ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,115
- 49,833
Baraza la Michezo la Cecafa Kupitia Rais wake Wallace Karia amesema Nchi za Afrika Mashariki zitakuwa mwenyeji wa mashindano ya Mpira wa Miguu Kwa Wachezaji wa Ndani ya Bara la Afrika yaani CHAN.
Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika kuanzia September 2024 na kuwa kama Kilimo Cha maandalizi kuelekea Afcon 2027.
My Take
Hongera sana awamu ya 6 na kongole kwako Karia Kwa Umafia wako umeleta Chan Tanzania maana awali yalikuwa yafanyike Kenya pekee.