Tanzania inaweza kunyimwa mikopo kwa sababu ya kukamatwa kwa Dkt. Slaa na wenzake

12STONE

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,184
398
Kwa mtindo huu wa kamata weka ndani bambikiza kesi, mama samia ataliingiza taifa kwenye giza la kiuchumi ukizingatia yeye hana mbinu mbadala za kuinua uchumi wa nchi wazo kuu kwake ni kukopo tu kisha pigs panga kidogo aweke kwenye mfumo wake iliyotoboka usio na manufaa kwa tanzania yetu.

Kila kukicha dila inapanda na shs yetu inapiromoka. Na bado hekima imekosekana kabisa kwa hili suala la bandari zetu. Mmebakia kung'ang'ania tu Waarabu wa Dubai na DP world yao.

Dunia sasa ni kijiji utakwepa wapi kulaumiwa wakati ukweli uko wazi, unawashika hao alina mwabukusi, mdude, madeleka na dr slaa kwa lipi yaani. Kupinduluwa? Au mnataka jeshi liiingilie kati ili mjue kupinduluwa kukoje.

Tanzania haiwezi kujificha ili habari zake zisijulikane kila kitu kiko wazi kelele njema za kudai bandari zetu zisitolewe bure zimefika. Utanyimwa mikopo na waarabu watakuacha tu, maana huu moto usipouangalia utakuwakia popote ulipo mpaka kwenye miguu, kitandani, bafuni hata kwenye vikao vyote hata vile vya siri.

Waachie hao bila kuchelewa na wasidhurie wala adiwrpo wa kupoteza maisha yso. Zaidi ya hapo wengi wataamimini wewe ndio ulikuwa unamshauri vibaya Mzee Magu. Ukuacha kuitwa jina zuri la heshima maadamu presedent ukaanza kuitwa dikteta hapo itakuwa imekula kwako.

Nchi hii ina rasilimali nyingi sana inakuwaje uchumi uanfukie mikononi mwako? Unatumiwa muda mwingi kuwakabili wanakukosoa badala ya kujijenga nchi yetu.

Usije ukasema hatujawahi kukuambia:

Cheo ni dhamana, hasa hiki ulichokipata kwa kudra za mwenyezi Mungu. Penda watu wako unawaongoza,

Tanzania bado ina umasikini mwingi unaosababishwa na ninyi viongozi wachumia tumbo zenu.Hakuna mikakati ya kuondoa umasikini ila mna mipango na mikakati ya kuongeza masikini na wajinga ili muendelee kutawala.

Endeleeni kuliamsha, bado kidogo sana Watanzania wataamka usingizini wakiingia baranarani kuandamana,

Wembe mnaoulilia utaupata na utawakata wenyewe.

Jenga uchumi wa nchi yetu achana na siasa za kutesa watanzania kwa mambo halali na sahihi na ya kweli wanayoyadai.

20230817_215953.jpg
20230817_220031.jpg
20230817_215916.jpg
 
ACHENI KUCHEZEA WATU AKILI KWA KUCHANGANYA VITU VIWILI TOFAUTI,WAKOSOAJI WA DPW,WAPO WENGI NA WAPO HURU,HAO NI WAHAINI,KWA KUTOA KAULI HATARI,AMBAZO ZINAWEZA KUAMASISHA UMMA,KUPINDUA NCHI,KUPINDUA TAIFA WAKATI MWINGINE HAKUHITAJI SILAHA,AU MAJESHI,BALI KAULI CHOCHEZI AMBAZO ZITAUAMSHA UMMA KATIKA KUFANYA YA HOVYO"...
Ujinga unaweza kugeuka kuwa upumbavu pia.

Choose one
 
Warioba yupo HURU
Shivji yupo HURU
Tibaijuka yupo HURU
Lissu yupo HURU
Mbowe yupo HURU
NA WENGINE WENGI TU,
SWALI JE?,
-NI KWANINI HAO HAPO PEKEE WANASHIKILIWA?
Tusijitoe ubongo tukajaza kamasi ....
Hata wewe upo huru.

Umeona wapi ndugu akamdhuru nduguye?

Tunaomba kauli ya Warioba ya kuukataa mkataba huu baada ya kukamatwa hao vinara wa ukosoaji

Pia, tueleze kambi zao za mafunzo na vikosi zipo wapi.

Tatu, mnasema ni wahaini, kwani Jaji ameshatoa hukumu au mnamshurutisha awahukumu?
 
Hapana taka maneno mingi,shida Swahili ongea sana Bana!
 
Attachments

  • 366404536_250581384543026_4292644641426154408_n.mp4
    184.4 KB
Warioba yupo HURU
Shivji yupo HURU
Tibaijuka yupo HURU
Lissu yupo HURU
Mbowe yupo HURU
NA WENGINE WENGI TU,
SWALI JE?,
-NI KWANINI HAO HAPO PEKEE WANASHIKILIWA?
Tusijitoe ubongo tukajaza kamasi ....
MBOWE alikamatwa na kuambiwa Ni GAIDI ,
Mlimwachiaje GAIDI?

Ninyi Ni wataamu wa kuigeuza mazuri na kuwa mabaya na MABAYA kuwa mema.
.nyoka wa vichwa viwili pale pale bado mnajigeuza kuwa MALAIKA wa nuru kabisa.
 
Mama hawezi kuendesha Nchi bila ya kukopa Akili zake ndio zinaishia kwenye kukopa sio kwamba tunataka MIKOPO.
Ni rais yupi wa Tanzania hii aliyewahi kuendesha nchi hii bila mikopo,mtaje mmoja tu kati ya watano!
-Utazawadiwa trillion moja!
 
ACHENI KUCHEZEA WATU AKILI KWA KUCHANGANYA VITU VIWILI TOFAUTI,WAKOSOAJI WA DPW,WAPO WENGI NA WAPO HURU,HAO NI WAHAINI,KWA KUTOA KAULI HATARI,AMBAZO ZINAWEZA KUAMASISHA UMMA,KUPINDUA NCHI,KUPINDUA TAIFA WAKATI MWINGINE HAKUHITAJI SILAHA,AU MAJESHI,BALI KAULI CHOCHEZI AMBAZO ZITAUAMSHA UMMA KATIKA KUFANYA YA HOVYO"...
Serikali zinazoingia madarakani kwa kupora chaguzi hazina uhalali wowote wa umma. Hata zikipinduliwa ni sahihi kabisa.
 
ACHENI KUCHEZEA WATU AKILI KWA KUCHANGANYA VITU VIWILI TOFAUTI,WAKOSOAJI WA DPW,WAPO WENGI NA WAPO HURU,HAO NI WAHAINI,KWA KUTOA KAULI HATARI,AMBAZO ZINAWEZA KUAMASISHA UMMA,KUPINDUA NCHI,KUPINDUA TAIFA WAKATI MWINGINE HAKUHITAJI SILAHA,AU MAJESHI,BALI KAULI CHOCHEZI AMBAZO ZITAUAMSHA UMMA KATIKA KUFANYA YA HOVYO"...
Hivi nyie mmelogwa na Nani?
Katika maisha Yangu sijawahi KUANDAMANA kabisa.

Lakini kusema tutaandamana ambali Ni jambo la kikatiba ndio kupindua Nchi?
KUANDAMANA walikosema bado Ni njia ya kushikiza DP WORLD asipewe Bandari ZETU bure.

Ni kutafuta haki walioinyiwa mahakamani.
Kwa maandamano ya AMANI.
Kumbe kutetea RASILIMALI zetu Ni uhaini.
 
Ni rais yupi wa Tanzania hii aliyewahi kuendesha nchi hii bila mikopo,mtaje mmoja tu kati ya watano!
-Utazawadiwa trillion moja!
Nani anashida na FEDHA za aibu za kuhongwa na Waarabu.
Hata Kama hakuna ..ndio Badala ya kutumia Bandari update faida ndio SAMIA atoe Bandari bure kwa DP world?

Kwa Akili zako wewe unakubaliana Mama SAMIA ametoa bure?
Tafsiri take yeye kalbishwa za kutosha Baadhi ya watu Kama wewe Ila kwa TAIFA Ni hasara iliyopindukia.

Kwa mtindo huo hata Mimi nitaandamana kwa Usalama wa mali zetu.
 
Back
Top Bottom