Tanzania National Basketball, Special Thread!

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Basket ya Tanzania katika kupata akili fresh Nilipokuwa mdogo Enzi hizo Upanga kulikuwa na Mtu mmoja aliyenifnya niweze kuupenda hu mchezo na huyo sio Mwingine Ni Mr Hunta(R.IP)

huyu alikuwa jirani yetu na kwa kumfahamu zaidi alikuwa mtu mpole na rafiki wa kila lika hata sie watoto alitupenda Upanga yeye alikuwa anaishi na Bibi yake ambaye alikuwa anatuuzia sie Ubuyu wa Unga maembe , mabungo karanga n.k tena kwa sent tano hadi ishirini miaka ikienda bei inakuja juu hadi mwisho ilikuwa Shilingi.

Kwa upendo tulianza kushangaa kutopatikana mida ya Jioni huku akiwepo kunakuwa na marafiki wengine wakubwa kuja kufuatilia kumbe alikuwa ni Mcheza kikapu hodari, tena mwenye Shabaha pindi hizo sie ndio tulikuwatunaita(Tukimaanisha Good Shooter) basi akiwa anachezea timu yake ya Shule Ya Kinondoni uwanja wa Zanaki ulikuwa unajaa Sana kumtizama Hanta akiwa amefunga usongo kichwani na mkononi Bonge la Blazamen. Mtaani kila mtu akawa anapenda huo mchezo awe kama Hanta..

Ukienda Mitaa ya Gymkhana Utakuta Uwanja wa Basketball Mzuri Kulikuwa na Timu ya Pazi Pale Utawakuta makocha kina Seleh Zonga na Abdallah Wakicheza na Kufundisha.

Timu Kongwe ya Pazi iliyotamba miaka mingi na kuja kumaliza utawala wake miaka ya 1990 na 2000 hadi mwaka 2011 haijaweza Kutwaa kikombe kikubwa..Kazeni Buti Na hiyo ni baada ya Basketball ya Africa Kuja juu so Wachezaji wake wengi walianza kukimbia kutafuta maslai nje tena kikubwa ni baada ya Mfadhili wake Mkuu Bwana Malai kuyumba kiuchumi kashfa za hapa na Pale Pole zake sana Mzee Malai Tunakuombea Mambo yanyooke tena tupate Burudani..

Nikiwakumbuka kina Tambwe Jibaba lenye Nguvu (Zaire) alipoteza uhai wake huko South Africa R.I.P.)
Edson mkali wa Kudunda na Kupenetrate popote pale Ulitisha Mkuu.. Dorii(Nima?)hakusahau. japo na wewe huwezi msahau, Papii, Jenga, Atiki, Paul(Mzungu Point 5) Fanaka Tulla(Aluta)...... Tatizo lako pindi zile ulikuwa Blazamen sana na Asingekubania Mbamba(R.I.P) Ungekuwa Juu sana uliacha Historia kupigwa Life Ban la kucheza Basketball ndani na Nje Si Mchezo

Timu ya Vijana City Bulls Nayo haikuwa Nyuma Kutoa Wachezaji wakali na waliotamba Muda Mrefu na wa Muda Mfupi Historia zao Nitazifuatilia na kuziweka humu kwa Sasa natoa nazozijua tu Hawa kina Jakson kalikumtima wanazijua haswa sipo nao kwani ni wa zamani sana nadhani wakipita humu wataweka sawa historia au Manase ... ...Nakumbuka tu Wachezaji wa miaka ya 1990 kuja juu Oba ukiacha kaka zake Ionnocent nae ukiacha kaka zake Mkali Deo.( Huyu alikuwa Ni Noma Kacheza na Hanta) wengine nawakumbuka kwa Sura tu Kina Roti Cheyo mpaka sasa anapiga msuli Vijana Ramadhani Abdallah (Dullah Mpemba) Alikuwa Mvp mala kadhaa hadi kuwa Mchezaji bora wa mwaka Tanzania Congrats, Ally Mnyamani Kwa Sasa Kahamia Moja kwa Moja Savio(Zamani Don Bosco) na bado anacheza lol Yasin (Jump Around) hehe alikuwa na Manjonjo akishafunga ana jump around Raha tupu, Bahati Mgunda Mzee wa Tatu Kocha hadi Sasa wa National Team na Vijana City Bulls Pia ni Teacher Shule ya IST Hongera Mkuu Muddy Mbwana(kakimbilia Chang'ombe.Rahim Kipingu, Paul(Kubwaa) na wengine wengi duh kuwamaliza ni issue

Don Bosco Kituo cha Watoto wa Wahindi wa Goa Kimechangia Sana kukuza Basketball Tanzania kilifanikiwa kutengeneza timu ya Watoto hadi ikaja kuwa makini na hatari kuzalisha wachezaji wakali sana Dorii Nima (Utege) ...Peter Bategeki huyu ni Balaa Ufungaji nadhani kila ligi alizoshiriki hadi mwisho alikuwa anaongoza lol Mukolo Ngoi (Huyu alikuwa mkali wa Block na kudank Shooting na Three point no no no! Jije Good Job Kijana Matunda Mazuri ya Don Bosco, Tozzi Ismail Ghulamalikuwa nafurahisha kwa Dank zake ambazo akiwa peke yake

