Yetu macho na masikio, mtakao anza kutumia tujulisheni maana mimi bado niko sceptical, ni kama wamezidisha chumvi kwenye mafanikio yanayoweza kupatikana.
...hakuna sababu ya kufikiria hivyo,WIMAX ita deliver no doubt na imeanza,is new & good technology,India & China sasa ndio inachukua speed na nchi za US & western sio sana kwa sababu walisha invest heavy kwenye technology nyingine zamani ndio maana sio sana,INTEL wametengeneza wimax chip ambayo itaanza kuwa shipped this Dec ambayo itawekwa kwenye computer zote zinazotumia intel