wao...

Kama kuna nchi ilijua tangu mwanzo kwamba ina mashaka na hii mahakama..wangekataa kusaini..indeed US; CHINA; INDIA; URUSI nk SIYO MEMBERS:

What I can tell you brothers and sisters..viongozi wetu ni wanafiki wa kutupwa..ICC imekuwa isue baada ya kudeal na Bashir ambaye ni mwenzao...kuna waafrika zaidi ya wanne wako gerezani tayari The Hague kwenye hii mahakama..ulishasikia mtu yeyote akilalamika? Au kwa vile wao siyo maraisi? au wao uafrika wao hauna thamani? Pathetic...

Narudia viongozi wetu waache unafiki..let them take their responsibility serious..hapa hakuna cha US au superpower..ni matter of principle..Ukisoma vizuri hii mahakama na mkataba wake utaona kabisa it has nothing to do..with uonevu..sema tuu sisi waafrika tunapenda mkato...na sympathy..Bashir kaona yuko guilty na kisheria hawezi pona..imebidi akimbilie siasa.....

Wana JF tumebahatika kwenda shule..lets be analytical kabla ya kukimbilia hizi argument mfilisi za wanasiasa akina Bashir na Gadhafi. Ukweli uko pale pale..Bashir anajua makosa yake. Hizi stories za African solutions for African problem..wanazileta pale wanapoona wamebanwa...Na tutakuwa hatujitendei haki sisi kama wana wa Afrika kuwasupport watu kama hawa...simply because..ni waafrika wenzetu. Afrika deserve better..na sio siasa...za kilodi lofa kama hizi..za akina Bashir na wenzake.
 
Back
Top Bottom