Timu za Jeshi Nazipa Pongezi Kubwa Sana Kwani Wamejitutumua kutoka Mbali hadi kuja kushika Hatamukwani Miaka ya Nyuma waliipa nafasi Michezo ila wachezaji walikuwa wanawaangusha sio hawakuweza ila mchezo huu ukijifunzia ukubwani unahitaji time kuwa mkali Game walizokuwa wakicheza zilikuwa nzuri tatizo lao lilikuwa kwenye Score wakawa wanabaki down sana makocha walipoumia wakakaa chini na kutafuta mbinu wakafaulu japo walianza na mbinu chafu za kuumiza wachazaji wapinzani faul za wazi wazi Japo hiki kama bado Mnacho punguzeni Nguvu Wazee mnamaliza wachezaji

DSM outsider hii timu ndio iliyomtoa Hasheem Thabeet baada ya wachezaji wengi wa Makongo kuwa wanacheza sana na hawa Watu wa Maeneo ya udsm Claudio naye kachezea sana hapo
 
attachment.php


First left Patric Nyembela Jenga,Mathias (BLue Jacket), Rahim na Wengine siwakumbuki ila wa Second las Rahim Kipingu Mwisho ni Evarist Mapunda
 
duduwasha vipi huyu dogo anaweza kweli au bado anahitaji nguvu za ziada

gsf4fffvifURBvEAAAAAASUVORK5CYII=
 
kumbe pat nyembera ni mcheza kikapu.
aah Sana tu Alikuwa Mchezaji Maarufu Sana



Nitakujazia Picha zao Uwaone Walipokuwa Marekani japo walichapwa karibu mechi zote na Timu za Kule Walipoenda kufanya Ziara Kwa Hisani ya Mlezi wa Timu Bwana Malai (R.I.P)
 
aah Sana tu Alikuwa Mchezaji Maarufu Sana



Nitakujazia Picha zao Uwaone Walipokuwa Marekani japo walichapwa karibu mechi zote na Timu za Kule Walipoenda kufanya Ziara Kwa Hisani ya Mlezi wa Timu Bwana Malai (R.I.P)

pamoja sana mkuu
 
patrickpazi.jpg
Jina: Patrick Nyembera
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 6
RBA: 7
Nafasi: Point guard
abdul_daudipazi.jpg
Jina: Abdul Daudi
Miaka:
Urefu: 6'1"
Jezi No: 8
RBA: 6
Nafasi: Power Foward
abdulpazi.jpg
Jina: Abdul Mgiriki
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 13
RBA: 1
Nafasi: Point Shooting

allypazi.jpg

Jina: Ally Hamid
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 4
RBA: 2
Nafasi: Shooting Guard
karimpazi.jpg
Jina: Karim Mayuwe
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 10
RBA: 1
Nafasi: Shooting Foward
gwapazi.jpg
Jina: Gwakisa Mwasakenyi
Miaka:
Urefu: 6
Jezi No: 12
RBA: 3
Nafasi: Power Foward
constpazi.jpg
Jina:Constantine Kinyongo
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 11
RBA: 7
Nafasi: Power Foward
ramdhpazi.jpg
Jina: Harmony Muganyizi
Miaka:
Urefu: 5'9"
Jezi No: 15
RBA: 2
Nafasi: Shooting Guard
majaliwamags.jpg
Jina: Majaliwa Mtemele
Miaka:
Urefu: 5'5"
Jezi No: 4
RBA: 1
Nafasi: Point Guard
dismas.jpg
Jina: Dismas Charles
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 8
RBA: 1
Nafasi: Shooting Guard
Faidhu%20Ngella%20pazi.jpg
Jina: Faidhu Ngelka
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 4
RBA: 5
Nafasi: Shooting Guard

Idd_%20Othmanpazi.jpg
Jina: Idd Othman
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 11
RBA: 1
Nafasi: Post Guard
Pazi Team
rba_2004.gif
 
rba_2004.gif
Vijana City Bulls
coach%20v.jpg
Jina: Manase Zabron
Miaka:
Urefu: 5'11"


Nafasi: Coach

ass%20v.jpg
Jina: Bahati Mgunda
Miaka:
Urefu: 5'10"


