Zitto
Former MP Kigoma Urban
- Mar 2, 2007
- 1,562
- 10,880
Nimekupata brother, so what is the sticking point? I know for sure kwamba hizi companies zitakuwa na interest with all the secrecy around the contracts, but ni nini wanachofaidi watanzania(viongozi) kwa kung'ang'ania usiri huu?? Au ndio mambo ya uswisi?
Moja ya Kampuni ambayo imegundua Gesi hapa nchini ilikuwa na local partner hapa nchini ambayo ni Kampuni ya CCM. Sehemu kubwa ya Fedha zilizofichwa Uswiss zinatokana na rushwa kwenye hii mikataba. Review ya kisirisiri inayofanywa na Serikali hiyo hiyo iliyoingia mikataba hii haiwezi kutuonyesha ukweli huu. Mikataba ikiwekwa wazi mengi ya haya tutayagundua. Uwazi ni silaha kubwa sana ya kupambana na rushwa