Tanzania Offered 20 Oil, Gas Scholarships At Scottish University

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
BY A CORRESPONDENT, 3 APRIL 2014

Scotland - THE number of oil and gas experts in Tanzania is set to increase following an offer of 20 scholarships by British multinational BG Gas for higher education students at the prestigious Robert Gordon University (RGU) in Aberdeen, Scotland.


This was revealed during President Jakaya Kikwete's visit of RBU on Monday, on his last leg of his three-day visit of the United Kingdom (UK).


President Kikwete said he was happy with the offer and asked the institution to extend it by offering a 'training of trainers' programme to boost local expert capacity in the new lucrative gas and oil sector that has few experts.


"I thank BG for this initiative, which would go a long way in ensuring that we have adequate number of experts in the oil and gas sector in Tanzania," he noted.


Mr Kikwete, who also witnessed hands-on training deep sea oil drilling simulator facility for RBU students, was optimistic that in three to 10 years Tanzania would boast of a sizeable number of experts.


He also emphasised the need for trainer exchange programmes between RBU and Tanzania's higher learning institutions that have oil and gas programmes.


A statement issued on Wednesday said Britain's BG Group and Ophir Energy signed a Memorandum of Understanding (MoU) with the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC), on the potential development of a multibillion pound onshore liquefied natural gas plant in Tanzania.


British firm Aldwych International also reviewed progress on the development of a £175 million wind power farm in Tanzania. President Kikwete, who is on an official visit there, met with the British Premier at the latter's official No. 10 Downing Street residence.


This was the first time the two leaders had met since the London Conference on Illegal Wildlife in February. Mr Cameron welcomed Tanzania's commitment to tackling the trade and the Elephant Protection Initiative.


The two leaders also noted with concern the threat posed by Islamic extremism at home and abroad and pledged to work together to do more to prevent radicalisation. They also looked ahead to the forthcoming elections in Tanzania and the importance of democratic transition.


President Kikwete updated Mr Cameron on his efforts to tackle corruption. The prime minister encouraged Tanzania to sign up to the Voluntary Principles on Security and Human Rights, which will help boost investor confidence in Tanzania.


Both agreed that combating corruption and promoting transparency, accountability and the rule of law were essential for development and President Kikwete agreed with the PM 's view that these issues should be at the heart of what replaced the Millennium Development Goals (MDGs).


Meanwhile, Mr Kikwete arrived in Brussels, Belgium, yesterday ahead of the two-day European Union and Africa (EU-A) Summit. Under the theme "Investing in people, prosperity and peace," EU and African leaders at the two-day meeting will assess progress made in their relations and devise mechanisms for furthering them.


While in Brussels, President Kikwete is expected to meet with the President of the European Commission, Mr Jose Manuel Barosso, United Nations (UN) Secretary General Ban Ki Moon and the Prime Minister of The Netherlands, Mr Mark Rutte.



Daily News
 
Sasa katika hawa 20 haitoshangaza hata kidogo
kuona hakuna Mzanzibari hata mmoja na hakuna
anaejali. Nani atatufafanulia hili?
 
Sasa katika hawa 20 haitoshangaza hata kidogo
kuona hakuna Mzanzibari hata mmoja na hakuna
anaejali. Nani atatufafanulia hili?

Acha unafiki ndugu yangu, u8meshaona waliochagulkiwa?

Kwataarifa yako, hizi scholarship za kitaifa huwa zinawanufaisha sana wazanzibari, mara zote lazima wahakikisha wazanzibari wanakuwepo tena bila kujali proportions. Nakumbuka nilishawahi kupata scholarship moja, ilihitaji watu wawili. Walichukua Mtanganyika mmoja na mzanzibari mmoja, tena kwa huku bara kinyang'anyiro huwa kinakuwa kikubwa sana. Sasa kama wangewaweka kwenye pool moja na watanganyika ili kugombania hizo nafasi, mkikosa kuchaguliwa kwa kukosa sifa mtasema nayo ni kero ya muungano? Na mbona kuna scholarships kibao zipo kwa Wazanzibari peke yao na watanganyika hawalalamiki?
 



The prime minister encouraged Tanzania to sign up to the Voluntary Principles on Security and Human Rights

Mhhhhhhhhhhhhh!!!
 
Mimi kwa kweli ningependa badala ya kupeleka wataalamu 20 nje, walete wataalamu/walimu wafungue chuo hapa. Baada ya miaka 10 tunaweza kutoa wataalamu wengi zaidi kuliko kupeleka huko nje.
 
  • Thanks
Reactions: GKM
Hapo kwenye kusign mkataba wa Haki za binadamu.mmmmhhhhh kama hatutaambiwa Watu wawe mash.............a sijui!! na Cameroon anavopenda.samahani ndugu zangu Cameroon ana mkee? maana simuelewagi kabisa kwa swaga zake za kupigia chapuo usho.............a.hata kuku wanamzidi akili
 
Sasa katika hawa 20 haitoshangaza hata kidogo
kuona hakuna Mzanzibari hata mmoja na hakuna
anaejali. Nani atatufafanulia hili?