Nafasi: Asst. Coach
Dullavijanaex.jpg
Jina: Abdul Ramadhan
Miaka:
Urefu: 6'1"
Jezi No: 9
RBA: 7
Nafasi: Shooting Foward
Lusajo%20vijanaex.jpg
Jina: Lusajo Lazanes
Miaka:
Urefu: 6'4"
Jezi No: 13
Nafasi: Center
mohammedallyvxe.jpg
Jina: Mohammed Ally
Miaka:
Urefu: 6'3"
Jezi No: 10
RBA: 6
Nafasi: Small Foward
obotevijex.jpg
Jina: Obote Mwambogo
Miaka:
Urefu: 6'4"
Jezi No: 14
RBA: 9
Nafasi: Center
emanuelv.jpg
Jina: Emmaneul Mwikalo
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 5
RBA: 2
Nafasi: Shooting Guard
hagaiv.jpg
Jina: Cosmas Alloyce
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 11
RBA: 5
Nafasi: Point Guard
iddv.jpg
Jina: Idd Mohammed
Miaka:
Urefu: 6'1"
Jezi No: 13
RBA: 6
NAfasi: Forward
jacobv.jpg
Jina: Jacob Marenga
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 4
RBA: 4
Nafasi: Point Guard
jamalvjex.jpg
Jina: Jamal Shebe
Miaka:
Urefu: 6'6"
Jezi No: 11
RBA: 1
Nafasi: Forward Small
johnv.jpg
Jina: John Mcharo
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 6
RBA: 3
Nafasi: Guard
mohamedv.jpg
Jina: Daniel Muya
Miaka:
Urefu: 6'5"
Jezi No: 12
RBA: 1
Nafasi: Center
shisaryav.jpg
Jina: Shisarya Mwiki
Miaka:
Urefu: 6'1"
Jezi No: 8
RBA: 7
Nafasi: Shooting Guard
salumv.jpg
Jina: Salum Rajab
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 7
RBA: 2
Nafasi: Guard
tumainiv.jpg
Jina: Tumaini Mazigo
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 15
RBA: 4
Nafasi: Shooting Guard
Hagai%20Zablonvijana.jpg
Jina: Hagai Zablon
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 15
RBA: 7
Nafasi: Small foward
 
SAVIO
rba_2004.gif
ass%20m.jpg
Jina: Evarist Mapunda
Miaka:
Urefu: 5'6"


Nafasi: Asst. Coach
Yusuph%20Abdul.jpg
Jina: Yusuph Abdul
Miaka:
Urefu: 6.0'
Jezi No: 4
RBA: 3
Nafasi: Point Guard

Jije%20Makani.jpg
Jina: Jije Makani
Miaka:
Urefu: 6.4'
Jezi No: 5
RBA: 8
Nafasi: Forward
Michael%20Mwita.jpg
Jina: Micheal Mwita
Miaka:
Urefu:
Jezi No: 12
RBA:
Nafasi: Shooting Guard
savio_1.jpg
Jina: Kablola Shomari
Miaka:
Urefu: 6
Jezi No: 14
RBA: 6
Nafasi: Small Foward
savio_2.jpg
Jina: George Tarimo
Miaka:
Urefu: 6'3"
Jezi No: 8
RBA: 8
Nafasi: Center
savio_3.jpg
Jina: Mathew Satta
Miaka:
Urefu: 5'9"
Jezi No: 7
RBA: 8
Nafasi: Offensive Guard
savio_6.jpg
Jina: Ivan Tarimo
Miaka:
Urefu: 6
Jezi No: 10
RBA: 2
Nafasi:
savio_5.jpg
Jina: Ally Mnyuyamani
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 6
RBA: 8
Nafasi: Guard
Davidsavio.jpg
Jina: David Mwakiponda
Miaka:
Urefu: 6'4"
Jezi No: 14
RBA: 8
Nafasi: Center
dassysavio.jpg
Jina: Dassy Makulla
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 9
RBA: 5
Nafasi: Guard
allensavio.jpg
Jina: Allen Ng'andu
Miaka:
Urefu: 6'1"
Jezi No: 15
RBA: 8
Nafasi: Small Foward
 
JKT
rba_2004.gif
kochajkt.jpg
Jina:Tubert Matiku
Miaka:
Urefu: 6'
Nafasi: Coach
Coach ass jkt.jpg
Jina: Sasi Samuel
Miaka:
Urefu: 5'8"
Nafasi: Asst. Coach
Kisokyjkt.jpg
Jina: Juma Kisoky
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 4
RBA: 4
Nafasi: Power Foward
JKT3.jpg
Jina: Frank Kusiga
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 5
RBA: 5
Nafasi: Point Guard
jkt4.jpg
Jina: Godfrey Chrisant
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 15
RBA: 1
Nafasi: Power Forward
jkt5.jpg
Jina: Yusuph Ally
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 14
RBA: 4
Nafasi: Power Foward
jkt6.jpg
Jina: Gilbert Batungi
Miaka:
Urefu: 6'5"
Jezi No: 10
RBA: 3
Nafasi: Center
jkt7.jpg
Jina: Tumsifu Apolo
Miaka:
Urefu: 6'7"
Jezi No: 11
RBA: 4
Nafasi: Center
jkt8.jpg
Jina: Mkumbo Mgendi
Miaka:
Urefu: 6'3"
Jezi No: 12
RBA: 5
Nafasi: Power Forward
jkt9.jpg
Jina: Charles Makene
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 8
RBA: 6
Nafasi: Small Forward
jkt12.jpg
Jina: Himid Esmail
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 7
RBA: 3
Nafasi: Small Forward
jkt11.jpg
Jina: Philibert Mwaipungu
Miaka:
Urefu: 5'7"
Jezi No: 15
RBA: 1
Nafasi: Point Guard
Jumajkt.jpg
Jina: Abdalah Juma
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 6
RBA: 4
Nafasi: Point Guard
Francisjkt.jpg
Jina: Francis Mlewa
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 7
RBA: 2
Nafasi: Shooting Maker
jkt2.jpg
Jina: Ashraf Harun
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 13
RBA: 5
Nafasi: Point Guard
jkt10.jpg
Jina: Frank Simkoko
Miaka:
Urefu: 6'1"
Jezi No: 9
RBA: 9
Nafasi: Shooting Guard
 
