TANZANIA INA WATU MILIONI 22 walioajiriwa ?

Mbunge

Senior Member
Aug 7, 2008
104
10
Nimemsikia Naibu Waziri Mahanga katika Redio Uhuru (Utumwa?) akidai eti kuna Watanzania milioni 22 walio na ajira na kuwa wanaosema kinyume cha hivyo hawakipendi chama chake cha CCM na ni wazushi? Namuuliza Mheshimiwa je ana utafiti uliofanywa na wataalamu wa amambo ya uchumi na ajira ili niwasome na mimi nifanyie kazi matamshi yake?
 
Yaani anamaanisha zaidi ya nusu ya Watanzania wameajiriwa?
He cant be serious.
 
Labda anaunganisha na idadi ya vijana wagawa kofia na tsht wakat wa uchaguzi
 
Ndo tatizo la mawaziri wasiwasi,kweli kwa akili za kawaida hayo anayoyasema anaweza kuyashuhudia hata hapa Dar..? Au labda angetueleza ni ajira za namna gani hizo watu milioni 22 wanazo..,Jitahidini mtoe ajira hata kwa robo ya hao watu na muone impact yake katika nchi...Acheni maigizo fanyeni kazi...
 
Jamani hivi uongo huu wa wana Siasa wa CCM utawafikisha wapi. Tanzania currently we're about 40 millioni. 22 miliion Tanzanians are employed?! This is a dam lies NOT statistics.

Currently unemployement rate in Tanzania stands at 60%. Hizi ni takwimu za serikali kutoka utumishi. With this unemployement rate of 60% it is impossible to have 22 millions of Tanzanians in job.

Huyu Mahanga amezoea kupika takwimu no wonder kwa kusaidiana na NEC alipika takwimu za matokeo ya ya ubunge jimbo la Segerea. This guy is very notorious for cooking data/frauds ndiyo maana ana vyeti fake vya PhD. Alisema kwenda mahakamani lakini hadi leo hajaenda kuthibitisha authenticity of his accademic credentials
 
Amelewa madaraka huyo, anahitaji kikombe cha maji ya uzima huko Loliondo

amekwishakunywa nilikutana naye kule tena nilishangaa maana huwa namwonaga tu kwenye tv lakini siku hiyo alikuwa anaonekana mgonjwa haswa maana hata tembea yake ilikuwa ya kujiburuza lakini madhali amepiga kikombe cha loliondo naamini hali ya afya ya mwili yake inaendele vizuri ila ninawasiwasi na afya ya akili yake kwa kauli hiyo sasa hapo inabidi akamwone tena babu kwa uchunguzi wa akili yake
 
tunaambiwa asilimia themanini ya wa tz wapo vijijini sasa huko kuna ajira rasmi ipi?
 
Back
Top Bottom