Tanzania tuna wimbi la wajinga wenye ubishi usio na miguu wala kichwa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,745
Nakutana na mjinga mmoja ana kwambia wanasayansi waongo.

Ukifikiria huyu ana kwambia waongo ndio anatumia kifaa chao kuongelea ujinga.

Leo kuna watu wanabisha kuhusu taalamu na tafiti lakini ndio watuamiaji wa vifaa,teknolojia,wapokeaji wa huduma hiyo na n.k.

Tatizo liko wapi yani umepata elimu kisha unapinga elimu ni uongo.

Sasa ulisoma kufanya nini
 
Wewe hushangai wizara ya kilimo kwa mbwembwe kabisa inawaambia vijana waliosoma fani za kilimo na ufugaji wafanye maombi ya kwenda kupewa semina ya muda mfupi kwenye vituo atamizi ili wajifunze namna bora ya kufanya kilimo chenye tija.

Sasa unajiuliza huko chuo walijifunza nini kwa miaka mitatu haupati majibu.
 
Wewe hushangai wizara ya kilimo kwa mbwembwe kabisa inawaambia vijana waliosoma fani za kilimo na ufugaji wafanye maombi ya kwenda kupewa semina ya muda mfupi kwenye vituo atamizi ili wajifunze namna bora ya kufanya kilimo chenye tija...
Hoja nzuri sana Mkuu. Si ajabu kuna kaupigaji. Kama ni technologia mpya, kwa nini hiyo pesa isiende hukohuko vyuoni wafaidike wengi?
 
Wewe hushangai wizara ya kilimo kwa mbwembwe kabisa inawaambia vijana waliosoma fani za kilimo na ufugaji wafanye maombi ya kwenda kupewa semina ya muda mfupi kwenye vituo atamizi ili wajifunze namna bora ya kufanya kilimo chenye tija.

Sasa unajiuliza huko chuo walijifunza nini kwa miaka mitatu haupati majibu.
Kaka kuna aina flani ya upigaji inaandaliwa na wakubwa serikalini maana saivi mikopo mingi inayotoka inahitajika kwanza uweke plan ya kutumia iyoo mikopo kinachofanywa saivi ni kama ule mkopo wa covid pesa imetoka wameielekeza kwenye madarasa ila upigaji ilikuwa mwingi kuliko kawaidaa
 
Nakutana na mjinga mmoja ana kwambia wanasayansi waongo.

Ukifikiria huyu ana kwambia waongo ndio anatumia kifaa chao kuongelea ujinga...
Yaani wajinga wawili mnashindwana huko halafu waTanzania wote wanakuwa wajinga? Yaani wewe ndiyo mjinga zaidi kuliko hata huyo mwenzako.

Hii tabia ya kuwa mnatukana kwa ujumla manaipata wapi; nani kawafundisha? Yaani unadiriki kabisa kutukana Taifa lililokulea na kukufikisha hapo ulipo?
 
Nakutana na mjinga mmoja ana kwambia wanasayansi waongo.

Ukifikiria huyu ana kwambia waongo ndio anatumia kifaa chao kuongelea ujinga.

Leo kuna watu wanabisha kuhusu taalamu na tafiti lakini ndio watuamiaji wa vifaa,teknolojia,wapokeaji wa huduma hiyo na n.k.

Tatizo liko wapi yani umepata elimu kisha unapinga elimu ni uongo.

Sasa ulisoma kufanya nini
wanapo sena waongo hoja yao nn?
 
Back
Top Bottom