ABC
rba_2004.gif
abccoach.jpg
Jina:John Golitha
Miaka:
Urefu:


Nafasi: Asst. Coach
abcRamadhani.jpg
Jina: Ramadhan Halubo
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 4
RBA: 1
Nafasi: Point Guard
abcAenea.jpg
Jina: Aenea E. Saanya
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 15
RBA: 4
Nafasi: Center
abcAmani.jpg
Jina: Amani S. Kitomari
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 8
RBA: 1
Nafasi: Guard
abcBenjamin.jpg
Jina: Benjamin Nyansuki
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 13
RBA: 1
Nafasi: Guard

abcChristopher.jpg
Jina: Christopher George
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 13
RBA:1
Nafasi: Guard
abcDaniel.jpg
Jina: Daniel Mwakalinga
Miaka:
Urefu: 5'5"
Jezi No: 13
RBA: 2
Nafasi: Guard
abcDanielSingano.jpg
Jina: Daniel Singano
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 11
RBA:1
Nafasi: Post
abcEmma.jpg
Jina: Emmanuel Mahenya
Miaka:
Urefu: 5'9"
Jezi No: 14
RBA: 1
Nafasi: Strong Foward
abcFrank.jpg
Jina: Frank Kavalambi
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 8
RBA: 8
Nafasi: Strong Foward
abcHaleluya.jpg
Jina: Haleluya Kavalambi
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 10
RBA: 7
Nafasi: Shooting Guard
abcLucas.jpg
Jina: Lucas Peter
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 17
RBA: 1
Nafasi: Small Foward
abcMoh%27d.jpg
Jina: Mohammed H. Kasuwi
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 7
RBA: 7
Nafasi: Small Foward
abcNtibasana.jpg
Jina: Ntibasana Nongwe
Miaka:
Urefu: 6'3"
Jezi No: 12
RBA: 2
Nafasi: Big
abcSalehe.jpg
Jina: Salehe Kilindo
Miaka:
Urefu: 5"8"
Jezi No: 9
RBA: 2
Nafasi: Big
abcVictor.jpg
Jina: Victor Stancelous Kasuwi
Miaka:
Urefu: 5'7"
Jezi No: 15
RBA: 1
Nafasi: Guard
abcRonward.jpg
Jina: Ronwald Mbawala
Miaka:
Urefu: 5'5"
Jezi No: 6
RBA: 2
Nafasi: Point Guard
Kwenye Red Jamaa bado yupo juu na ni Refaree na Mchezaji Yupo JKT Sikuhizi
 
rba_2004.gif

CARGO
coach%20cargomex.jpg
Jina: Vinter Somboko
Miaka:
Urefu: 5'7"

Nafasi: Coach
Lambartcargo.jpg
Jina: Emmanuel Lambert
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 6
RBA: 6
Nafasi: Point Guard(cpt)
cargom2.jpg
Jina: Upendo Rodman
Miaka:
Urefu: 5'7"
Jezi No: 16
RBA: 1
Nafasi: Guard

cargom3.jpg
Jina: Azalia Bigambo
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 7
RBA:3
Nafasi: Post Player
cargom4.jpg
Jina: Baker Nassor
Miaka:
Urefu: 5'2"
Jezi No: 5
RBA: 6
Nafasi: Guard
cargom5.jpg
Jina: Dominic Zakaria
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 12
RBA: 1
Nafasi: Guard
cargom6.jpg
Jina: Frank Idd
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 9
RBA: 1
Nafasi: Post Player
cargom7.jpg
Jina: David John
Miaka:
Urefu: 5'9"
Jezi No: 15
RBA: 1
Nafasi: Guard
cargom8.jpg
Jina: Dominic Mwalusito
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 8
RBA: 1
Nafasi: Guard
cargom1.jpg
Jina: Lucas Kasanga
Miaka:
Urefu: 5'1"
Jezi No: 4
RBA: 1
Nafasi: Guard
cargom10.jpg
Jina: Gerald Baru
Miaka:
Urefu: 5'9"
Jezi No: 11
RBA: 5
Nafasi: Guard
bernard%20baluacargom.jpg
Jina: Benard Balua
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 13
RBA: 6
Nafasi: Point Guard
jenga.jpg
Jina: Jenga Mapunda
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 15
RBA: 6
Nafasi: Guard
Hapo Majura hakuwepo naona jkt walikuwa wamemtight School
 