Zanzibar mumeshasema sema mafuta na gesi si sehemu ya muungano sasa hizo scholarship za gas mnazitakia nini? kwa kupenda vya bwerere hamjambo vyenu vyenu vyetu vyenu tushaanza kuwachoka.Si zenu yakhe!
 
20 SCHOLASHIPS!!!!??
Hivi lazima tupewe ndoo tupeleke vijana wakasomee? hakuna mpango wowote wa makusudi kuwasomeshaa vijana 500 wa kitanzania kufikia 2035 katika fani za gesi, mafuta ndani na nje ya nchiii??
 
Mimi kwa kweli ningependa badala ya kupeleka wataalamu 20 nje, walete wataalamu/walimu wafungue chuo hapa. Baada ya miaka 10 tunaweza kutoa wataalamu wengi zaidi kuliko kupeleka huko nje.

well said brother it needs a long initiative!!!!
 
Sasa katika hawa 20 haitoshangaza hata kidogo
kuona hakuna Mzanzibari hata mmoja na hakuna
anaejali. Nani atatufafanulia hili?

Kila mtu akijifanya ni sheikh Yahya hii sarver haitatosha.
 
Kuna zile scholarships za BG group kushirikiana na British Council

Ndo hizi au ni vitu viwili tofauti?
 
Labda waje na vifaa vyao pia...naona kama tutakuwa tunaomba omba sana...

Maana nimeona hicho chuo kina mitambo ni nouma....

Kingine hii sector ajira yake ni very limited..inatumia capital zaidi...nadhani scholarships zinatosha (for now) ukizingatia na mchina nae katoa nafasi za masomo (kama nina kumbukumbu nzuri); serikali nayo isibweteke itie mkono mfukoni isomeshe wananci wake nje...that is how other countries do (kama Malaysia)

My concern ni procedure za kuwapata walengwa...maana usije kuta watoto wa kina fulani tu kama BoT

Mimi kwa kweli ningependa badala ya kupeleka wataalamu 20 nje, walete wataalamu/walimu wafungue chuo hapa. Baada ya miaka 10 tunaweza kutoa wataalamu wengi zaidi kuliko kupeleka huko nje.
 
Mimi navyojua hizo Scholarships zipo kumi(10) na zinatolewa na British Gas International wakishilikiana na British Council na vyuo vipo vitatu;RGU,Aberdeen na Imperial College London.
sasa hizi habari za nafasi 20 na tena kwa RGU pekee yake zitakua ni mpya.
Nafasi hizi zipo wazi kwa watanzania wote bila kujali wanatoka Kigoma au Kusini Pemba..kama unaona unapenda na una sifa basi usisite kuomba nafasi.
fuata links hapa chini kwa taarifa zaidi;
BG Scholarships - British Council in Tanzania
 
Naamini hizi scholar ship zimetolewa ka watanznia, ( Bara na zanzibar) na si Tanganyika peke yake kwani wenzetu hawatambui nchi inayoitwa Zanzibar, au Tanzania bara (Tanganyika) huu ni usanii wetu tu.
Ama sisi kwa kuomba ,tumezowea ,hasa Muheshimiwa kikwete kazidi kuwa omba omba,uso wake umekosa haya.
Hii ni fedheha kwa taifa na Afrika imekuwa silka yetu .Ndio maana wazungu sasa wanataka kutulamba ,wanahimiza ujinga wa ushoga kwanza ndiyo tupewe misaada.Ndugu zangu tutobowe suruali zetu kabisa,au tulegeze mikanda.
 
Labda waje na vifaa vyao pia...naona kama tutakuwa tunaomba omba sana...

Maana nimeona hicho chuo kina mitambo ni nouma....

Kingine hii sector ajira yake ni very limited..inatumia capital zaidi...nadhani scholarships zinatosha (for now) ukizingatia na mchina nae katoa nafasi za masomo (kama nina kumbukumbu nzuri); serikali nayo isibweteke itie mkono mfukoni isomeshe wananci wake nje...that is how other countries do (kama Malaysia)

My concern ni procedure za kuwapata walengwa...maana usije kuta watoto wa kina fulani tu kama BoT

Nyumba kubwa,
Ni kweli hicho chuo ni kizuri, lakini na sisi tunatakiwa tuanze ili baadaye tuwe na chuo kama hicho. Sasa kama tunaanza kwa kutoa scholarships badala ya kufikiria kujenga chuo ni mwanzo mbaya. Sisemi kuwa kwenda huko wachache ni mbaya, lakini kama nchi na kama tunategemea hii sekta isaidie uchumi inabidi tufikirie kwa mapana zaidi.
 
Back
Top Bottom