Tanzania loses battle over Serengeti road project

I think you are the one with low thinking capacity, Or may be you don't know there are PEOPLE dying there due to poor infrastructure facilities, Do you know how many lives of innocent sick people we would have saved by building that road? Do you know the high cost of living for people of Ngorongoro and Mugumu? ALL IN ALL, people are more important than those stupid animals which are being daily transferred abroad with NOTHING in return.
 
Mfumo tata (ecosystem) ya Serengeti kwa kufahamisha tu,mwingiliano wake ndio unaowezesha hata uwepo wa makazi ya binadamu huko Lolindo. Mfumo huu utakapovurugika hata hao binadamu wakaao Lolindo watapahama pia,nature is perfect on this. By saying to hell with the flamingos and the ecosystem is just Pole hommiin suicide. Nashawishika kuamini hujui unaishi kwasababu mazingira ndio yanakuwezesha kuishi.
Hivi kipi kinachoharibu ecosystem kati ya kelele za MIDEGE ya kiarabu walioruhusiwa kujenga viwanja vyao katikati ya mbuga au barabara. Binafsi siwatofautishi hawa wanaotetea wanyama na wale waliokuwa wakitushawishi tuupigie mlima kilimanjaro kura ya kuingia kwenye maajabu ya Dunia wakiwa wamesahau kuwa kama kitu ni cha ajabu kitaendelea kuwa cha ajabu tu hata bila ya kupigiwa kura!
 
ANGALIZO:
Ø Kwa mtindo huu wa kenya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania kila wakati na kizivuruga nini maana yake?

Ø Ikumbukwe pia walishawahi kuvuruga tana pale tanzania ilipoomba kibali cha kuuza meno ya temba na wakafanikiwa.

Ø Mbona sisi hatukuwaingilia pale walipoomba kibali cha kujenga bandari ya lamu?

Ø Kwa mtindo hu,nini manufaa na faida ya kuwa na east africa community kama wenzetu wanakua wanafiki na kinyume na sisi kila wakati?
============================================================

Na bado mtakoma kwa kuiweka madarakani serikali ya viongozi wajinga wajinga. Kama mnatafasiri sheria zenu za URAIA kwa kufanya marejeo ya SHERIA za Kenya, kwa Ujinga huu kwanini WAKENYA WASIWAINGILIE HADI MAUNGONI maana mdondo Tanganyika yupo kutwaliwa kilaini na Kenya.
 
Makupa,
Here in JF people are using brain, plus education and scientific disciplines to discus for the matter which is concern.
And not bla! bla!bla! and provocation, Myself i need you to explain why the Tanzania Goverment. should built the
road through serengeti national park with you are self support, and that's the point, and if you don't have any idea
at once we have to send a psychology to you because your a peck's.
 
Back
Top Bottom