OILERS
rba_2004.gif
FrankMhina%20Ass_%20Oilers.jpg
Jina: Frank Mhina
Miaka:
Urefu: 5'11"


Nafasi: Asst. Coach

Marthinoilers.jpg
Jina: Martin Warioba
Miaka:
Urefu: 6'3"
Jezi No: 10
RBA: 7
NAfasi: Foward Guard
Haule.jpg
Jina: Philip Haule
Miaka:
Urefu: 5'6'
Jezi No: 5
RBA: 6
Nafasi: Point Guard
Jeremiah.jpg
Jina: Jeremiah Joseph
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 15
RBA: 4
Nafasi: Shooting Guard
Joseph.jpg
Jina: Joseph Ntandu
Miaka:
Urefu: 5'
Jezi No: 4
RBA: 2
Nafasi: Point Guard
Justin.jpg
Jina: Justine Hoza
Miaka:
Urefu: 6'5"
Jezi No: 6
RBA: 3
Nafasi: Strong Forward
Lusajo.jpg
Jina: Lusajo Samuel
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 12
RBA: 5
Nafasi: Post Player
ANDREW.jpg
Jina: Andrew Ntandu
Miaka:
Urefu: 5'6"
Jezi No: 7
RBA: 3
Nafasi: Power forward
Nicholousoilers.jpg
Jina: Nicholous Leonard
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 14
RBA: 7
Nafasi: Power Forward
Okareoilers.jpg
Jina: Okare Emesue
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 8
RBA: 3
Nafasi: Point Guard
Piusoilers.jpg
Jina: Pius Seni
Miaka:
Urefu: 5'
Jezi No: 9
RBA: 3
Nafasi: Point Guard
Baltazary.jpg
Jina: David Bartazar
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 13
RBA: 3
Nafasi: Shooting Guard

 
CHANGOMBE BOYS
rba_2004.gif
boyscoachch.jpg
Jina: Jaji Kasoga
Miaka:
Urefu: 5'8"

Nafasi: Coach
adamchag.jpg
Jina: Adam Jegame
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 6
RBA: 7
Nafasi: Shooting Guard
Amani Kitojo chag.jpg
Jina: Amani Kitojo
Miaka:
Urefu: 5'7"
Jezi No: 8
RBA: 4
Nafasi: Piont Guard
Barnabas Malkani chag.jpg
Jina: Barnabas Malekani
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No:11
RBA: 3
Nafasi: Guard
Fred Chacha chag.jpg
Jina: Fred Chacha
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 13
RBA: 9
Nafasi: Small Forward
Jovine Malekanichag.jpg
Jina: Jovine Malekani
Miaka:
Urefu: 5'9"
Jezi No: 15
RBA : 4
Nafasi: Guard
chang5.jpg
Jina: Leon Exon
Miaka:
Urefu: 6'4"
Jezi No: 10
RBA: 6
Nafasi: Center
Zwalo Makani chag.jpg
Jina: Zwalo Makani
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 7
RBA: 3
Nafasi: Guard
Amani Temba chag.jpg
Jina: Amani Temba
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 8
RBA: 7
Nafasi: Shooting Guard
Moh'd Chang.jpg
Jina: Mohammed Mbwana
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 4
RBA: 5
Nafasi: Foward

Kwenye Red hapo Wengi kwa Sasa Mnamfahamu alipogeuka na kuwa Mwanamuziki wa Kizazi Kipya Bongo Flava Mr Temba
 
rba_2004.gif

ILALA FLATS
Hagai%20Zablon%20coachilala.jpg
Jina: Hagai Zablon
Miaka:
Urefu: 6'5"


Nafasi: Coach
Felix%20Derick%20ilala.jpg
Jina: Felix Derick
Miaka:
Urefu: 5'5"
Jezi No: 8
RBA: 1
Nafasi: Point Guard
Habel%20Uledilala.jpg
Jina: Habel Uledi
Miaka:
Urefu: 5'
Jezi No: 11
RBA: 1
Nafasi: Strong Foward

ilala1.jpg

Jina: Issa Abdul
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 14
RBA: 1
Nafasi: Center
Habelilala.jpg
Jina: Habe Kitine
Miaka:
Urefu: 5'5"
Jezi No: 4
RBA: 1
Nafasi: Point Guard
shomarilala.jpg
Jina: Shomari Almas
Miaka:
Urefu: 6'
Jezi No: 7
RBA:4
Nafasi: Center
sadikilala.jpg
Jina: Sadik Salim
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 10
RBA: 1
Nafasi: Perimeter
hamisilala.jpg
Jina: Hamis Said
Miaka:
Urefu: 5'5"
Jezi No: 5
RBA: 1
Nafasi: Post Player
Charles%20Mbagailala.jpg
Jina: Charles Mbaga
Miaka:
Urefu: 6'2"
Jezi No: 9
RBA: 1
Nafasi: Center
Charles%20Msakiilala.jpg
Jina: Charles Msaki
Miaka:
Urefu: 6'5"
Jezi No: 13
RBA: 1
Nafasi: Center
Eliabu%20Minjailala.jpg
Jina: Eliabu Minja
Miaka:
Urefu: 5'9"
Jezi No: 6
RBA: 3
Nafasi: Small Foward
Muhidini%20Hassanilala.jpg
Jina: Muhidin Hassan
Miaka:
Urefu: 5'2"
Jezi No: 12
RBA: 1
Nafasi: Shooting Guard
 


arrow.gif

TEAM T.M ROCKETS
rba_2004.gif

Michael%20Mwita.jpg
Jina: Micheal Mwita



Nafasi: Coach
rockets2.jpg
Jina: Steven Chale
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 4
RBA: 2
Nafasi: Point Guard
rockets3.gif
Jina: Christopher Temba
Miaka:
Urefu: 5 '6"
Jezi No: 8
RBA: 1
Nafasi: Point Guard
rockets4.jpg
Jina: Aziz Seleman
Miaka:
Urefu: 6'5"
Jezi No: 9
RBA: 2
Nafasi: Guard
rockets5.jpg
Jina: Amiry Omary
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi: 13
RBA: 3
Nafasi: Point Guard
rockets1.jpg
Jina:John Mwita
Miaka:
Urefu: 5'6"
Jezi No: 10
RBA: 4
Nafasi: Shooting Guard
David%20Samwel%20tm.jpg
Jina: David Samwel
Miaka:
Urefu: 5'8"
Jezi No: 15
RBA: 2
Nafasi: Shooting Guard
Robert%20tm.jpg
Jina: Robert Harride
Miaka:
Urefu: 5'11"
Jezi No: 11
RBA: 3
Nafasi: Post Giard
tmShabani.jpg
Jina: Shabani Hamis
Miaka:
Urefu: 5'2"
Jezi No: 5
RBA: 2
Nafasi: Foward
tmSossy.jpg
Jina: Sossy Rusimbi
Miaka:
Urefu: 5'10"
Jezi No: 10
RBA: 7
Nafasi: Offense Guard
 
Mchezaji bora Kili Super Cup 2004

Dibofinals.jpg
mohammedallyvxe.jpg
Jina: Mohammed Ally
Miaka:
Urefu: 6'3"
Jezi No: 10
RBA: 6
Nafasi: Small Foward
Haya bwana kamata na uthibitisho kabisa ukaweke kabatini kwako, kwamba wewe ndie ulikuwa Most Valuable Player (MVP) wa Kili Super Cup mwaka 2004 ndivyo anavyoonekana kusema mgeni rasmi.
KILA mchezaji alikuwa na hamu ya kutaka kujua nani atatangazwa kuwa ni mchezaji bora wa mashindano ya Kili Super Cup 2004 ambayo sasa yanajulikana kama Mbamba Kili Super Cup.

Wachezaji walikuwa roho juu, hasa wakati mtangazaji wa shughuli alipokuwa tayari kumtangaza huyo bora wa mwaka huu.

Swali kwa kila mmoja lilikuwa ni nani atakuwa kinara, wengi wana uwezo na walionyesha vipaji wakati wa michuano hiyo bora kabisa, lakini nani sasa?

Kwani pamoja na ubora ambaye angefanikiwa kutwaa taji hilo la ubora, kitita cha Sh milioni mbili kilikuwa kinamsubiri, du!

Baada ya mtangazaji wa shughuli kurudia mara kadhaa mwa mbwembwe na mashabiki wakihimiza huyo MVP wa Kili Super Cup atajwe "Mtajeee" wakilipuka kwa kelele, naye bila ajizi akataja jina.

"MVP wa Kili Super Cup 2004 ni kutoka timu ya Vijana," alisema na mashabiki walianza kutabiri huenda ni mchezaji wao mwingine mahiri Abdallah Ramadhan
'Dulla'.

Lakini walikosea, kwani walionekana kusahau makali ya mkali mwingine wa City Bulls, Mohammed Ally 'Dibo' ambaye baada ya kutajwa jina lake kila mmoja alikubali kuwa alikuwa anastahili.

Dibo alikuwa anacheza kwa mara ya sita katika shindano la Kili Super Cup na ametoa mchango mkubwa kwa Vijana kutawazwa kwa mara ya tatu, kuwa wafalme wa Kili Super Cup 2004.

Inawezekana kabisa mechi ya fainali dhidi ya JKT ndiyo iliyomuongezea pointi nyingi hadi kuibuka MVP.

Dibo alionyesha uwezo mkubwa kwa kuwatoka madui kwa kasi na kwenda kutumbukiza mpira kwenye kikapu.

Shindano hilo limedhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake, Kilimanjaro ambayo imekuwa ikilifanya liendelee kuonekana ni bora zaidi.

Baada ya mechi hiyo, Dibo alisema amepata furaha kubwa mno kutangazwa yeye ndiye MVP hasa kwa kuwa tayari walikuwa wamefanikiwa kutangazwa ndiyo wafalme.

"Nina furaha kubwa mno na nina imani nina haki ya kuwa na furaha namna hii ukizingatia sisi ndiyo mabingwa wapya," alisema.

