Tanzania: Land rights vs biofuel development – in pictures

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

Tanzania: land rights v biofuel development – in pictures

Biofuels were once seen as a sustainable alternative to some fossil fuels, but evidence shows demand in EU countries for biofuels to run vehicles has led to increased
greenhouse gas emissions, rising food prices and more hunger. In the Kisarawe region of Tanzania, more than 19,000 acres of land are being used for a biofuel plantation. ActionAid has been working with affected communities to help them assert their land rights

Residents-of-Mtamba-villa-009.jpg

Aziza Gonjwa and her family have lost their five acres of fertile land to an international biofuel business. The biofuel development has affected 11 villages in Kisarawe

The people of Mtamba village are angry about the way the biofuel company has treated them. The UK government includes biofuels in its energy plans, and
the EU has targets for the use of biofuels. Until consumer countries reduce their biofuel targets, developments are likely to continueShare45

A plantation where an inedible crop called jatropha is grown to produce biofuels. The biofuel company has acquired 19,753 acres of villagers' land in Kisarawe

The oil from this Jatropha plant will be refined to produce biofuels for road vehicles, planes or power stations. It will be sold in ready markets, such as Europe

Amina Ali and her family, from Mhaga village, used to earn the equivalent of £150 per month selling charcoal and handicrafts made from material gathered from the common land. She lost her living when she lost access to the land and her husband had no alternative but to work at the biofuel plantation for £50 a month. Now even that job has gone

Athumani Mkambala with his family. As chairman of Magda village committee, he remembers the promises made by the biofuel company to build clinics, schools, roads and boreholes for clean water, and to provide employment and livelihood opportunities. 'All these promises remain empty,' he says

Halima Ali from Mhaga village says: 'Our income comes from farming. We have been stopped from going to the land now, from harvesting it. I get something small from my tailoring business – a few shillings, praise God'

The former water sources became off-limits to the communities, and the only accessible well was nearly three miles from Halima Ali's village. 'During dry seasons we get water from our neighbouring community and we walk for almost four hours,' she says

Halima Weli lives with her husband, daughter and three of her grandchildren. 'We can only say that they want to benefit themselves. When they took away the land, it affected all those who were living on that land in one way or another'

The biofuel development is also having a big impact on Kisarawe's children. There is little money to provide them with an education, and there is no land to inherit. ActionAid is working with affected communities to help them gain their rights

Mbunge wa Kisarawe si alikuwa Rais wetu? Wananchi wamenyang'anywa Ardhi na Mwekezaji; hali ya Maisha imekuwa

Mbaya zaidi; hakuna SHULE; VITUO VYA AFYA; MAJI WAMEZUILIWA KUTUMIA; ARDHI PIA; SHULE HAKUNA

Mbunge wa sasa ni nani? yuko wapi? kweli hawasikii vilio vya wananchi?

BIOFUEL inawanufaisha watu wa EUROPE sijui kama serikali inapata chochote labda hiyo ardhi kuiuza
 
Mwenye nguvu,
hatumii nguvu zake moja kwa moja kumbana mnyonge.
Huchukuaa wanyonge kadhaa na kuwa brainwash.
kisha huwatumia kwa urahisi,
kupambana na wnyonge wenzao.

Ukiangalia kwa mbali,
Utaona vita kali ikipiganwa,
kati ya mnyonge na mnyonge.

ukiangalia kwa karibu,
Under microscope,
Utaona mwenye nguvu,
anatumia wanyonge
kupambana na wanyonge
kwa faida ya mwenye nguvu.

Mnyonge,
kamwe hawezi shinda,
asipotambua,
unyonge wake.

Akitambua unyonge wake,
ni lazima apambane.
Ni lazima apambane,
kwa kutumia unyonge wake.

Mwenye nguvu,
hapati nguvu,
kutoka hewani.

Mwenye nguvu,
hupata nguvu,
kutoka kwa wanyonge.

Ni vema siku zote,
kwa wanyonge,
kutambua,
wanyonge ndiyo asili ya nguvu,
ya mwenye nguvu.

wanyonge,
na wanyonge pekee
ndiyo wenye nguvu,
za kuondoa nguvu ya mwenye nguvu
 
Mbunge wa Kisarawe si alikuwa Rais wetu? Wananchi wamenyang'anywa Ardhi na Mwekezaji; hali ya Maisha imekuwa

Mbaya zaidi; hakuna SHULE; VITUO VYA AFYA; MAJI WAMEZUILIWA KUTUMIA; ARDHI PIA; SHULE HAKUNA

Mbunge wa sasa ni nani? yuko wapi? kweli hawasikii vilio vya wananchi?

BIOFUEL inawanufaisha watu wa EUROPE sijui kama serikali inapata chochote labda hiyo ardhi kuiuza

The least these Companies and their consultants could do is to make sure these villagers. Why are they selling cheap. They have to realize that they have seller's power. Just listen to Professor Coullier, Here is a quote from the video.

"In the present environment of global competition for natural resources, African governments are no longer in hook to European power or Americans. The chance of getting global competition for natural resources is theirs. It is theirs for the taking. The question is how that competition will be conducted; and to date the modality that African governments have chosen for selling their natural resources encourages plunders. But that's the choice. It is the choice that they have made: and their citizens need to be aware that they could sell these resources in different way, which will great reduce the problem of plunders. And once that choice is out there, clearly the governments either sell through auction or private deals." [Paul Coullier]

Economists Paul Collier and Dambisa Moyo on Africa. - YouTube
 
Yeah i watch Prof Collier; But these Villagers did not sell the land; remember most of our people live in a communal

Land and when it come for Land accusations it goes to Village elders and government so the small people or the

small land owners get's nothing... Remember the Tanzanian GVT is the one who owns all the lands it has not changed
 
First, I think, the company that bought the land has responsibility to relocate these families or pay for that process. It is a part of the Cost of Land, and these companies already know that. That is how they do in their countries, and I think they would not dispute that.
Second, with regard to ownership, this is a well-known around the world, the land is belong to the local people; the government, which is created by the people, is the custodian of the Land. Tanzania ni watu na watu ndio nchi/serikali.
One question comes to mind is why does government have to sell the land with habitats on the cheap, while there are several buyers wants it, including some from US, Europe, China, Middle East, Asia, just to mention a few. In fact, there is only a limited arable land in the world today, 60% is in Africa. Just like Prof. said in the video, why can't government sell it to the highest bidder? In addition, government can request the investors to provide certain infrastructure, so that the locals and investors all get benefits from a trade. Look how these poor families have left with the children. It is Inhumane and Immoral.
 
The same thing in Rukwa - the CCM Government they just give who ever visit them in the Office and allocate them

The Land; no bidding why should they bid? while we have vast available arable land forget about peasants they

will become cheap laborer to them investors and the Money does not go to the government coffers, it goes to

certain individuals withing the ruling government... and who cares; we used to be a party of Jembe na Nyundo

No More we are the party of bourgeoisie (mabwanyenye) we really don't care about the 80% of the population

And the ruling party has court, police, justice and power on their side so who will oppose them? Technically no One

* Our country is totally different from other countries in Africa or Asia as those countries Our land was free to our

people those countries Land was already sold and owned individually; Nyerere Nationalization did bring a lot of LAND

POWER BACK TO LOCALS and it stays there for quite a long time, we had a very few large scale farmers who were

far away from peasants they never invade each other's Land the LAW was tight and always on the peasants side

not now like the ARUSHA's case the so called MWEKEZAJI can chase away the peasants from the land...

*** SO OUR ISSUE WAS TOTALLY DIFFERENT FROM OTHER REGIONS IN THE WORLD BUT CCM GOVERNMENT
WITH IT's DISSOLUTION MIND's OF BOURGEOISIE without experience are breaking down the LAWS which
USED TO PROTECT OUR PEASANT's...
 
Hapa sio sawa hata kidogo! Hizi picha zimeutia moyo wangu simanzi. Mapori yako mengi tu Tanzania na kama ni majaribio wangeenda kufanyia huko,sisi nishati ya mazao yanini wakati hata mazao ya chakula bado hatujajitosheleza?
 
Hapo ndipo CCM ya fisadi Kikwete ilipotufikisha. Time for change.

Mkuu, ni responsibility ya upinzani kuulizia haki za Hawa watu wanyonge. Hali hii inaonyesha hata kama ingelikua wao, hili jambo lingetokea. Hawa wanakijiji wana weza kusaidiwa, wanainchi wakilizungumzia hili swala kama wakati wa Dowans. Kuna watu ambao waliwawakilisha watanzania katika hii Mikataba, hao ndio waulizwe na Majina yao yawe public kwa sababu ni public information anyway. Mbona Jina la Alie kua Waziri Mkuu lilitajwa wakati wa Issue ya Dowans? Mkuu Jasusi, na hawa wanaoingia hii Mikataba ikiwemo Washauri wao (Consultants). Wajibu wa mtu huru ni kukubali matoke ya uamuzi wake. Kwa hiyo hawa waliofanya maamuzi haya, watambulike. Na serikali ijitahidi kutathmini hizi Mali Asili.
 
Hapa sio sawa hata kidogo! Hizi picha zimeutia moyo wangu simanzi. Mapori yako mengi tu Tanzania na kama ni majaribio wangeenda kufanyia huko,sisi nishati ya mazao yanini wakati hata mazao ya chakula bado hatujajitosheleza?
Na hiyo nishati haitatusaidia kitu. Mzungu atavuna na kuuza kwao. Na faida anaweka kwenye akaunti yake kwao.
Sisi tunaambulia patupu.
 
Uwekezaji unapaswa kuleta tija kwa wananchi kwenye maeneo husika na sio kero; vitu kama hivi vinasikitisha sana ila si kweli katika kila jambo baya ni lazima raisi ahusishwe, naamini haya ni matokeo ya kuwa watendaji wala rushwa kuanzia ngazi za vijijini mpaka wizarani; naamini mabadiliko ya watendaji wizarani yaliyofanywa yanaweza kutoa jibu sahihi kwa wanavijiji walioathirika; badala ya wadau wengi kuleta hisia zao kisiasa lingekuwa ni jambo la kizalendo zaidi kuwatafutia wananchi msaada wa kisheria.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chama,
Naamini it goes back to sera, ndugu yangu. Sera za CCM kuhusu uwekezaji hivi leo hazieleweki kabisa. Akija mzungu na proposal yeyote ile, hata ikiwa ya kijinga namna gani, au ya madhara kwa maslahi yetu, serikali ya CCM itampokea kwa mikono miwili chini ya kivuli cha mwekezaji. Hapo ndipo uongozi wa juu, akiwemo rais, unahusishwa. Nilisikitika kumsikia Kikwete akishupalia uwekezaji wa aina hii akisema kuwa watu wa pembezoni, ambao ndiyo sisi akina yakhe, nao watafaidika. Yaani sisi wenye nchi tumeshageuzwa kuwa watu wa pembezoni?
 
Kwenye moja ya maazimio ya EU ni kuwa ifikapo 2015 wawe wamepata ardhi nje ya EU yenye ukubwa usiopungua hectares milioni tano,kwa ajili ya uzalishaji wa biofuel,hadi kufika mwaka jana pekee walikuwa wameshapata (grab) zaidi ya hectare milioni 2.8,na ndani ya ardhi ya Tanzania wamepora zaidi ya hectare laki sita.
Suluhisho la haya yote ni Katiba mpya,ambayo itaweka swala la umiliki wa ardhi liwe clear(land right),
 
Chama,
Naamini it goes back to sera, ndugu yangu. Sera za CCM kuhusu uwekezaji hivi leo hazieleweki kabisa. Akija mzungu na proposal yeyote ile, hata ikiwa ya kijinga namna gani, au ya madhara kwa maslahi yetu, serikali ya CCM itampokea kwa mikono miwili chini ya kivuli cha mwekezaji. Hapo ndipo uongozi wa juu, akiwemo rais, unahusishwa. Nilisikitika kumsikia Kikwete akishupalia uwekezaji wa aina hii akisema kuwa watu wa pembezoni, ambao ndiyo sisi akina yakhe, nao watafaidika. Yaani sisi wenye nchi tumeshageuzwa kuwa watu wa pembezoni?

jasusi,
Yapo mambo ambayo ya msingi naweza kukubaliana na wewe kwamba baadhi ya watendaji serikalini si waaminifu na wanapindisha sheria za uwekezaji kwa manufaa yao binafsi; tukirudi kwenye neno pembezoni nina uhakika unafahamu vyema mh. Raisi hakuumaanisha watu wadhulimiwe ardhi yao alichomaanisha watu wa maeneo yanazunguka mashamba ya wawekezaji watafaidika na ajira; hapa naona unaongelea zaidi ushabiki wa kisiasa na si kutafuta suluhisho wa mgogoro husika.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tanzania: land rights v biofuel development – in pictures

Biofuels were once seen as a sustainable alternative to some fossil fuels, but evidence shows demand in EU countries for biofuels to run vehicles has led to increased
greenhouse gas emissions, rising food prices and more hunger. In the Kisarawe region of Tanzania, more than 19,000 acres of land are being used for a biofuel plantation. ActionAid has been working with affected communities to help them assert their land rights

Residents-of-Mtamba-villa-009.jpg

Aziza Gonjwa and her family have lost their five acres of fertile land to an international biofuel business. The biofuel development has affected 11 villages in Kisarawe

The people of Mtamba village are angry about the way the biofuel company has treated them. The UK government includes biofuels in its energy plans, and
the EU has targets for the use of biofuels. Until consumer countries reduce their biofuel targets, developments are likely to continueShare45

A plantation where an inedible crop called jatropha is grown to produce biofuels. The biofuel company has acquired 19,753 acres of villagers' land in Kisarawe

The oil from this Jatropha plant will be refined to produce biofuels for road vehicles, planes or power stations. It will be sold in ready markets, such as Europe

Amina Ali and her family, from Mhaga village, used to earn the equivalent of £150 per month selling charcoal and handicrafts made from material gathered from the common land. She lost her living when she lost access to the land and her husband had no alternative but to work at the biofuel plantation for £50 a month. Now even that job has gone

Athumani Mkambala with his family. As chairman of Magda village committee, he remembers the promises made by the biofuel company to build clinics, schools, roads and boreholes for clean water, and to provide employment and livelihood opportunities. 'All these promises remain empty,' he says

Halima Ali from Mhaga village says: 'Our income comes from farming. We have been stopped from going to the land now, from harvesting it. I get something small from my tailoring business – a few shillings, praise God'

The former water sources became off-limits to the communities, and the only accessible well was nearly three miles from Halima Ali's village. 'During dry seasons we get water from our neighbouring community and we walk for almost four hours,' she says

Halima Weli lives with her husband, daughter and three of her grandchildren. 'We can only say that they want to benefit themselves. When they took away the land, it affected all those who were living on that land in one way or another'

The biofuel development is also having a big impact on Kisarawe's children. There is little money to provide them with an education, and there is no land to inherit. ActionAid is working with affected communities to help them gain their rights

Nnauye jr,
Mh. Nape hongere kwa kukeleza majukumu ya chama kikamilifu, asiyeweza kukabiliana na kasi yako tunamshauri atafute electric wheelcahair au crutches; Bado naamini sera za uwekezaji zitasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza kasi ya maendeleo kwa taifa letu, pamoja na uzuri wa sera za uwekezaji bado matatizo madogo madogo yanajitokeza na yataendelea kujitokeza; nikiwa mwanaccm naamini rasimu za chama chetu bado zinaendelea kumjali mtanzania, tumeletewa habari hii na wanaJF ikionyesha moja ya kero za uwekezaji zinazowakabili wananchi wa Kisarawe tunaomba uifutilie kwa makini katika ngazi ya kichama ili kujua ukweli na hali halisi ya tukio hili na ikibidi hatua madhubuti zichuliwe ili kuhakikisha mtanzania hageuzwi mtumwa ndani ya nchi yake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom