Tanzania kupitia upya mikataba 26 ya mafuta na gas

mpigauzi

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
275
71
Tanzania to review 26 contracts on oil, gas Send to a friend
Sunday, 16 September 2012 09:25

00000000agas%20oil.jpg
Under production-sharing agreements, exploring companies bear the total cost of prospecting for gas and oil. PHOTO | FILE

By Alex Bitekeye
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Energy and Minerals minister Sospeter Muhongo has ordered the new board of the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) to review all 26 production-sharing agreements with oil and gas companies.He also ordered the board to closely supervise the auditing of the cost of prospectors to prevent cheating.
According to the production-sharing agreements, exploring companies bear the total cost of prospecting. But concerns are mounting that some firms are exaggerating the costs to reap more profits during production.
Under the directive, the board will audit even costs incurred by firms in the past.
The aim is to ensure that the country gets a fair share of its resources. Prof Muhongo yesterday handed over such contracts to the new board, telling it to “review them and advise the government accordingly”.
However, he noted that some of the pacts were signed between the government and oil and gas companies a long time ago, and Tanzania might be getting a raw deal. The order comes at a time when the government has been under criticism for striking oil and gas deals with multinational companies without taking national interests into account.
It has been confirmed that Tanzania has natural gas reserves of 43 trillion cubic feet worth $430 billion and more deposits are being found.
The discoveries have prompted the government to initiate the review of its oil and gas exploration legislation as well as draw up strategies and tax regime to enable the country benefit from the boom.
Recently the government delayed a licensing round for up to nine deep-sea oil and gas blocks until an appropriate legislation is enacted.
The fourth licensing round was scheduled to be launched in Houston, Texas last Friday.
Opposition MP Zitto Kabwe urged the government to impose a ten-year moratorium on oil and gas exploration to prepare the country to handle huge projects.
The government is renegotiating the Songo Songo production-sharing agreement it entered with the PanAfrican Energy Tanzania Limited 2001, seeking an amendment.
The government’s shift towards a more aggressive tone on gas and oil contracts and legislation is not at all unexpected, analysts assert.
“As discoveries are made and it becomes clear the size of the prize you can start to see political pressures to change the terms after the fact,” John Malone, GH Securities analyst told the Reuters News Agency in a report yesterday.
“They need to negotiate harder. They shouldn’t be selling out,” Jenik Radon of Columbia School of International and Public Affairs was also quoted by Reuters as saying.
Donors have also urged Tanzania to hold off on licensing more blocks for exploration until contracts are made transparent and better terms have been put in place.
According to the model production sharing agreement of 2008 TPDC, on behalf of the government, is entitled to a share of profit from gas production of between 60 and 85 per cent.
However, contracts are considered “state secrets” and not meant for public consumption, causing concerns.
The review of revenue sharing agreements is part of the 10 major duties assigned to the board by the minister.
Other duties are to hasten the drafting of a natural gas policy, review of the Petroleum Expl oration and Production Act of 1980 and supervision of the construction of the Mtwara-Dar gas pipeline.
The board should also ensure clauses are put in the legislations to guide the amount of oil and gas to be retained in the country.
Meanwhile Energy and Minerals minister Sospeter Muhongo has directed companies under his ministry not to renew the contracts with various legal firms unless they win at least 80 per cent of cases.
“There is no need to keep contracts with such companies. These should also include firms which normally delay cases so that they can be paid more fees,” he said.
Prof Muhongo gave an example of 200 pending cases at the Tanzania Electric Supply Company Limited, ordering the parastatal not to sign contracts which include those on capacity charges.

Source: The Citizen

My take:

Kumbe kila kitu kinawezekana. Kinachotakiwa ni uongozi bora. Hongera Prof
 
Legal firms ndio zimemaliza hii nchi. Watu kama Rex Attorneys walitakiwa kushtakiwa kwa kuhuju uchumi lakini cha ajabu ndio kwanza wanapewa vyeo, mfano Mwanaidi Maajar ni balozi wa Tanzania Washington, ndugu yake Hawa Sinare ni mwenyekiti board ya kahawa. Huku wamekuichinja Tanesco bila huruma.

Kuna kipindi nafakiria pengine sheria itungwe ili kuweka mipaka kwa legal firms.
 
Sio Kushitakiwa tu kwani haitoshi, Hawa wanatakiwa kufungiwa na kufutiwa leseni zao wasifanye tena kazi hizo. Rex Attorneys wapo kwa ajili ya ukuwadi wa ufisadi, wametuingiza kwenye mikataba mingi sana ya kifisadi. Kwanini serikali haiwafutii leseni?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mikataba ya utafutaji gesi nchini huwa unatiwa saini na waziri,ina maana kwamba mawaziri wote waliomtamgulia Muhongo hapa wizarani hawakuwa wanajua chochote ?
 
mikataba ya utafutaji gesi nchini huwa unatiwa saini na waziri,ina maana kwamba mawaziri wote waliomtamgulia muhongo hapa wizarani hawakuwa wanajua chochote ?

mkuu hao waliomtangulia walitawaliwa na kupata vijisenti vya haraka vya kupeleka uswiss
 
This is reinforcing my idea that in the new constitution ministers should be technocrats who should not necessarily come from the members of parliament. Prof. Muhongo i suppose is not among the evil syndicate of CCM, that is why in the short period of being in the office he has been able to do a tremendous job despite the impediments he is facing from the old block.
 
Hiyo haisemi chcochote kwani inawezekana kwa Bw. Dr. Muhongo tukawa tumebahatika tu, hata kama ukisema Mawaziri wasiwe wabunge bado sio jibu kwa maana bado Raisi ndiye atakayekuwa anachagua/teua na hivyo bado anaweza akamteua huyo ambaye unamwita Technocrats kwa upendeleo na bado akafanya madudu!

Tatizo letu Tanzania sio mfumo tulionao bali ni sisi kama watu, mfumo huu huu wetu unatumiwa na nchi nyingine nyingi tu Duniani na bado unawanufaisha.

Wacha nikupe mfano ambao labda utaelezea kwanini tatizo sio Mfumo, kwa mfano kuna taasisi nyingi tu nchini mwetu ambazo zinaongozwa na hao unawaita Technocrats lakini hazina mafanikio makubwa kwa mfano Benki kuu, Gavana wetu ni mtaalumu mkubwa tu wa mambo ya Uchumi (Prof wa Uchumi), lakini bado mlipuko wa bei (Inflation) ni mkubwa kuliko tulipokuwa na Magavana ambao hawakua ma technocrats kwa kiwango cha huyu wa sasa, pia tumeshakuwa na Mawaziri wazuri tu ambao walitokana na mfumo huu huu wa sasa kwa Mfano Bw. Mrema (Mambo ya Ndani) na walifanya kazi nzuri sana na anakumbukwa mpaka leo!

Kwa hiyo kwa kifupi kudhani kwamba tatizo letu ni mfumo uliopo ni kusukuma tu tatizo mbele na si kulitatua, Tatizo ni sisi Watanzania kama jamii na ni nani tunamchagua kutuongoza, tukipata kiongozi muwajibikaji hata ulete Mfumo gani mambo yataenda tu mfano Rwanda kwa Bw. Kagame ni Dikteta kila kitu anaamua yeye lakini Rwanda inashikilia nafasi ya kitu 66 katika nchi competetive Duniani nchi inayofuatia AM ni Kenya pamoja na Katiba ya mpya na Demokrasia lakini wako kwenye nafasi ya 120 na kuendelea!

Norway ukija muwekezaji. 80% inakwenda serikalini na 20% ndiyo anaondoka nayo mwekezaji. Na hapi gharama kwa mwekezaji.
 
Kuna uzi umeletwa jana hapa naona umefutwa haraka sana ni wa majina na watu walioficha hela Swiss, hebu jaribuni kuangalia majina yaliyomo ni ya watu wenye utata kwenye sekta ya madini
 
Wazungu mara nyingi wanatumia udhaifu wetu kwenye mikataba angalia hata zamani za ukoloni mtemi wa morogoro alisaini mkataba bila kujua madhara yake makubwa lakini sasa sio kwamba hawajui ila ni RUSHWA !
 
Sio Kushitakiwa tu kwani haitoshi, Hawa wanatakiwa kufungiwa na kufutiwa leseni zao wasifanye tena kazi hizo. Rex Attorneys wapo kwa ajili ya ukuwadi wa ufisadi, wametuingiza kwenye mikataba mingi sana ya kifisadi. Kwanini serikali haiwafutii leseni?
Waliotuingiza katika mkataba wa kifisadi MoU nao washughulikiwe, hii ni baada ya mkataba wenyewe kufutwa na pesa kurejeshwa serikalini.
 
..vipi kuhusu mikataba ya uchimbaji DHAHABU??

..kwa nini na hiyo nayo isirekebishwe?
 
Tanzania to review 26 contracts on oil, gas
Sunday, 16 September 2012 09:25

By Alex Bitekeye
The Citizen Reporter
Dar es Salaam

Energy and Minerals minister Sospeter Muhongo has ordered the new board of the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) to review all 26 production-sharing agreements with oil and gas companies.
He also ordered the board to closely supervise the auditing of the cost of prospectors to prevent cheating.
According to the production-sharing agreements, exploring companies bear the total cost of prospecting. But concerns are mounting that some firms are exaggerating the costs to reap more profits during production.
Under the directive, the board will audit even costs incurred by firms in the past.

The aim is to ensure that the country gets a fair share of its resources. Prof Muhongo yesterday handed over such contracts to the new board, telling it to “review them and advise the government accordingly”.
However, he noted that some of the pacts were signed between the government and oil and gas companies a long time ago, and Tanzania might be getting a raw deal. The order comes at a time when the government has been under criticism for striking oil and gas deals with multinational companies without taking national interests into account.
It has been confirmed that Tanzania has natural gas reserves of 43 trillion cubic feet worth $430 billion and more deposits are being found.

The discoveries have prompted the government to initiate the review of its oil and gas exploration legislation as well as draw up strategies and tax regime to enable the country benefit from the boom.
Recently the government delayed a licensing round for up to nine deep-sea oil and gas blocks until an appropriate legislation is enacted.

The fourth licensing round was scheduled to be launched in Houston, Texas last Friday.
Opposition MP Zitto Kabwe urged the government to impose a ten-year moratorium on oil and gas exploration to prepare the country to handle huge projects.

The government is renegotiating the Songo Songo production-sharing agreement it entered with the PanAfrican Energy Tanzania Limited 2001, seeking an amendment.
The government’s shift towards a more aggressive tone on gas and oil contracts and legislation is not at all unexpected, analysts assert.

“As discoveries are made and it becomes clear the size of the prize you can start to see political pressures to change the terms after the fact,” John Malone, GH Securities analyst told the Reuters News Agency in a report yesterday.
“They need to negotiate harder. They shouldn’t be selling out,” Jenik Radon of Columbia School of International and Public Affairs was also quoted by Reuters as saying.

Donors have also urged Tanzania to hold off on licensing more blocks for exploration until contracts are made transparent and better terms have been put in place.

According to the model production sharing agreement of 2008 TPDC, on behalf of the government, is entitled to a share of profit from gas production of between 60 and 85 per cent.
However, contracts are considered “state secrets” and not meant for public consumption, causing concerns.

The review of revenue sharing agreements is part of the 10 major duties assigned to the board by the minister.
Other duties are to hasten the drafting of a natural gas policy, review of the Petroleum Exploration and Production Act of 1980 and supervision of the construction of the Mtwara-Dar gas pipeline.

The board should also ensure clauses are put in the legislations to guide the amount of oil and gas to be retained in the country.
Meanwhile Energy and Minerals minister Sospeter Muhongo has directed companies under his ministry not to renew the contracts with various legal firms unless they win at least 80 per cent of cases.

“There is no need to keep contracts with such companies. These should also include firms which normally delay cases so that they can be paid more fees,” he said.

Prof Muhongo gave an example of 200 pending cases at the Tanzania Electric Supply Company Limited, ordering the parastatal not to sign contracts which include those on capacity charges.

Mkataba umeshafungwa, sasa una review ili iweje? Haieleweki, na media zetu ni hivyo tena, profession ya vituko hata hawaelewi subjects wanazoziandika.

Ukisha review mkataba ukagundua umejiingiza mkenge then what, unamuomba investor akusamehe?
 
Mikataba inabadilishwa katika nchi nyingi duniani, Tanzania haitakuwa ya kwanza kufanya hivyo. Hayo makampuni yaliyosaini mkataba na Tanzania wanaweza kabisa kushawishika kubadili mikataba ya mwanzo kwa kuweka masharti kwamba katika mikataba mipya ya hiyo gas iliyogunduliwa hivi karibuni makampuni yao yapewe kipaumbele ukilinganisha na makampuni mapya ambayo yatataka kuingia nchini.

Kwa mfano kama mwanzoni walisaini mkataba wa kuchimba gas/mafuta katika visima vitatu wanaweza kabisa kushawishika kubadili mikataba ya zamani kwa maslahi ya Tanzania ili waongezewe visima kutoka vitatu hadi kufikia 10 au zaidi.

Wao watakuwa wamefaidika kwa kuongezewa visima zaidi vya uchimbaji na nchi pia itakuwa imefaidika kwa kubadili percentage ya mgawanyo wa mapato ukilinganisha na mikataba ya mwanzo.

Back
Top Bottom