Alisema nia yake ni kuweka rekodi kwa kuwa mchezaji bora kwenye mchuano mingine migumu ya mpira wa kikapu ya RBA Kili.

"Nataka nifanikiwe zaidi kama ikiwezekana niwe pia MVP wa ligi ya wanaume ya Kili RBA na hata MVP wa All Stars kama itawezekana kwa huku Vijana ikipata
mafanikio zaidi," alisema Dibo.

Dibo anakuwa mchezaji wa tatu wa Vijana kutwaa tuzo ya MVP ya Kili Super Cup baada ya Obasanjo Zeno mwaka 1996 na Abdallah Ramadhan 'Dulla' aliyeshinda katika miaka ya 1998 na 2000.

Wengine waliowahi kutwaa tuzo hiyo ni marehemu John Ntambwe wa Pazi mwaka 1997, Masero Nyirabu wa Savio mwaka 1999, Frank Kusiga wa JKT aliyeshinda miaka ya 2001 na 2003 na Michael Mwita wa Savio mwaka 2002.

ORODHA KAMILI YA MVP WA KILI SUPER CUP
MWAKA MCHEZAJI TIMU
1996 Obasanjo Zeno Vijana
1997 John Ntambwe Pazi
1998 Abdallah Ramadhan Vijana
1999 Masero Nyirabu Savio
2000 Abdallah Ramadhan Vijana
2001 Frank Kusiga JKT
2002 Michael Mwita Savio
2003 Frank Kusiga JKT
2004 Mohamed Ally Vijana
 
Marekani yakikubali kikapu Dar

AFISA wa Ubalozi wa Marekani, David Colvin amesema kwamba kiwango cha mpira wa kikapu mjini Dar es Salaam kipo tofauti na alivyofikiria.

Colvin ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mechi za fainali ya Kili Super Cup 2004 iliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa ndani wa Taifa, Dar es Salaam alisema kwamba japo ilikuwa mara yake ya kwanza kuhudhuria mchezo huo nchini lakini ameridhishwa na kiwango alichokiona.

"Hii ni mara yangu ya kwanza kutazama mpira wa kikapu Tanzania, na nimevutiwa na kiwango cha uchezaji wa timu zote, nawapongeza mabingwa na timu zote zilizoshiriki. Wameonyesha nidhamu, taaluma na mchezo wa kiungwanana,"alisema.

Aidha, Colvin aliwapongeza wadhamini bia ya Kilimanjaro kwa jithada zake za kuendeleza mchezo huo hapa nchini.
 
Milioni 6.5 ndani ya wiki sio mchezo - Kilumanga

Saudain2.jpg
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, Bi. Sauda Simba Kilumanga, siku alipoongea na Kilitime kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Jijini Dar es Salaam.
Kilitime, ilipata nafasi ya kuongeana wadhamini wa michuano ya Mbamba's Kili Super Cup 2004, ambapo iliweza kuongea na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Bi. Sauda Simba Kilumanga ambae tuliweza kuongea mambo mengi yahusikanayo na mchezo huu maarufu sana miongoni mwa vijana nchini pote.

Bi. Kilumanga ambae muda wote wa maongezi yetu alikuwa mwingi wa furaha akielezea mafanikoambayo, Kampuni yake ya TBL imeyapata kwa kudhamini mchezo huu kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager, alisema mtazamo wa Kampuni yake kwa sasa ni kuupeleka mchezo huo nchi nzima, hapa anajibu baadhi ya maswali tuliyomuuliza.
Kilitime; hii ni Super Cup yenu ya nane sasa, unaweza kutueleza nini mafanikio yenu kwa mchezo huu Jijini Dar es Salaam, unaonaje mwelekeo yenu sasa?
Bi. Sauda Simba Kilumanga; kwanza kabisa ninachoweza kusema ni kwamba zawadi ya shilingi milioni sita na laki tano (6.5 ml.) kwa mshindi wa michuano hii ambayo inachezwa kwa kipindi cha wiki moja tu ni mafanikio makubwa sio kwetu sisi tu, bali pia kwa maeendeleo ya mchezo wenyewe Jijini hapa.
Bi. Kilumanga anaendelea kusema kuwa, sio hivyo tu michuano yenyewe kama ambavyo wenyewe mnaiona, imekuwa ya kitaalam zaidi (Very Professional), wachezaji wanapata karibu kila kitu hii sio katika Super Cup tu peke yake, bali pia katika michuano ya ligi ya mpira wa kikapu Jijini Dar es Salaam ambayo sisi ni wadhamini.
Bi. Kilumanga, amesema kuwa katika kipindi hicho chote cha udhamini wao wameendelea kupata ushirikiano wa juu kabisa na vyama vya mchezo huo vya nchi jirani, kama vile Chama cha mchezo wa kikapu nchini Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo (DRC), hawa wametusaidia kwa kiasi kikuwa kukuza mchezo huu Jijini.
Kilitime; Mbamba Kili Super Cup na RBA Kili zote ni za kimkoa zaidi licha ya ukweli kwamba Bia yako ya Kilimanjaro inanyweka nchi nzima, kuna mipango yeyote ya kufanya moja ya michuano hii kuwa wa Kitaifa?
Bi. Kilumanga; ni mipango yetu ya mbele kuona kwamba michuano yote ya mpira wa kikapu ambayo sisi tumekuwa wadhamini inachukua sura ya kitaifa, lakini hii haitokei tu mchana kutwa, inahitajika mipango safi na yenye mustakabari mzuri ilikuona kwamba hatukurupuki na kufanya mambo ya ajabu ambayo yatakuwa sawa na kupoteza fedha bure.
Hapa nina maana kwamba tunahitaji kuwa na uongozi safi pale juu kwa sababu sisi hatuwezi kufanya kazi za kusimamia mchezo wenyewe, kama inavyoeleweka sisi sio wasimamizi wa michezo, hivyo maongezi na vyama vya mchezo huu mikoani yanaendelea na kwa wakati muafaka tutawatangazia nini kinafuata.
Kilitime; Bi. Kilumanga, unafikiri ni wakati muafaka sasa kwenu ninyi kama wadhamini kuzishirikisha timu za wanawake katika Mbamba Kili Super Cup?
Bi. Kilumanga; ni kweli timu za wanawake Jijini Dar es Salaam zimeendelea kufanya vizuri sana katika ligi ya RBA, na kwamba kila mwaka tumekuwa tukijionea maendelea mazuri sana kwa upande wao, lakini kama ambavyo nilivyojibu hapo juu, lengo hasa ni kuyafanya mashindano haya kuwa ya kitaifa zaidi, 'that is our major objective in the coming future' (anasisitiza Sauda Simba Kilumanga).
Kilitime; nini maoni yako kuhusiana na timu kuleta wachezaji kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kushiriki michuano hii?
Bi. Kilumanga; pamoja na ukweli kwamba swali hili lipo mikononi mwa DARBA kwa sehemu kubwa, lakini naamini kabisa zoezi hilo limefanikiwa sana, wachezaji wetu wameweza kufunguliwa macho angali mchezaji kama Abdalah Ramadhani Dulah, huyu ameweza kupata nafasi ya kucheza kikapu nchini Shelisheli naamini alipewa changamoto kubwa na wachezaji hawa kutoka nje ya nchi, hivyo ni wazo zuri
Kilitime; nini umekuwa mchango wa Kili Street Ball, katika maendeleo ya mchezo huu Jijini Dar es Salaam?
Bi. Kilumanga; Kili Street Ball, ni moja ya mafanikio makubwa yetu sisi na DARBA kwa maana ya kwamba kwa kiasi kikubwa tumewaleta vijana wa Tanzania pamoja kwamba, badala ya kijana wa Tanzania kukaa mtaani tu na kufanya mambo ambayo si ya manufaa kwake na taifa sisi tumejitahidi kumpelekea kitu cha kumfanya achangamshe akili na mwili wake mtaani kwake, hayo ni mafanikio makubwa.
Kilitime; swali la mwisho, ungependa timu ipi itwae ubingwa katika fainali hizi za leo;
Bi. Kilumanga; kicheko, kisha anamaliza kwa kusema kuwa, wao ni wadhamini wa mchezo huu hivyo timu yeyote kati ya sita na baadae nne zilizotinga katika hatua muhimu kuelekea kutwaa ubingwa wangefurahi kuona inaondoka na donge nono hilo la ubingwa wa Mbamba Kili Super Cup.

Mko wapi siku hizi Kili?
 
Matiku kocha bora Kili Super

Matiku.jpg
PAMOJA na timu yake kuchapwa na Vijana katika mchezo wa fainali, Tubert Matiku juzi alijifariji na tuzo ya kocha bora wa Kili Super Cup 2004.

Matiku alitajwa kwamba kocha wa mshindano hayo baada mchezo huo, lakini hakuwa mwenye furaha sana kwa sababu kumbukumbu ya kipigo cha Vijana ilikuw abado imo kichwani mwake.

Kwa kuwa kocha bora, Matiku atapata donge nono la sh 800,000 sawa na mlinzi bora wa mashindano hayo, Franklin Simkoko kutoka timu yake, JKT.

Mwaka huu, MVP ataendelea kupata Sh 2,000,000, mfungaji bora Sh 800,000, Mlinzi bora 800,000, Kocha bora 800,000 na timu yenye nidhamu itazawadiwa Sh
500,000.

Washindi wengine wa vipaji binafsi ni Abdallah Ramadhan "Dulla' ambaye ni hodari wa kudanki, Loo Yele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa kigeni na Oiler's timu yenye nidhamu.

Charles Makene wa JKT alipata tuzo mbili ambazo ni mfungaji bora wa mitupo ya pointi tatu na mfungaji bora wa mashindano hayo.

Wengine ni Blocker bora Abdallah Kavishe wa Chang'ombe Boys na MVP alikuwa Mohamed Ally 'Dibbo' wa Vijana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom