Tanzania Kosa La Kulawiti, Adhabu Yake Ni Jela miaka 30 na Viboko 24!

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Tanzania Kosa La Kulawiti, Adhabu Yake Ni Jela miaka 30 na Viboko 24!

Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 24, Polikalipo Mwisua (35) kwa kosa la kumnajisi mwanafunzi wa umri wa miaka 12.

Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Rosaria Mugissa alisema ameridhishwa pasipo shaka ya aina yoyote na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka kuwa mshitakiwa ambaye ni mkazi wa kijiji cha Tamasenga wilayani Sumbawanga, alitenda kosa hilo kinyume cha sheria na hivyo Mahakama imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela na viboko 24 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye nia ya kutenda kosa kama hilo.

Awali Mwendesha Mashitaka, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Elija Matiku alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Oktaba 10, mwaka jana saa 2:30 usiku. Akadai usiku huo wa tukio kijijini Tamasenga, Polikalipo alimshawishi mtoto huyo ambaye ni jirani yake kuingia nyumbani kwake, na alipofanikiwa, ndipo alipomnajisi.

Upande wa Mashitaka uliomba Mahakama kutoa adhabu kali kwa mshitakiwa kutokana na kuongezeka kwa matukio ya kunajisi kunakofanywa na watu wazima wilayani humo. Hata hivyo wakati hukumu hiyo ikisomwa, juzi mshitakiwa hakuwepo Mahakamani hapo. Kutokana na kosa hilo, Hakimu Mgissa alitoa hati ya kukamatwa kwa mshitakiwa huyo ili atumikie adhabu hiyo, kuchapwa viboko 12 siku anaingia gerezani na vingine 12 siku anamaliza kifungo chake.



habarileo
 
X-PASTER umenisikitisha sana kufunga kila topic kwenye Jukwaa letu zuri la Dini! Sorry kwa kupost mada ambayo sio relevant hapa lakini ujumbe nafikiri ni sent and delivered!
 
X-PASTER umenisikitisha sana kufunga kila topic kwenye Jukwaa letu zuri la Dini! Sorry kwa kupost mada ambayo sio relevant hapa lakini ujumbe nafikiri ni sent and delivered!

Mkuu nimekutumia PM wewe na wadau wengine na nimekuomba utoe mapendekezo yako kuhusiana na jukwaa la dini na imani. Lakini kwa sababu ambazo unazijuwa wewe, mpaka leo hii umenyamaza kimya, hali ukijuwa kuwa wewe ni mmoja wapo wa wachangiaji wakubwa kwenye lile jukwaa.

Wengi niliowatumia PM, wameniletea mapendekezo yao, ila wewe na baadhi ya wachache amjapendekeza chochote zaidi ya kupost lawama.
 
Tanzania Kosa La Kulawiti, Adhabu Yake Ni Jela miaka 30 na Viboko 24!
Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 24, Polikalipo Mwisua (35) kwa kosa la kumnajisi mwanafunzi wa umri wa miaka 12. Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Rosaria Mugissa alisema ameridhishwa pasipo shaka ya aina yoyote na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka kuwa mshitakiwa ambaye ni mkazi wa kijiji cha Tamasenga wilayani Sumbawanga, alitenda kosa hilo kinyume cha sheria na hivyo Mahakama imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela na viboko 24 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye nia ya kutenda kosa kama hilo. Awali Mwendesha Mashitaka, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Elija Matiku alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Oktaba 10, mwaka jana saa 2:30 usiku. Akadai usiku huo wa tukio kijijini Tamasenga, Polikalipo alimshawishi mtoto huyo ambaye ni jirani yake kuingia nyumbani kwake, na alipofanikiwa, ndipo alipomnajisi. Upande wa Mashitaka uliomba Mahakama kutoa adhabu kali kwa mshitakiwa kutokana na kuongezeka kwa matukio ya kunajisi kunakofanywa na watu wazima wilayani humo. Hata hivyo wakati hukumu hiyo ikisomwa, juzi mshitakiwa hakuwepo Mahakamani hapo. Kutokana na kosa hilo, Hakimu Mgissa alitoa hati ya kukamatwa kwa mshitakiwa huyo ili atumikie adhabu hiyo, kuchapwa viboko 12 siku anaingia gerezani na vingine 12 siku anamaliza kifungo chake.habarileo
kwani hujui sheria haina haki?dunia hii ya wanadamu, wangeyafuata Mafundisho ya YESU na kuyaishi, Dunia ingekuwa mahali pazuri kama sardaus. Nikupe mfano mdogo wa fundisho la UPENDO; "Mpende mwenzio kama unavyo jipenda wewe" ukiiishi fundisho hilo hakika hutafanya baya lolote. kutakuwa hakuna ufisadi, ubakaji, ulawiti, kuvaa hijab, nk nk. Sababu tumemvaa YESU!Nawaalika wote Wenye mwili mje kwa YESU muone raha ndani ya YESU.
 
Marehemu Mtume Muham-mad angekula mvua nyingi sana Segerea. Maana yule alikuwa namba moja. Ushaidi huu hapa: Aisha (may Allah be pleased with her) narrated: The Prophet (the blessing and peace of Allah be upon him) married me when I was a girl of six (years).

Wakulu, hivi kweli Muham-mad (HAYATI) alikuwa Mutume?

Angekamatwa hii leo, mimi ningeomba niwe mchapaji viboko 24.

unaelewa umepost nini kwa nani?
nadhani kwako kufikiri kunakuja baada ya kutenda,
ama hakuji kabisa, vinginevyo ungeidelete pumba hii
 
Mkuu nimekutumia PM wewe na wadau wengine na nimekuomba utoe mapendekezo yako kuhusiana na jukwaa la dini na imani. Lakini kwa sababu ambazo unazijuwa wewe, mpaka leo hii umenyamaza kimya, hali ukijuwa kuwa wewe ni mmoja wapo wa wachangiaji wakubwa kwenye lile jukwaa.Wengi niliowatumia PM, wameniletea mapendekezo yao, ila wewe na baadhi ya wachache amjapendekeza chochote zaidi ya kupost lawama.
Mapendekezo: 1. Usitake watu watoe maoni kwa PM, hiyo itakuwa ni divide n' rule. 2. Fungua hilo jukwaa huku ukiendelea kupokea mapendekezo kwa uwazi ili ijulikane nani kasema nini! 3. Hili Jukwaa usilibinafsishe kwa faida ya imani yako, haitakusaidia lolote, unachohofia ni kipi hasa? Kwani Jukwaa la Dini linakupunguzia imani yako? Na kama ni hivyo achana nalo badala ya kuminya uhuru wa kutoa maoni!
 
Mapendekezo: 1. Usitake watu watoe maoni kwa PM, hiyo itakuwa ni divide n' rule. 2. Fungua hilo jukwaa huku ukiendelea kupokea mapendekezo kwa uwazi ili ijulikane nani kasema nini! 3. Hili Jukwaa usilibinafsishe kwa faida ya imani yako, haitakusaidia lolote, unachohofia ni kipi hasa? Kwani Jukwaa la Dini linakupunguzia imani yako? Na kama ni hivyo achana nalo badala ya kuminya uhuru wa kutoa maoni!
Si lazima uniPm kama unaona hakuna umuhimu, kuna jukwaa la Complaints, Congrats, Advice, unaweza kulitumia pia kufikisha malalamiko yako, lakini si kubaka kila thread.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom