Kumbe virusi vina gamba kama ccm! Duh sikulijua hilo
Dr. we ukweli, kusema kweli umenichekesha sana! Yaani wewe umetazama koote ukaona chenye gamba ni CCM tu na siyo samaki, nyoka, nk!
Kumbe virusi vina gamba kama ccm! Duh sikulijua hilo
Well done Tanzanian Scientists...
Well done... It can be done ... and if successful the Country will make a lot of $$
...Ila Tiba Ya Malaria Ipo Lakini Bado Raia Wanafariki...So Hata Ikipatikana hy Ya Ukimwi Sijui Ndo Itakuwaje...But ni Good Step
Dr. we ukweli, kusema kweli umenichekesha sana! Yaani wewe umetazama koote ukaona chenye gamba ni CCM tu na siyo samaki, nyoka, nk!
Dola zenyewe zitaishia mikononi mwa watu wachache kama ilivyo rasilimali zetu sasa
hakunaga kitu kama dawa ya ukimwi...
Huo si uungwana. Eti mpaka mtu aku-pm. Kama una nia kweli ya kusaidia mwaga data watu waende kwenye matibabu na siyo kuweka masharti.Ngoma mbona inatibika fresh tena kwa dawa za kienyeji tu?Mwenye laki 3 ani PM nimpe mwongozo.Mtaalamu yupo hapa Mkoani Geita kata ya nzera,jina lake na kijiji nalihifadhi.Hiyo hela hunipatii mie ila ndo gharama ya matibabu.
Waganga wenyewe wakisikia mteja wao anataka kutibiwa ukimwi wanatoa nacho pimaa, wanakuambia ata usisogelee zuria lake ukisogelea anakimbia mpaka anaangusha kaniki aliyoivaa kiunoni.Ngoma mbona inatibika fresh tena kwa dawa za kienyeji tu?Mwenye laki 3 ani PM nimpe mwongozo.Mtaalamu yupo hapa Mkoani Geita kata ya nzera,jina lake na kijiji nalihifadhi.Hiyo hela hunipatii mie ila ndo gharama ya matibabu.
Lolwameshaanza kutumia ARV
hizi habari ndio zile za gazeti la mwananchi zilizowahi kusema dawa ya ukimwi imepatikana.waandishi wetu utata mtupu.