Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Bw. Malinzi nasikia mmesema uhai cup mwaka huu haitakuwepo kwa kukosa wadhamini, sasa je yale makato 5% ya vilabu vya ligi kuu nin mantinki yake????
 
Just hang on there and you will most likely be included in the World Cup someday. Tanzania can indeed produce elite level footballers and it will only be a matter of time before they get recognized worldwide. They just need harder push and determination. Here's to more football news.
 
Tumefungwa na Madagascar 2-0 TFF mpo mme relax Kocha kafika kikomo hana mawazo mbadala
 
Tuanzisheni operation ya kumuita Malinzi aje atuambie hii Taifa Stars bado ni Taifa Stars majaribio au Maboresho? Wametudhalilisha sana yaani heri tungekuwa kichwa cha mwendawazimu sasahivi tushakuwa kichwa cha Punguani.

Sawa mpira magoli na kufungwa kupo ila tufungwe kihalali sio kutiana aibu. Timu linacheza ovyo utafikiri haina bench la ufundi au kocha. Hii ni aibu INATOSHA SASA

Jamal Malinzi, Jamal Malinzi, Jamal Malinzi, Jamal Malinzi, Jamal Malinzi, Jamal Malinzi, Jamal Malinzi,
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama hawa viongozi nao wanasikia aibu kama tunayosikia sisi wengine ambao tunaona madudu yayofanyika yani utafikiri kocha anafanya makusudi ili kukatiza mkataba wake jana nilisikianwatangazaji wa super sport wakicheka sana baada yakuona sub iliyofanywa nafikiri alitolewa ngasa akaingizwa abubakari salum watangazaji walijichekea sanaa nilifedheeka lakini ndio hivyo hakuna jinsi nalaumu chaguo la koch a watu kama kina kessy ,isiaka walikuwa sio wakuachwa ni mabeck visick mkude pia si dhani kama kocha anafaa kumkabidhi timu kwaajili ya mashindano mengine
 
Kocha anakuambia yuko katika maandalizi ya AFCON na CHAN...teh teh teh...Yaani km jana kwa Madagascar tumecheza ushuzi mtupu...
 
Alafu eti tunataka soka lipande tuweze kuuza wachezaji nje tunaota kweli yaninmpira tunaocheza ni wa size yetu humu humu ndanibya tanzania iwe kwa vilabu iwe kwa taifa hatuna wachezaji hatuna makocha wote kwa pamoja hawana wanaloweza kufanya la tofauti jezi watzania wote hawazipendi nichaguo la huyo aliye zichagua wanasema kuna mchakato wa kuleta jezi mpya toka wanasema mpaka leo utafikiri wanajenga meli hata meli ingekuwa imeisha aibu aibu sana
 
tatizo watanzania tumejaaa usiasa ndomaana tunamlahumu kocha na TFF kitu ambacho hakipo dunia ya nchi zenye dira ya mafanikio makubwa mbele kwa upande wangu nampongeza kocha anavyozid kuwapatia vijana wadogo nafasi za kuiwakilisha nchi yetu ili kuwajengea umahili mkubwa .
 
Unajua unachokiongea?

Akiwapa nafasi so what?....Tunachotaka ni ushindi...je wameshinda?

Lazima malinzi alaumiwe kwa sababu TFF ya sasa is Mismanaged.

Hakukuwa na Ulazima wa kumtimua KIM PAULSEIN.....Kim alishaijua timu....na timu ilikua ishaanza kuwa na mwelekeo

Amekuja huyu Nooj ambaye ni kocha wa Malinzi...Ni upuuuzi tu hakuna lolote.....Tangu amekuja timu ina underperform

TFF wanabaki ku ji boost kwa kuhamishia ofisi posta.....Disgrace
 
Kwa mpira ulioonyeshwa na Stars huko bondeni safari hii, sidhani kama COSAFA wataona kuna haja ya kuwaalika kipindi kingine (labda kama mialiko hii imekaa ki-siasa). Unaalika nchi ambayo inaleta ushindani ktk mashindano ili kuleta challenge kwa wenyeji siyo kuwapatia point za bure hata Madagascar, Swaziland na vinchi kama hivyo.
 
Kudadeki..madagascar ni nchi ya:hatari:ku tupga 2 kipindi cha kwanza..??? boko ni mtu wakuwa team captain.....???
 
Back
Top Bottom