Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
Tanzania named top ten place to visit in 2012. Sasa wageni wengi waliokua wanaenda Kenya wameanza kuja TZ. Yale machafuko ya kikabila ya uchaguzi uliopita imepunguza kidogo idadi ya watalii wanaoenda Kenya. Imetajwa pia kuimarika kwa miundombinu imechangia kuongezeka kwa watalii TZ.
Kenya wananunaje sasa !!!
http://travel.nytimes.com/2012/01/08/travel/45-places-to-go-in-2012.html?_r=1
Kenya wananunaje sasa !!!
http://travel.nytimes.com/2012/01/08/travel/45-places-to-go-in-2012.html?_r=1