UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 8,543
- 7,752
Mkuu Felix, mimi nimeweka mada pengine nikiwa na kutoamini kwa kile nilichokisikia na kukiona. Ndo maana nikaomba wataalam wa uchumi waje kutusaidia kulielewa hili jambo.
Hiyo picha niliyoweka nilipiga mwenyewe kutoka kwenye tv wakati kipindi kilikuwa live kikiendelea.
Kuhusu address, nadhani ukienda msnbc.com ukatafuta kipindi cha 'last word' au ukatafuta jina la mwenye kipindi 'Lawrence O'Donnell' utaipata.