Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,971
- 10,465
Kwani hili la visa nairobi ni jipya...mbona limeanza zaidi ya miaka 4 ilopita?
Hata ukitaka kwenda Netherlands visa inakuwa processed South Africa...nilidhani ni sababu ya financial crisis ilowakumba.
Kikubwa visa utapata kama una vigezo; ila usumbufu pekee ni lazima uwahi kwa kuwa inachukua muda zaidi
Sahihi kabisa!
Urasimu wa viza sio suala la ubaguzi, ni kupunguza matumizi.
Likewise, biashara siku hizi imehamia Middle East na Far East (Dubai, Singapore, Malaysia, China n.k.), kwa hio sio wafanyabiashara wengi wanaokwenda UK kwa shida hio, kwa sababu the same products zinapatika nchi hizo nilizotaja.